04/11/2024
Tunawakaribisha kwa shauku wadau wote kwenye safari ya kipekee iliyo andaliwa na taasisi isiyo kiserekali ya Madina Climatic Organizations
itakayofanyika tarehe 1 Desemba 2024, kwenye Hifadhi ya Taifa ya Sadani. Safari hii itaanza Mlimani City, Dar es Salaam, saa 12:00 asubuhi.
Kwa shilingi 75,000/= tu, unapata nafasi ya kushiriki katika tukio hili muhimu la kujifunza na kubadilishana mawazo kuhusu uhifadhi wa mazingira na utalii endelevu.
Hifadhi ya Taifa ya Sadani inajivunia mandhari ya kuvutia na wanyama wa porini, inayoleta fursa ya kipekee ya kuelewa umuhimu wa kuhifadhi mazingira yetu. 🦁🌳
Tunawakaribisha Wataalamu, wanafunzi, na wadau wa mazingira, msikose nafasi hii adhimu! Jiandikishe mapema ili uwe sehemu ya mabadiliko chanya katika jamii zetu.
📞 Mawasiliano:
+255 760 200 967
+255 765 322 029
[email protected]
Tuna hamu ya kukuona! 🌍✨