16/05/2024
Tar 17/6/2023 Tunakutana hapa MBWENI WILDLIFE siku ya IDI KUBWA kulisha wanyama na kupata experience tofauti ndo maana ya Adventure
Day Trip Kwa 70000.
Gharama inajumuisha Usafari, Chakula na Activities zote .
Pia kutakua na michezo mingi bila kusahau Music Band live karaoke 🎤.
Safari itaanzia pale mawasiliano Saa 8:00 asubuhi.
Anza kushika siti yako mapema Kwa kufanya malipo kupitia Lipa namba Vodacom 5669938 Jina Bonnietz_Adventure.
Call/Whatsapp 0687358035 , 0626351368.