Africoast Safaris

Africoast Safaris AFRICOAST TRAVEL SERVICES is a Subsidiary Company of AFRICOAST TANZANIA LTD, We are organizing Wildlife safari

Habari,tunaendelea kukuhakikishia kuwa   Qatar Visa sasa utaipata kwentu kwa haraka na uhakika. Tupigie namba 0755477477...
02/02/2025

Habari,tunaendelea kukuhakikishia kuwa Qatar Visa sasa utaipata kwentu kwa haraka na uhakika. Tupigie namba 0755477477 au +255 714 172 145 kwa maelezo zaidi. Karibu sana kwa Ushauri wa safari

*AFRICOAST TRAVELS WAMEKULETEA  UTALII WA KIBIASHARA (CANTON FAIR) NCHINI CHINA- APRIL 2025*   *Tarehe za Safari ni*  *1...
15/01/2025

*AFRICOAST TRAVELS WAMEKULETEA UTALII WA KIBIASHARA (CANTON FAIR) NCHINI CHINA- APRIL 2025*

*Tarehe za Safari ni* *13/04/2025 hadi 20/04/2025*

💰Gharama za Safari ni *2500 US Dollars*
kwa mtu mmoja, ambayo inajumuisha;
✅ _Usafiri wa ndege(kwenda na kurudi)
✅ _Usafiri wa ndani (China kwenye maonesho)
✅ _Kutembelea Masoko ya bidhaa za biashara_
✅ _Kuhudhuria maonyesho na Kutembelea viwanda_
✅ _Visa_
✅ _Malazi kwa siku Sita
✅ _Kukutanishwa na wazalishaji wa bidhaa mbalimbali

✳️ Utapewa mbinu na msaada wa namna ya kufanya biashara yenye faida na jamii ya Wachina
*********
Kwa mawasiliano zaidi tupigie namba 0755477477 au 0714 172 145
Barua Pepe: [email protected]

🚨 *MWISHO WA* *USAJIRI NA MALIPO NI 05 APRIL 2025*

Happy New year to you all!
31/12/2024

Happy New year to you all!

Thanks for your Kindness support on us! Best wishes for you and your family
25/12/2024

Thanks for your Kindness support on us!
Best wishes for you and your family

Moja ya jukumu letu ni kuwasimamia wateja wetu wakati wa mchakato mzima wa majadiliano ya kibiashara wakati wa Maonesho ...
18/10/2024

Moja ya jukumu letu ni kuwasimamia wateja wetu wakati wa mchakato mzima wa majadiliano ya kibiashara wakati wa Maonesho ya Canton..... Usiwaze hata k**a haujui lugha ya mawasiliano na Wachina tunayo timu bobevu kutatua changamoto hiyo....Karibu usafiri nasi

Higher like
16/10/2024

Higher like

Kwa Wateja wenye kuhitaji fursa za Kibiashara na uwekezaji hii ni safari muhimu kwako...Tutakushika mkono hatua kwa hatu...
30/09/2024

Kwa Wateja wenye kuhitaji fursa za Kibiashara na uwekezaji hii ni safari muhimu kwako...Tutakushika mkono hatua kwa hatua kutimiza malengo yako...
Kwa maelezo zaidi tupigie namba 0755477477 au 0677477477. Karibu sana

28/05/2024
FYI
28/05/2024

FYI

Je umepanga kufanya safari ndani au nje ya nchi? Sasa tumekuletea utaratibu wa   kwa safari yoyote unayotamani kuifanya;...
27/05/2024

Je umepanga kufanya safari ndani au nje ya nchi? Sasa tumekuletea utaratibu wa kwa safari yoyote unayotamani kuifanya; Safari ya utalii au Safari za kuhudhuria maonesho ya biashara.
Tupigie 0755477477 au 0677477477 kwa maelezo zaidi. Karibu sana

Happy Eid Mubaraka to all Muslim brothers and sisters...
09/04/2024

Happy Eid Mubaraka to all Muslim brothers and sisters...

Time is now...Lets go
18/03/2024

Time is now...Lets go

Leo imekuwa bahati kuweza kuhudhuria Ubalozini na  wateja wetu waliolipia Safari ya China April kwa ajili ya utalii wa k...
18/03/2024

Leo imekuwa bahati kuweza kuhudhuria Ubalozini na wateja wetu waliolipia Safari ya China April kwa ajili ya utalii wa kibiashara (Maonesho ya Canton). Nafasi bado zipo chache kwa wale watakaohitaji kujumuika nasi! Tupigie 0755477477 au fika ofisini kwetu kupata taarifa kamili za safari. Karibuni san

Ramadhan Mubarak to all Muslim Brothers and Sisters
12/03/2024

Ramadhan Mubarak to all Muslim Brothers and Sisters

Salaam kutoka Africoast safaris!  Tunakukaribisha katika msimu mwingine tena wa kujumuika nasi katika Ziara ya kibiashar...
14/01/2024

Salaam kutoka Africoast safaris! Tunakukaribisha katika msimu mwingine tena wa kujumuika nasi katika Ziara ya kibiashara nchini CHINA; kwa kuhudhuria maonesho ya 134 ya biashara ya Canton(Canton Fair). Safari yetu itaanza 13 April na kumalizika 20April 2024. Usipange kukosa safari hii.
Kwa maelekezo zaidi tupigie namba 0755477477. Karibu sana.

Happy Revolution day
12/01/2024

Happy Revolution day

Tungependa kujua leo tukuhudumiaje! Kwa mawasiliano zaidi utunapatikana kupitia namba 0755477477 au 0677477477
24/05/2023

Tungependa kujua leo tukuhudumiaje! Kwa mawasiliano zaidi utunapatikana kupitia namba 0755477477 au 0677477477

Address

1st Floor, Room No 39, Dar Free Market Mall, Ali Hassan Mwinyi Road
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Africoast Safaris posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Africoast Safaris:

Videos

Share

Category