17/12/2022
Mdogo wangu
Kipekee naomba Kumshukuru Mungu kwa ajili yako. Umekua mwema sana kwangu, ingawa kuna nyakati k**a kaka yako nimekua mkali na kukuonea sana ila hata siku moja hujawahi kuacha kunipenda na kunithamini.
Asante kwa kunipa hamasa ya kupambana na maisha na kwa kipindi chote umekua ukinitia moyo mno.
Nakumbuka miaka 22 iluyopita ukiwa na miaka 7 nilipopanda mlima Kilimanjaro kutengeneza documentary na kitabu cha kutangaza mlima huo na utalii kwa ujumla, wewe licha ya kutokuelewa umuhimu wake na udogo kiumri lakini bado ulinihimiza na kusema kaka unaweza.
Asante sana, Mungu akubariki sana na tuzidi kupendana mdogo wangu. All will be well 🙏