12/08/2024
*KARIBU KWENYE TUKIO HILI MBEYA UTAKUTANA NA WAKULIMA WENGI WA COCOA PIA WATENGENEZAJI WA CHOCOLATE..ENEO LA TUKIO LIMEZUNGUKWA NA KILIMO CHA COCOA.*
*PROJECT HII*
inaunganisha wizara husika katika eneo sahihi
➖Viwanda na biashara
➖kilimo na Umwagiliaji watu watapata kujifunza kupitia ziwa Maji ya ziwa ni fresh hayana chumvi.
➖Uvuvi...njia zipi ufuge Samaki pia vizimba na utengenezaji wa ajira za uvuvi
➖ Mazingira
➖Utalii.
*Tukio litafanyika umbali wa Mita 400 kutoka USAWA wa ziwa*