Utalii wa asili na utamadunitz

Utalii wa asili na utamadunitz Greenleaf tour and Safari

Nahitaji kufahamu zaidi kuhusu hili!
04/01/2024

Nahitaji kufahamu zaidi kuhusu hili!

Utamaduni wa Kiafrika haupoatikani kwingineko duniani zaidi ya Afrika... Tuulinde na kuudumisha.. napenda utamaduni wang...
22/10/2021

Utamaduni wa Kiafrika haupoatikani kwingineko duniani zaidi ya Afrika... Tuulinde na kuudumisha.. napenda utamaduni wangu❤️

Tembelea tamasha la  cultural tourism hufanyika huko Serengeti mkoani mara, kilomita 90 kutoka geti la ikoma la hifadhi ...
02/08/2021

Tembelea tamasha la cultural tourism hufanyika huko Serengeti mkoani mara, kilomita 90 kutoka geti la ikoma la hifadhi ya Serengeti...ujifunze utamaduni wa wakurya ama abakuria..😍

.../abakurya...
02/08/2021

.../abakurya...

...asili yetu..😍😍
02/08/2021

...asili yetu..😍😍

...je unafahamu chochote umhimu wa mkia wa ng'ombe katika matumizi yake kwenye kabila lako?Amstel Amat
02/08/2021

...je unafahamu chochote umhimu wa mkia wa ng'ombe katika matumizi yake kwenye kabila lako?

Amstel Amat

... nafurahia kubaki nyumbani Afrika 😍😍UtUtalii wa asili na utamadunitzaUtalii wa asili na utamadunitzsUtalii wa asili n...
02/08/2021

... nafurahia kubaki nyumbani Afrika 😍😍
UtUtalii wa asili na utamadunitzaUtalii wa asili na utamadunitzsUtalii wa asili na utamadunitzaUtalii wa asili na utamadunitztUtalii wa asili na utamadunitzaBaraka MgangagBaraka Mganga

...
02/08/2021

...

...naupenda utamaduni wangu... Wewe je?
02/08/2021

...naupenda utamaduni wangu... Wewe je?

Tanzania a Soul of Africa!!
21/06/2021

Tanzania a Soul of Africa!!

Visit Lutindi Cultural and Eco Tourism
01/05/2021

Visit Lutindi Cultural and Eco Tourism

Abakuria au wakurya Ni kabila ka watu wanaoishi katika wilaya ya Rorya, Tarime na Serengeti mkoa wa mara.Mnamo mwaka 200...
01/05/2021

Abakuria au wakurya
Ni kabila ka watu wanaoishi katika wilaya ya Rorya, Tarime na Serengeti mkoa wa mara.
Mnamo mwaka 2005 walikadiriwa kuwa 690,000 ikiwa ni 430,000 wanaoishi Tz na 260,000 nchini Kenya.
Wanadhaniwa walikuwa kundi moja na waakisi wa Kenya hadi waliposhambuliwa vikali na wamasai mnamo karne ya 19 na kusambaratishwa sehem tofautitofauti na kufanya lahaja mbili Inazofanana.
Abakurya wamegawamyika katika makabila madogo au koo 16 nazo ni Nyabasi, Bakira, Bàirege, Bagumbe, Batimbaru, Banyamongo, Bakenye, Basimbiti, Basweta, Barenchoka, Baikoma, Bamerani na mengineyo
.Tembelea Mwl. Julius Kambarage Nyerere Museum.

16/04/2021

The beauty of Africa❤

Namite binti wa kitanzania, balozi wa mazingira nchini Itali. Anapenda utamaduni wa nyumbani Tanzania❤
19/08/2020

Namite binti wa kitanzania, balozi wa mazingira nchini Itali. Anapenda utamaduni wa nyumbani Tanzania❤

Vyombo na chakula cha asili cha jamii ya
11/08/2020

Vyombo na chakula cha asili cha jamii ya

Address

Dodoma

Telephone

+255626537364

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Utalii wa asili na utamadunitz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Utalii wa asili na utamadunitz:

Videos

Share