Zaks hotel and tours expert

Zaks hotel and tours expert Zaks hotel and tours expert is a expert in hotels and tours who support tourism in Tanzania and Africa.This page support and advertise our national parks

14/01/2020
09/11/2017

Name in English : Great White Pelican

Swahili name : Mwari Mweupe

Why do we have big groups of Pelicans in Lake Manyara ;

-this is because..

Pelicans are among the large aquatic birds that occur in salt and fresh water.

They normally feed on fish 🐠 and other aquatic vertebrates..
and our Lake manyara offers it all , and thats why when the lake is full,these birds are shining the lake with their sounds of happiness.

Kwanini tuna makundi makubwa ya mwari mweupe katika hifadhi hii ?

Ni sababu ..

Mwari mweupe ni moja kati ya ndege wakubwa waishio kwenye maji,( aquatic birds ), wanapendelea kula samaki na viumbe vingine vidogo vinavyopatikana majini.

Na Ziwa Manyara likiwa limejaa huwa na chakula kingi kipendelewacho na ndege hawa.

05/02/2017
05/12/2016
30/11/2016

:Huyu ndio nyoka mwenyekasi zaidi na mwenye sumu kali zaidi duniani,Nyoka huyu ujulikana k**a KOBOKO au Black Mamba.
hupatikana katika sehemu za Mashariki na Kusini mwa Afrika huishi katika Makazi yoyote ambayo hutoa joto na unyevunyevu.
Nyoka huyu akitaka kufanya shambulio hutanua kinywa chake na shingo yake na hutoa sauti k**a ile ya tairi likiwa linatoa upepo.
Black mamba ana aina mbili ya sumu zinazozalishwa katika mwili wake moja ni huitwa (Neuro) hii huathiri mfumo wa neva na nyingine ni (Cardio-toxin) hii huathiri mfumo wa moyo na sumu hizi zinaweza kuua binadamu chini ya dakika 20.
Pia imethibitika kuwa matone mawili ya sumu yake yanaweza kuua lakini mbali na kiasi kikubwa cha sumu kali sana aliyonayo, Koboko hana ujanja mbele ya Nguchiro,Mbweha, na Nyegere.

22/11/2016
11/08/2016
09/08/2016

A world without lions is a world we never want to see. Let us know why you think we need to protect these big cats.

06/08/2016

DID YOU KNOW? Only one mammal can’t jump — the elephant.

JE WAJUA? Tembo ni mnyama pekee katika kundi la mamalia asiyeruka (sio k**a ndege)

02/08/2016

Kunguru anasimama kichwani mwa kulungu aking'oa manyoya ili kujenga kiota chake.
Kunguru na kulungu wana uhusiano wa kunufaishana, kulungu anampatia kunguru manyoya, na kunguru anamsaidia kuwaua chawa.

23/06/2016

Too often, strategic and concerted efforts by law enforcement to intercept wildlife contraband are followed by weak penalties handed down in court.

Through judicial and prosecutorial trainings, we're helping countries like Ethiopia and Kenya strengthen their response to wildlife crime: http://bit.ly/wildlife-laws

23/06/2016

Zanzibar yazindua kituo cha maonyesho na kumbukumbu za Biashara ya Utumwa.

Zanzibar has launched the East African Slave Trade Center to preserve information on slave trade

23/06/2016

Twende Ngorongoro Kreta...

Ofa maalumu watu 8 kwenda kutembelea Kreta ya Ngorongoro wikiendi hii kwa Tshs 45,000/- KWENDA & KURUDI KUTOKEA ARUSHA

Gharama hii ni kwaajili ya usafiri & kiingilio. Mawasiliano 0713633550/0752078052

22/06/2016

Kila mtu hapa anayesoma ishu hii hapa anatambua kuwa Tanzania yetu ni Nchi iliyobarikiwa sana katika vivutio mbalimbali vya utalii lakini pia tukili kuwa wachache wanafahamu kivutio flani kipo wapi, sasa swali la leo ni Je Maporomoko haya ya maji yanaitwaje na yapo Mkoa Gani hapa Tanzania? Karibuni

22/06/2016

Unajua nini kinaendelea hapa?

Just a check-up? Bird acts as dentist to clean giraffe’s teeth

Amazing photos show a meticulous bird cleaning the teeth of a giraffe in Tanzania

22/06/2016

Poaching isn't the only elephant-issue that exists in the Lower Zambezi ecosystem; conflict between farmers and elephants who eat their crops also must be addressed. We're helping Conservation Lower Zambezi - CLZ tackle both issues through our Urgent Response Fund grants. Here's how: http://bit.ly/AWF_CLZ

18/06/2016

Dakika 10 tu kutoka Kunduchi, unakutana na kisiwa maridadi cha Mbudya.

Mbudya Island
A 10-minute motorboat ride from Kunduchi, beautiful Mbudya Island, in the Dar es Salaam Marine reserve, seems a world away from the hustle and bustle of downtown Dar es Salaam. Sun seekers come here to bask on the island's white-sand beaches, snorkel, and swim the turquoise waters. Bandas (thatched huts) are available for rent on the beach, and locals sell fresh barbecued seafood and cold drinks. This is one of the most popular day trips from the city.

18/06/2016

Witness the Great Migration

They call it ‘great’ for a reason: some two million ungulates – over a million wildebeest, plus zebra, gazelles and eland – rumble across the sweeping savannah of Tanzania’s Serengeti. It’s one of nature's greatest spectacles and a highlight of any visit to Tanzania.

18/06/2016

Serengeti National Park,Tanzania.

05/06/2016

Giraffes, Tanzania

30/05/2016

Serikali ya Rwanda kuondoa mahitaji ya Visa kwa raia wote wa Bara la Afrika, hatua hii imefikiwa ili kuvutia uwekezaji na utalii.

- Umoja wa Afrika umejiwekea lengo la kutaka nchi zote za Afrika kuondoa mahitaji yote ya Visa kwa nchi za Afrika ifikapo mwaka 2018

Zaidi, soma => bit.ly/1U6LAal

28/05/2016

A view of the Old Mosque on the island of Kilwa Kisiwani, Tanzania

28/05/2016

The look of love in Serengeti, Tanzania.

JE WAJUA?
>Yai la mbuni lina uzito wa mpaka kg 1.4
>Yai moja la mbuni ni zaidi ya mayai 20 ya kuku
> mbuni huatamia mayai yake kwa siku 35-45
>jike huatamia mchana, dume usiku.

26/05/2016

Je wajua? Mkonga wa tembo hubeba maji mpaka lita 14 kwa mara moja, tembo anakunywa maji mpaka lita 200 kwa siku lakini wana uwezo wa kukaa hata siku 4 bila kunywa maji. Pia wana uwezo wa kunusa maji yaliyoko umbali wa km 5

Elephant trunks can suck up about 14 litres of water at a time, then pouring into their mouths. They drink up to 200 litres of water a day, but can go up to 4 days without water and they can smell water from 5 km away.

26/05/2016

Duluti crater, Arusha
Just a 10 minute easy drive out of Arusha town in lies a mysterious yet spiritual and very scenic crater

Ziwa hili limo ndani ya eneo tengwa la Msitu wa Duluti. Ni Eneo ambalo linasimamiwa na idara ya misitu. Kimsingi, ziwa hili limezungukwa na msitu wa Duluti kila upande hali ambayo inatoa mandhari nzuri
kwa mgeni anayelitembelea.

Address

Zaksyusuph@yahoo. Com
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zaks hotel and tours expert posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category