18/01/2025
Baada ya kimya kirefu, tours za ndani za Safaris Partners zimerudi kwa kishindo!
Kwa kuanzia, tunakukaribisha kwenye Get Together Party itakayofanyika:
📅 Tarehe: 1 hadi kuamkia 2 Machi
📍 Mahali: Bahati Camp
Shughuli za Get Together
🔥 Camping ndani ya Bahati Camp
🔥 Bonfire Night
🔥 Upigaji kura kwa ajili ya safari za mwaka 2025
🔥 Muziki wa kuvutia
🔥 Michezo ya kufurahisha
🔥 Nyama Choma tamu
Yote haya kwa Tsh 55,000 tu!
🎉 Na unaruhusiwa kulipia kidogo kidogo. Usikose nafasi hii ya kuanza mwaka na Bata za Safaris Partners!
Wasiliana Nasi
📞 Simu:
0768 141 516
0657 328 596
0717 487 246
📱 Mitandao ya Kijamii:
Tupate Instagram na Facebook kwa jina Safaris Partners
Mwambie mwenzako, bata za Safaris Partners zimerudi!