22/02/2023
Alhamdulillah ile ahadi ya Rais wa Zanzibar kupitia Wizara ya Uchumi wa Wizara Ya Uchumi Buluu ya kuwajengea wananchi wa Unguja mashamba 50 ya majongoo Leo imetimia.
Wananchi wa Fuoni Kibondeni wapata mashamba manne.
Wizara ya Uchumi wa Buluu inatekeleza Kwa vitendo. Ni wananchi kupokea na kukifanyia kazi kile walichoahidiwa.
Muelekeo ni Pemba......
Hongera Mheshimiwa Rais
Hongera Waziri wa Uchumi wa Buluu
Hongera Katibu Mkuu na Wakurugenzi wa Wizara ya Uchumi wa Buluu