Zanzibar Tour Transfer & Excursions

Zanzibar Tour Transfer & Excursions deals in tours and excursions

01/02/2024

Ulinzi na Usalama ni muhimu Sana

25/10/2023
12/10/2023

Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Meneja wa Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally.

03/10/2023

π‡πˆπˆ ππ†πŽπŒπ€ πŒππ€π˜πŽπˆππˆπ†π€ πŒπ“π€πˆπ‚π‡π„π™π€ π–π„ππ˜π„π–π„.

Ukikaa kwenye Banda umiza utasikia mdundo wa Ngoma Wenye chuki na ukakasi kwa Simba Sc......Ukikaa kwenye vijiwe vya kahawa utasikia mlio wa Ngoma ukivuma Wenye kuleta Taharuki na mfarakano kwenye Benchi la Simba Sc...... Ukiwa kwenye Daladala utasikia mlio wa Ngoma ukikuhitaji uucheze hata K**a huelewi unataka uucheze vipi.

Lakini kwasababu Tumeamua kuucheza bila kuakisi mlio wa wapigaji, Basi tunajikuta tunaucheza tu kila mtu kwa mpangilio wake na kukosa ladha halisi kwa watu wanaotutazamaπŸ“Œ.

Binafsi nipo pembeni kwenye hii ngoma inayopigwa na watu ambao kwao Ni furaha kutokana na uchezaji wa watu wanaowapigia hii Ngoma kuicheza bila mpangilio nakuonekana Kumbe hawajui Asili ya Mdundo huo kwao Ni kituko na wanawaona "Weupe Tu".

Naukumbuka Ule usiku wa Klabu Bingwa pale Jijini "Casablanca, Morocco πŸ‡²πŸ‡¦" katika hatua ya robo Fainali msimu uliyopita Dhidi ya Wydad Casablanca Simba SC Tanzania wanacheza Mechi ya kiume Sana chini ya Kocha Robertinho hakuna mtu aliyetarajia K**a mfalme wa Jiji la Casablanca akiomba mungu mpira japo uishe wajaribu kupata ushindi kwa njia ya mikwaju ya Penati Asubuhi na mapema watu wanajazana pale "JNIA" Kuipokea Simba huku Robertinho' akionekana Ni shujaa Sana.

Ilikuwa Ni mbinu za kiufundi na siyo bahati akiwa ameikuta Timu katikati mwa msimu ikiwa Hakuna pendekezo la mchezaji wake hata mmoja anavunja uteja mbele ya watani zetu Yanga ambao Before tulikuwa wateja zao....hapa naomba nieleweke simpi sifa kwakuifunga Yanga Bali alirejesha Heshima kwa Klabu na watu wake Hususani kwenye Dabi.

Anaenda kumaliza Ligi Kuu bila kupoteza Mchezo wowote Timu ikiwa na displine kubwa wachezaji muhimu wakiandamwa na Majeruhi bado anafosi kete zake vizuri tunamaliza Ligi nyuma ya Yanga mbele ya Azam tukiwa nafasi ya Pili huku ikiwa Ndiyo Timu pekee iliyofunga na kutengeneza nafasi nyingi msimu uliyopita.

Ndio yeye Robertinho' ambaye Tumeamua kuucheza Mdundo wa Ngoma "Hatumtaki"
Ukimuuliza shabiki huyu anayesema Robertinho' aondoke Ni kwasababu gani.....? Atakwambia "Timu haichezi Vizuri" Mgumu kufanya Sub" Hana Rotation"

Mtu huyu siyo kwamba majibu hayo anauhakika nayo, Bali ameamua tu kuicheza Ngoma ambayo hajui Asili ya Mdundo wake na hamjui mpigaji.

Suala la Rotation kwenye Timu linahitaji muda ili mchezaji aingie kwenye falsafa ya mwalimu taratibu, Timu kucheza vizuri inategemea na Aina ya Mechi inahitaji Nini, Kwa mfano Mechi ya Jana Simba waliingia kwa mkakati yakuitafuta hatua ya makundi tu iwe sare au ushindi kwasababu Mpinzani tayari kwake alishaharibu na kilichobaki kwao ilikuwa Ni kujilipua K**a njia yakuitafuta Bahati na wameshindwa K**a suala la kufanya "Sub" yeye ndio alimnyanyua Captain Rafael Bocco na kumtoa Baleke' naamini wengi mliikosoa Ile sub lakini Leo hii wote Mnajuwa kilichotokea baada ya sub Ile.

Ngoma inapigwa na mpigaji hatumuoni lakini katika Hali ya kushangaza tunaicheza bila kujuwa mlio unatoka wapi na Nani anapiga hiyo Ngoma.

Amkeni Mashabiki wa Simba huo Ni mtego kwenu kwa watu ambao washaona Simba Ni ngumu kuifunga chini Robertinho' ukijitahidi Sana sare otherwise ufungwe iwe kwa matuta au ndani ya dakika 90'.

Leo hii shabiki wa Simba unaingizwa mkenge na watu wanaojifanya Ni Simba wengine juzi tu hapa tumetoka kuwashtukia agenda yao kuisema Simba Benchi la ufundi ili kuleta mfarakano na wao wapate kuishinda hii Vita mapema.

Mwalimu tunayemkataa ndio huyo Hadi Sasa kashabeba Ngao ya Jamii ambayo Watani waliitaka kwa udi na Uvumba, Mwalimu tunayemkataa ndio huyo Hadi Sasa hajapoteza Mchezo wowote wa Ligi Kuu yupo nafasi ya 3 ndani ya Mechi 3 tuna alama 9 tukiwa sawa na huyo anayeongoza Ligi.

Binafsi nimesikitika Sana kuona Hadi Kurasa zinazo sapoti Simba Leo hii wanashinikiza Robertinho' afukuzwe aletwe Nabi, Sasa nabi K**a kocha mzuri kwanini kaondolewa mapema TU kwenye hii Michuano ya Klabu Bingwa?

Mnataka Timu icheze K**a wanavyocheza Yanga, kwani Robertinho' na Gamond walisomea Ukocha sehemu moja?

Msichokijuwa katika mpira kila mwalimu anafalsafa yake ya uchezaji, Pep Guadiola hawezi kucheza K**a Zidane, Jose Mourinho hawezi kucheza K**a Arsenal Wenger, Lakini makocha hao wote wanamafanikio na kila mmoja akishinda kwa style yake, kesho na kesho kutwa Robertinho' atafukuzwa atakuja mwalimu mwengine atacheza mnavyotaka Mashabiki lakini atafungwa Sana na atakosa Mataji Kisha mtalaumu Tena Bora Timu ipate Matokeo kuliko kufungwa huku Unacheza vizuri.

Amkeni Mashabiki wa Simba Bila ya Hivyo hii Ngoma mtaicheza Wenyewe, Ni Mimi Augustine Okrah "Ukicopy Usisahau Kunipa Credit"

Amkeni Mashabiki wa Simba Bila ya Hivyo hii Ngoma mtaicheza Wenyewe, Ni Mimi MOUD Mtanzania

21/08/2023
Kuza Cave at Jambiani
21/08/2023

Kuza Cave at Jambiani

21/08/2023

Kuza Cave at Jambian

Kae Funk
21/08/2023

Kae Funk

East coast beach
16/08/2023

East coast beach

16/08/2023

ORODHA YA MAKOCHA WALIOPITA SIMBA SC

1. James Siang’a (2001 -2004)
2. Patrick Phiri (2005, 2010, 2013)
3. Neider dos Santos (2006)
4. Talib Hilal (2007)
5. Nielsen Elias - 2008
6. Milovan Cirkovic (2009, 2012)
7. Krasmir Benziski (2011)
9. Moses Basena (2011)
10. Patrick Liewig (2013)
11. Abdallah Kibaden (2013)
12. Zdravko Logarusic (2013-2014)
13. Goran Kopunovic (2014-2015)
14. Dylan Kerr (2015-2016)
15. Jackson Mayanja (2016)
16. Joseph Omog (2016-2017)
17. Pierre Lechantre (2017-2018)
18. Patrick Aussems (2018-2019)
19. Sven Vandenbroeck (2019-2021)
20. Didier Gomez (2021)
21. Robertinho .....

TAJA KOCHA WAKO BORA KWA MUDA WOTE PALE SIMBA SC

11/08/2023

Baobab tree

The sunset at South beach Kae Funk
11/08/2023

The sunset at South beach Kae Funk

11/08/2023

Kae Funk Beach

11/08/2023

Kae funk Beach

11/08/2023

The picture of Mtende Tour

Still Mtende Tour
11/08/2023

Still Mtende Tour

Welcome at Kiwengwa apartment
01/06/2023

Welcome at Kiwengwa apartment

31/05/2023

Day trip to Mikumi Pack,from Zanzibar

07/05/2023

Karibu Apartment Welcome

Early Morning Departure
09/04/2023

Early Morning Departure

07/04/2023
Departure of friends of mine,from Norway

Zanzibar Door
07/04/2023

Zanzibar Door

Address

Kiwengwa
Zanzibar City

Telephone

+255777799777

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Tour Transfer & Excursions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Zanzibar Tour Transfer & Excursions:

Videos

Share

Category

You may also like