22/07/2024
Habari, Mwanafunzi
Tunapenda kukumbusha kuwa ufadhili wa masomo katika vyuo vikuu vilivyopo nje ya nchi bado uanendelea. Katika nhi mbalimbali zikiwemo
Malaysia
India
Cyprus
Turkey
Russia
N.k
Mwanafunzi atapata hadi asilimia 80% ya ufadhili katika ada na malazi.
Hakuna malipo ya service fee
Fika sasa ofisini kwetu leo ukiwa na documents zako kufanya maombi
๐Jengo la Posta Kijangwani ghorofa ya kwanza chumba namba 11 - Zanzibar
๐ฒ0684840893 au 0713548263
Wahi sasa nafasi ni chache