Under Tents

Under Tents Under Tents is a Glamping and Tour company, we aim to help everyone to access adventure anywhere!

Heartbreaking news that Tryggve, the brother and coalition partner of Bob Jr., has been killed.The Namiri Plains, that h...
16/03/2023

Heartbreaking news that Tryggve, the brother and coalition partner of Bob Jr., has been killed.

The Namiri Plains, that had been ruled by Bob Jr. and Tryggve for the last 7 years, will now be claimed by new kings and so the circle of life continues.

These images had been took were when the two brothers were at the peak of their power. Leaving behind the young cubs as their legacy. RIP friends.

Join us only for Tzs 240,000 ($100) for three days camping with purpose at Lake Manyara, Arusha Tanzania.
16/03/2023

Join us only for Tzs 240,000 ($100) for three days camping with purpose at Lake Manyara, Arusha Tanzania.

Lake Manyara Glambing (Camping) Event. WEEKEND:  - 28 -30 April 2023. The dream trip and Camping is finally here by popu...
16/03/2023

Lake Manyara Glambing (Camping) Event.

WEEKEND:  - 28 -30 April 2023.

The dream trip and Camping is finally here by popular demand. Imagine sleeping in a luxury unique cave accommodation.

Join us and Camping with purpose, You will be helped in all step by step for Touring or Study or Volunteering or Work or Conference applications Abroad. Attentitively assisted in all step upto Visa and Interview schedule while Camping with us.

Main countries of focus are,
(USA, China, UK, Canada, South Africa,  Sweden, Ireland, Germany, Austria, Australia, New Zealand, Norway, India, and many more).

Our Guides has more than 10 years of experience Working Internationally, Volunteering and Studied Abroad and won  more than 45 countries visa interviews,  visited more than 30 countries around the world.

* Come Learn to Dance the Maasai dance and sing using throats in a distinctive manner,  producing sounds and rhythm which is truly own - of - kind.
* Free Drives for the whole weekend, Hiking in Lake Manyara beaches. The night skies offer unparalleled star views. This is what Under Tents in Lake Manyara has to offer.

A Tzs 50,000 deposit will secure your spot. Spaces are limited.

𝗣𝗔𝗖𝗞𝗔𝗚𝗘:

Tzs 240,000 per person sharing and 270,000 for own occupancy.

𝗣𝗔𝗖𝗞𝗔𝗚𝗘 𝗜𝗡𝗖𝗟𝗨𝗦𝗜𝗢𝗡𝗦:

- Unique Cave Accommodation
- Manyara National Parks entry Fee
- Dance with the Maasai in the village (Maasai Community Centre Losimingori) and Hiking ( Walking)
- Free round trip drive from Arusha to Lake Manyara.
- Learn Fishing 🎣 using rope at Lake Manyara
- Volleyball play
- Full Board meals ( Dinners, Breakfast, Lunches and Soft drinks).

* SELF DRIVE (Upto Aim Mall Arusha)
*Private Car will  be organised from Arusha ( Picking up point is Aim Mall Arusha, Friday 28, April 2023).

𝗕𝗢𝗢𝗞 𝗡𝗢𝗪:

Whatsapp +255766075353

   

Join us in our Upcoming Camping for adventure, learning new skills and connecting with nature.
15/03/2023

Join us in our Upcoming Camping for adventure, learning new skills and connecting with nature.

Kuelekea Siku kuu ya Eid tarehe 20 July 2021, Isidan tumekuandalia Madume wazuri wa Kuchinja.Vile vile, tutawachinja na ...
16/07/2021

Kuelekea Siku kuu ya Eid tarehe 20 July 2021, Isidan tumekuandalia Madume wazuri wa Kuchinja.

Vile vile, tutawachinja na kukuletea Nyama kuanzia Kilo moja hadi Ulipo ndani ya Jiji la Arusha na majirani zake. Ng'ombe wetu hawa ni wa Kienyeji na wana Nyama Nzuri Kutokana na aina ya Malisho yaliyo patiwa kwenye Ranch za Wafugaji wetu.

Kwa Ujumla, wamelishwa Kwenye uoto wa asili. Weka Order zako Leo kupitia 0672530153

13/07/2021

Hawa Ng'ombe wetu toka kwenye Ranch yetu, tunaanza Kuwachinja mmoja baada ya Mwingine.

Tutafanya Meat Delivery kwa yoyote yule atakaye hitaji. Fika Kwenye Bucha zetu za Isidan kujipatia Nyama safi ya Ng'ombe toka kwenye Ranch zetu Safi ya Asili.

Wanyama wetu wanachinjiwa Kwenye Machinjio ya Arusha Meat na kuthibitishwa na Wataalam.

Tupigie kupitia 0672530153 kuweka Order zako za Nyama.

Beberu hili tunaliuza. Hapa lina kilo 85. Ni Zuri kwa ajili ya Mbegu. Njoo Linunue 280,000
07/07/2021

Beberu hili tunaliuza. Hapa lina kilo 85. Ni Zuri kwa ajili ya Mbegu.

Njoo Linunue 280,000

07/07/2021

Beberu Isiolo original. Mbuzi wake hutoa Maziwa zaidi ya Lita 2 kwa Siku.

Beberu hili ni Tzs is 280,000. Hakuna Negotiations.

Kilicho maliza Mnada wetu wa Juma mosi ijayo ni hawa Wateja wetu. Fuso 3 iliyo Jaa. Endapo bado Unahitaji Mbuzi, Kondoo ...
30/06/2021

Kilicho maliza Mnada wetu wa Juma mosi ijayo ni hawa Wateja wetu. Fuso 3 iliyo Jaa.

Endapo bado Unahitaji Mbuzi, Kondoo wanao faa kwa kufuga na Kuchinjwa tupigie simu kwa kupitia 0672530353.

Habari, Mnada wetu wa Tarehe 3 July 2021, imeairishwa kutokana na mzigo wetu wa Mbuzi kuisha kwa sasa. We are out of sto...
30/06/2021

Habari,

Mnada wetu wa Tarehe 3 July 2021, imeairishwa kutokana na mzigo wetu wa Mbuzi kuisha kwa sasa. We are out of stock.

Endapo Unahitaji Mbuzi na Kondoo, wasiliana nasi tuongee Biashara na kufanikisha chap.

Tunawashukuru Wateja wetu walio jitokeza kununua Mbuzi na Kondoo wetu hata kabla ya Siku ya Mnada. Tunaweza Kuuza zaidi ya Mbuzi na Kondoo 500 tuliyo kuwa nayo.

Endapo utahitaji Mbuzi au Kondoo wa Kufuga, tupigie kupitia 0672530153.

Kazi ni Kipimo cha Utu.

Tuna wauza Ng'ombe jike hawa, wazuri kwa ajili ya Kufuga na Kuchinjwa. Ng'ombe hawa wapo Shambani Mkoani Arusha. Tuwasil...
26/06/2021

Tuna wauza Ng'ombe jike hawa, wazuri kwa ajili ya Kufuga na Kuchinjwa.

Ng'ombe hawa wapo Shambani Mkoani Arusha. Tuwasiliane tufanye Biashara ya haraka kuanzia Sasa.

Mnada wa Mbuzi ni Tarehe 3 July 2021, Juma mosi ijayo. Tuwasiliane muda huu kwa kupitia +255672530153

Mbuzi na Kondoo wetu hawa, ni wazuri sana kwa Kufuga na Kuchinjwa. Yametoka kwenye Shamba letu. Kwa Kufuga, Kondoo Huzaa...
17/06/2021

Mbuzi na Kondoo wetu hawa, ni wazuri sana kwa Kufuga na Kuchinjwa. Yametoka kwenye Shamba letu.

Kwa Kufuga, Kondoo Huzaa mara 3, kwa Mwaka. Na Kitoto chake unaweza kukiuza hadi Tzs 70,000 akiwa na Miezi 3 tu. Kondoo Mkubwa si chini ya Tzs 120,000.

Pia kwa Mbuzi, mbali na Kuuza kwa ajili ya Nyama lakini Pia watakupatia maziwa siyo chini ya Lita 1 kwa Siku. Na Kitoto chake kikiwa na miezi 6, utaweza kukiuza si chini ya Tzs 80,000. Mbuzi Mkubwa si chini ya Tzs 130,000.

Gharama ya kuhudumia Kondoo na Mbuzi zako ni Ndogo sana. Unahitaji tu kuwa na Banda lako na Kijana wa Kuchunga/Ulinzi.

Kwa Uzoefu wetu, Mbuzi wanaweza kustahimili hata pasipo kunywa maji. Ni Biashara ya Uwakika na Yenye Tija sana.

Masoko ni ya Uhakika. Mbali na Kuwauzia wanunuzi mbalimbali wanao enda kuchinja, Kuna baadhi ya Viwanda vinavyo chinja na Kusafirisha Nyama katika Nchi za Uarabuni k**a vile Oman, Qatar, Dubai n.k.

Viwanda hivyo ni k**a Tan Choice iliyopo Kibaha Pwani, Machinjio ya Kizota Dodoma na Vingine vingi. Viwanda hivi kwa sasa wanashindwa kujitosheleza kupata Mbuzi wa Kutosha.

Hiyo ni Fursa kubwa sana kwa Wajasiriamali kupitia Ufugaji wa Mbuzi na Kondoo. Kwanini usi jaribu?

Karibu kwenye Mnada wetu wa Hadhara utakao fanyika Tarehe 3 July 2021, Viwanja vya Laki Laki Arusha, eneo la Ngaramton ya Chini kabla ya Kisongo k**a unatokea Arusha Mjini. Njoo Jichukulie Mbuzi na Kondoo za Uhakika wanao faa kwa mahitaji yako.

NB:Epuka madalali uchwara na Matapeli. Malipo yote hufanyika Siku ya Mnada pale mhusika akiwa ameirithia Mbuzi/Kondoo husika.

Wasiliana nasi leo na weka Order yako mapema Leo Kupitia +255672530153.
careship

Siku ya Juma mosi Tarehe 3 July, 2021 pale Viwanja vya Laki Laki Mateves tutafanya Mnada wa Kondoo na Mbuzi. Wanunuzi wo...
16/06/2021

Siku ya Juma mosi Tarehe 3 July, 2021 pale Viwanja vya Laki Laki Mateves tutafanya Mnada wa Kondoo na Mbuzi.

Wanunuzi wote mnakaribishwa. Piga 0672530153 kwa maelezo zaidi

Katika Uzalishaji wa Mikate, moja ya dhana nzuri na Bora ni Chombo cha Usafirishaji. Guta hii, ni moja ya Chombo Kizuri ...
10/02/2021

Katika Uzalishaji wa Mikate, moja ya dhana nzuri na Bora ni Chombo cha Usafirishaji.

Guta hii, ni moja ya Chombo Kizuri sana. Lina tumia Mafuta ya Tsh 7,000 kutembea kilometer 100. Guta hii ni moja ya Chombo kinacho uzwa. Wahi Jipatie sasa. Tupigie kwa 0766075353

Haya no Makret za Bakery, wahi Jichukuliye za kwako. Ni moja ya Vifaa vya Bakery vinavyo uzwa. Usikawie, wahi njoo Kagua...
10/02/2021

Haya no Makret za Bakery, wahi Jichukuliye za kwako.

Ni moja ya Vifaa vya Bakery vinavyo uzwa. Usikawie, wahi njoo Kagua na Uilipie, then Kafanyie kazi. Njoo Ofisini kwetu. Tupigie kwa Kupitia 0766075353

Moja ya Mashine inayo uzwa ni Mixer mpya maalum ya Cakes na Cookies. Wahi Sasa, bei ni sawa na Bure. Wasiliana nasi kupi...
09/02/2021

Moja ya Mashine inayo uzwa ni Mixer mpya maalum ya Cakes na Cookies.

Wahi Sasa, bei ni sawa na Bure. Wasiliana nasi kupitia 0766075353

Vifaa vya Kiwanda Kizima cha Mikate Kinauzwa Monduli (Shujaa Bakery) Vitu vilivyomo; 1. Machine za Mixer a) Mixer ya 25 ...
09/02/2021

Vifaa vya Kiwanda Kizima cha Mikate Kinauzwa Monduli (Shujaa Bakery)

Vitu vilivyomo;

1. Machine za Mixer
a) Mixer ya 25 Kg ya Kukorogea Unga ( 3,300,000)
b) Mixer ya 15 Kg ya Kukorogea Unga ( 1, 600,000)
c) Mixer ya 12 Kg Maalum kwa ajili ya keki na Biskuti (1,500,000)

2. Slicer Machine 1 ( Mashine ya Kukatia Mikate) 1,300,000)
3. Oven 2 za Kuokea Mikate ( zote Kubwa yenye Dek 3) (Tsh 2,800,000 + 2,800,000) 5,600,000

4. Proofer 1 Kubwa ya Kuumulia Mikate 500,000

5. Cooler dek ya Kupooza Mikate 300,000

6. Meza 2 za Aluminium (Meza za Kukandia Unga) 400,000

7. Jiko la Mandazi Complete ( Jiko na Karai lake) 1,600,000

8. Mitungi 3 Kubwa za Gesi. 240,000

9. Creti za Kuuzia Mikate (Kubwa na ndogo) 280,000

10. Makopo ya Mikate ( Madogo 85, Makubwa 25, madogo zaidi 20) 400,000

11. Ma tray ya Kuwekea Makopo ya Mikate (10 kubwa) 200,000

12. Mizani ya Kupimia Unga, Sukari, Salad, N.k = 100,000

13. Guta Nzuri yenye Bodi ya Kusambazia Mikate Tsh 3,300,000

14. Pikipiki Nzuri ya Kusambazia Mikate. 1,700,000

Vitu vyote hivi; vipo katika hali Nzuri na vinauzwa na Taasisi ya Vijana Assembly (NGO).

Vifaa vya Kiwanda vipo Monduli Mjini, na watu wote wana karibishwa kuweza kuja kuangalia na Kuvinunua.

Bei ya Kila Chombo kimeorodheshwa kwenye Kila chombo husika.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia 0766075353.

We will be in Lusaka Zambia for deliverying to our Customers.These are  Cute and pure Leather Sandals and All sizes are ...
26/01/2021

We will be in Lusaka Zambia for deliverying to our Customers.These are Cute and pure Leather Sandals and All sizes are available. Check us on WhatsApp through +255766075353 and put your order now.

23/01/2021
Get your Order Now!!
15/01/2021

Get your Order Now!!

Pure Leather and all size are available. Place your order now through WhatsApp number +255766075353
10/01/2021

Pure Leather and all size are available. Place your order now through WhatsApp number +255766075353

Mzigo mpyaaaaa... Ngozi Original na Soli imara.. Inafaa kutokea na Kuogea vyote inafaa..  Pata Pair yako kwa Tsh 10,000 ...
05/01/2021

Mzigo mpyaaaaa... Ngozi Original na Soli imara.. Inafaa kutokea na Kuogea vyote inafaa.. Pata Pair yako kwa Tsh 10,000 kwetu.

Tag anyone especially ladies who might be interested in this. All Sizes are available. It will last forever.
03/01/2021

Tag anyone especially ladies who might be interested in this. All Sizes are available. It will last forever.

You can always Press your order and as soon as we receive, our local artisans will work on it and produce your favourite...
03/01/2021

You can always Press your order and as soon as we receive, our local artisans will work on it and produce your favourite one. All sizes are possible.

Call us or whatsapp through 0766075353 and we will respond to you so quickly.

Shanga Nzuri za Miguuni za kila aina inapatikana. Tutakutumia Popote pale ulipo. Naomba Uwasiliane nasi kunjia ya WhatsA...
03/01/2021

Shanga Nzuri za Miguuni za kila aina inapatikana. Tutakutumia Popote pale ulipo.

Naomba Uwasiliane nasi kunjia ya WhatsApp 0766075353

All of our Products are made with sustainable materials that include with Pure Leather and Tires Soles that make the San...
03/01/2021

All of our Products are made with sustainable materials that include with Pure Leather and Tires Soles that make the Sandals to last than any other Sandals in Tanzania.

Thanks to our team and Director for leading all of us in making our dreams a reality. We make Free shipping Worldwide. Place your order or WhatsApp us through +255766075353 today and get your sizes and favourites.

We are also willing to design your Size, Colour or Style you prefer. Place your order now.

Our Director,  working hard with our Local handcraft artisans in one of our resembling point providing directions and de...
03/01/2021

Our Director, working hard with our Local handcraft artisans in one of our resembling point providing directions and designs of the long lasting Sandals made with pure leather and tires soles.

We are assure you that our Products is pure Leather and will last forever. Place your order and we will deliver freely to you. No matter where you are.

Address

Arusha
23119

Telephone

+255766075353

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Under Tents posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share


Other Eco Tours in Arusha

Show All