Dodoma Capital City Travel

Dodoma Capital City Travel Travel agency

Dodomasafaritour Safari Tour Dodoma imekuandalia safari ya kwenda kutalii Ngorongoro Crater. Katika safari hii itakukuta...
09/02/2024

Dodomasafaritour Safari Tour Dodoma imekuandalia safari ya kwenda kutalii Ngorongoro Crater.

Katika safari hii itakukutaniasha na marafiki wapya kutoka sehemu tofauti tofauti.

Safari itakuwa ni siku ya Jmosi mchana. Kuna group kwajili ya safari.

K**a utahitaji kushiriki safari hii karibu
Piga simu au tuma ujumbe mfupi

Simu +255 (0) 620 132 606
Unaweza tembelea ukrasa wetu wa Instagram dodoma_safaris_tour

12/01/2024
Tunawaunga 🤝🤝
03/09/2023

Tunawaunga 🤝🤝

Nyerere Day Tour Enjoy. Tunaanzia nyumbani Mkungunero Game Reserve Dodoma Kondoa kisha tunamalizia Tarangire National Pa...
21/08/2023

Nyerere Day Tour Enjoy. Tunaanzia nyumbani Mkungunero Game Reserve Dodoma Kondoa kisha tunamalizia Tarangire National Park kwa gharama nafuu sana.

Unaweza fanya booking yako kwa simu namba +255 620 132 606

Pia inaruhusiwa kulipia kidogo kidogo kwa Lipa namba *5419500* Jina *Dodoma Safari Tour*

Twende tukatalii pamoja tukutane na marafiki wapya tubadirishane uzoefu wa kazi zetu pamoja na biashara zetu.

DODOMA ya Samia Fahari ya Watanzania

Nyerere Day TourMbili Kwa moja gharama kiduchu sana.Tunaanzia nyumbani Mkungunero Game Reserve Dodoma Kondoa kisha tunam...
21/08/2023

Nyerere Day Tour

Mbili Kwa moja gharama kiduchu sana.

Tunaanzia nyumbani Mkungunero Game Reserve Dodoma Kondoa kisha tunamalizia TARANGIRE NATIONAL PARK.

Hii si ya kukosa itakuwa na washiri wa kutosha. Njoo tuongeze marafi na ujuzi katika kazi na biashara zetu.

Unaweza fanya booking kwa kupitia namba ya simu +255 620 132 606

Pia unaruhusiwa kupunguza kidogo kidogo Kwa LIPA namba 5419500 Jina Dodoma Safari Tour

Nyerere Day Tunaanzia MKUNGUNERO GAME RESERVE na tunamalizia TARANGIRE NATIONAL PARK.
12/08/2023

Nyerere Day
Tunaanzia MKUNGUNERO GAME RESERVE na tunamalizia TARANGIRE NATIONAL PARK.

Thank God for this opportunity to add another year.
18/07/2023

Thank God for this opportunity to add another year.

Waooow!!! Trh 18/07/197.. Today is my birthday🤣🎂. MUNGU  Nakushukuru sana kwa mengi mema unayonitendea mie kiumbe wako d...
17/07/2023

Waooow!!! Trh 18/07/197..

Today is my birthday🤣🎂.

MUNGU Nakushukuru sana kwa mengi mema unayonitendea mie kiumbe wako dhaifu.

Ninakili ya kuwa mengi unayonitendea uwezo ya kuyalipa sina.

Nakuomba MUNGU wangu usiniache uendelee kunipa Nguvu na Afya maisha marefu katika kukuomba kukutumaini wewe daima🙏

Hakika wewe ni MUNGU Tajiri wa miujiza na usielala na upo macho juu yangu. Njia ngumu na mitihani ninayoendelea kupitia hakika wewe umekuwa nguzo kwangu.

MUNGU nitakushukuru na kukutukuza milele tena bila kuchoka🙏

Karibu  tukuoshee gari yako pia tutakufanyia ukaguzi wa kiufundi bila malipo yoyote.Tuna kodisha gari kwajili ya safari ...
20/06/2023

Karibu tukuoshee gari yako pia tutakufanyia ukaguzi wa kiufundi bila malipo yoyote.

Tuna kodisha gari kwajili ya safari za vikundi, misiba, sherehe na shughuri yoyote ile inayohitaji gari kwa gharama nafuu sana.

Pia tunatoa huduma za kuandaa safari za kwenda kutembelea hifadhi zetu na vivutio vilivyomo nchini kwetu.
Tukishirikiana na


Safari za tour pia zitakua zinaanzia Dar es salaam

Karibu tutangaze utalii na uziri wa nchi yetu.
☎️+255 (0) 620 132 606

20/06/2023

Watch, follow, and discover more trending content.

Ni zawadi ya kipekee kwa wakazi wa Dodoma pamoja na vitongoji vyake.Baada ya kusherekea sikukuu ya PASAKA na IDI tunaend...
25/01/2023

Ni zawadi ya kipekee kwa wakazi wa Dodoma pamoja na vitongoji vyake.

Baada ya kusherekea sikukuu ya PASAKA na IDI tunaenda Ngorongoro Conservation Area Authority .

Tarehe ya safari ni 29/04/2023 na tarehe 30/04/2023 tunaingia Ngorongoro Crater.

Gharama ya safari ni
Double Tsh 340,000/
Single Tsh 180,000/

Unaruhusiwa kulipia kidogo kidogo kwa lipa namba 5419500 Jina Dodoma Safari Tour

Pia unaweza fanya booking kwa kupitia namba za simu +255 (0) 620 132 606
+255 (0) 787 851 515
Nafasi ni chache.

Zingatia na epuka matapeli hatuna namba nyingine ya malipo zaidi LIPA NAMBA YA VODA

Karibu Dodoma Safari's Tour uhakika uwapo safarini na mbugani. Twende tukatalii na marafiki.

16/01/2023

Travel agency

Address

Dodoma

Telephone

+255620132606

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dodoma Capital City Travel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dodoma Capital City Travel:

Videos

Share

Category

Nearby travel agencies