Kwetu MAFIA

Kwetu MAFIA Mafia ni sehemu tulivu, awezae na aje kujionea. Mafia ni sehemu salama
(1)

  na Daku ya nguna:Nilifanya daku hiyo kitu, kufika saa mbili na nusu asubuhi miguu inatetemeka.
25/03/2025

na Daku ya nguna:

Nilifanya daku hiyo kitu, kufika saa mbili na nusu asubuhi miguu inatetemeka.

  na MV. Kilindoni : Alhamisi 27/03/2025 : Nyamisati : 6:00 (Saa sita usiku) : Mafia 10:00 (Saa kumi jioni)TANBIHMV Kili...
25/03/2025

na MV. Kilindoni
: Alhamisi 27/03/2025
: Nyamisati
: 6:00 (Saa sita usiku)

: Mafia 10:00 (Saa kumi jioni)

TANBIH
MV Kilindoni itaelekea Nyamisati na Kurudi Mafia Siku hiyo hiyo ya Al-hamis

Daudy Daudy

  na mwahababuDah! Nimefutari hii kitu, ninahara vibaya.
23/03/2025

na mwahababu

Dah! Nimefutari hii kitu, ninahara vibaya.

  na Matukio:Dogo amezingua na tumewaalika watu leo.   Hatumwagi tunawapelekea k**a kawa.😀
22/03/2025

na Matukio:

Dogo amezingua na tumewaalika watu leo. Hatumwagi tunawapelekea k**a kawa.😀

  na MV. Kilindoni : : Jumanne 25/03/2025 : Mafia-Nyamisati : 6:00 (Saa sita usiku) : Nyamisati-Mafia : 10:00 (Saa kumi ...
22/03/2025

na MV. Kilindoni :

: Jumanne 25/03/2025
: Mafia-Nyamisati
: 6:00 (Saa sita usiku)

: Nyamisati-Mafia
: 10:00 (Saa kumi jioni)

TANBIH : Meli itaelekea Nyamisati na kurudi Mafia siku hiyo hiyo ya Jumanne 25/03/2025

 Kati ya kongwe na ya  sasa ipi bora?
21/03/2025


Kati ya kongwe na ya sasa ipi bora?

  na Kasongo:Ukiambiwa usiende kazini, tumia pesa zako, zikiisha ndo mwisho wa uhai wako.  Utafika siku ngapi?😀Kuna sisi...
21/03/2025

na Kasongo:

Ukiambiwa usiende kazini, tumia pesa zako, zikiisha ndo mwisho wa uhai wako. Utafika siku ngapi?😀

Kuna sisi wengine hata jua halizami.

 MV. Kilindoni
21/03/2025


MV. Kilindoni

 RATIBA YA MV KILINDONISIKU: Ijumaa 21/03/2025KUTOKA: MafiaKWENDA: NyamisatiMUDA: Saa 00:30 usikuTiketi zitaanza kukatwa...
19/03/2025


RATIBA YA MV KILINDONI
SIKU: Ijumaa 21/03/2025
KUTOKA: Mafia
KWENDA: Nyamisati
MUDA: Saa 00:30 usiku

Tiketi zitaanza kukatwa kesho 20/03/2025 Ujenzi saa 2:00 asubuhi.

 Wa Kilindoni tujuane kwenye komenti. Sisi ni ndugu😀
18/03/2025


Wa Kilindoni tujuane kwenye komenti. Sisi ni ndugu😀

 Yani jirani amenunua TV mpya amenifata mbele ya mke wangu na kuniuliza k**a ninataka boksi. Na anajua k**a sisi hatuna ...
17/03/2025


Yani jirani amenunua TV mpya amenifata mbele ya mke wangu na kuniuliza k**a ninataka boksi. Na anajua k**a sisi hatuna TV, ananitafutia balaa huyu.

  na mwenye Nyumba:Ba mwenye nyumba shika adabu yako, tusinyanyasane, kwani sikulipi?Jamaa alimfata nje😀😀😀😀😀
15/03/2025

na mwenye Nyumba:

Ba mwenye nyumba shika adabu yako, tusinyanyasane, kwani sikulipi?

Jamaa alimfata nje😀😀😀😀😀

 Kwani si wamefungiwa mwezi huu?   Napita nayo tu.
15/03/2025


Kwani si wamefungiwa mwezi huu? Napita nayo tu.

 Humu nimemuona mwari saaaaafi, ngoja mwezi uishe tupeleke posa.
11/03/2025


Humu nimemuona mwari saaaaafi, ngoja mwezi uishe tupeleke posa.

 Mukiambiwa muoe, eti hali ngumu. Ona sasa unampelekea jirani akutengezee alafu achukue na yeye.   Pumbaaaaafu.
11/03/2025


Mukiambiwa muoe, eti hali ngumu. Ona sasa unampelekea jirani akutengezee alafu achukue na yeye. Pumbaaaaafu.

Mafia est l'une des belles et attrayantes îles. il y a beaucoup d'hôtels qui sont trouvés là bas.
10/03/2025

Mafia est l'une des belles et attrayantes îles. il y a beaucoup d'hôtels qui sont trouvés là bas.

 Kuna bibi nilimkanyaga, aliongea hadi tunafika Mafia.
09/03/2025


Kuna bibi nilimkanyaga, aliongea hadi tunafika Mafia.

Vipi huko?
07/03/2025

Vipi huko?

Address

Kilindoni

Telephone

+255782787895

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kwetu MAFIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kwetu MAFIA:

Videos

Share