13/01/2025
Karibu Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli,
Kwa safari za kila siku na za moja kwa moja kutoka Dar-es-salaam kwenda mikoa mingine na kutoka mikoa mingine kwenda Dar-es-salaam,
Pia safari za kila siku na za moja kwa moja kutoka Mwanza kwenda mikoa mingine na kutoka mikoa mingine kwenda Mwanza.
Tiketi za Mabasi yote zinapatikana hapa Warusimbi. Tafadhali tembelea ofisi zetu zinazopatikana;
▪️MWANZA
Barabara ya Wurzburg, Nata, Mwanza.
Simu: 0767812351|0715652218|0783029580.
Barua Pepe: [email protected]
▪️DAR-ES-SALAAM
Ghorofa ya Pili, Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli (Mbezi), Dar-es-salaam.
Simu: 0767812351|0715652218|0783029580.
Barua Pepe: [email protected]