
12/08/2024
BillNandy Fresh Juice indani ya Kijagi!!!
Hii ni special offer kwa friends, family or workers.
Tunakupatia BilNandy juice kwenye package ya kijagi kwa Tsh 7000/= tu. Hii bwana ninnzuri san ukiwa na marafiki zako. Pata kuburudika na marafiki zako, familia yako au wafanyakazi wenzio huku ukiperuzi na free WiFi yetu.
Tupigie na uagize tukuletee popote ulipo.
#