07/10/2016
LET US TALK TOGETHER
(KWA PAMOJA TUNENE)
Usione analia ukazani analia na wewe, hamna nafsi yake imeficha mengi sana mambo ambayo yanaweZa yakauangamiza huu ulimwengu hata kwa sekunde moja, yeye ni bomu tena bomu zaidi ya Nuclear leo atalia na wewe kesho kwa mikono yake atakutoa machozi, mwanangu hivyo ndivyo walivyowanawake. Ninaikumbuka vyema kauli hiyo aliyokuwa akinihusia mzee wangu kila uchwao akihitaji nisiwape nafasi wanawake yakuweza kuitawal;a nafsi yangu.
Mw2anamke ni bomu tena ni bomu zaidi ya bomu la nuclear inamaanisha ishi nae leo lakini siku moja litakuja kukulipukia na kusambaratisha kila kitu katika maisha yako. bado najiuluza ni kwanini wanawake wao wananini hasa
kwa jinsi alivyanipenda nilisahau kabisa yakuwa yeye ni mfuasi wa nyoka na ipo siku atakuja kuning'ata katika kisigino changu na kunisababishia maumivu makali yasiyofutika ndani ya moyo wangu. mili,pa moyo wangu wote na kumpa uthamani mkubwa katika maisha yangu nikamfanya anitawale vya kutosha nami nikawa mfuasi wa shetani, ninalotumwa ninafanya hata k**a jambo hilo lingeweza kuniangamiza
sitosahau nilipochagua kuishi nae na kuiachia nafasi yangu ya kwenda Zanzibar kusoma, hiyo ndiyo iliyokuwa kiu yake kubwa nilitambua kuwa kwa kuwa ananipenda basi kiu yake ni kuweza kuishi na mimi k**a mke na mume nami kwa kuwa nilikuwa mpofu wa macho na masikio nililipitisha hilo ili kuweza kuuwini loyo wake
Mwanamke nilisahau kabisa yakuwea kwa ulaghai wake aliweza kumshawishi adamu hadi akamuasi mungu, Mwanamke ni mtua aliyefaulu kuungusha mbuyu ulioshindwa kun'golewa na vidume mashababi kwa walishoba na kujazia kwa misuri iliyotuna mikonono mwao sikuweza kukumbuka yakuwa mneno la Delila liliweza kumuangamiza Samson
nilipomfuata baba yangu na kumueleza yakuwa ninahitaji kuoa aliniuliza kwani chuo ulishamaliza nikamjibu nilipofikia panatosha na huko mbele nitajiendeleza mwenyewe ingawa alinisihi sana lakini sikutaka kuona chozi la mpenzi wangu likianguka mbele ya miguu yangu hapo nikafanya kila njia na kuichia nafasi yangu, eti leo kabla hata ya ndoa yeye tayali hayupo katika mikono yangu. hii inamaana nimefeli kuwini moyo wake huku nikiwa nimeshapoteza kila kitu
leo siwezi kusema ninawachukia wanawake lakini nikili yakuwa kupitia yeye nimeweza kujifunza mengi sana juu ya wanawake na pia nikili kwamba nimeweza kuwajua vizuri wanawake kuliko hata juzi na jana, sio k**a sitopenda kwakuwa naamini wabaya sio wote ila macho yangu yatafunguka zaidio pindi nitakapoamua kumpenda mwanamke na ninakili wenda ikachukua hata miaka kwangu kuweza kumuamini yule nimpendae
Let us talk together (Kwa pamoja tunene)
Ninafaham,u wazi yakuwa wapo wanawake watakaochukia kuiona post hii, lakini ukweli utabaki pale pale na hautapingika, mioyo ya wanawake ni dhaifu mno ameumbwa kusamini kipya na cha zamani kwake ni Old Fashion, natambua sio wote lakini ebu tuache kucheza na mioyo ya wale tuiwapendao k**a tunalia pamoja akipindua kisogo usimng'ong'e ishara ya kumkebei.
Aaah! usichukie hiki ni kastori tu kadogo cha kizushi ebu leo tuongelee mada hii inayomuhusu mwanamke na usaliti?
LET US TALK TOGETHER
KWA PAMOJA TUNENE
BY SARISHI