ngomaafrikamorogoro

  • Home
  • ngomaafrikamorogoro

ngomaafrikamorogoro Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ngomaafrikamorogoro, Art Tour Agency, .

Tunawashukuru wazazi na watoto wote waliofika kwenye Banda la Nanenane 2024.Thank you to all the wonderful parents and k...
10/08/2024

Tunawashukuru wazazi na watoto wote waliofika kwenye Banda la Nanenane 2024.

Thank you to all the wonderful parents and kids who joined us at our Nanenane cabin 2024.

The Swahili term Visasili translates into myths. Which is embodying the art of storytelling within the Swahili cultural ...
15/11/2023

The Swahili term Visasili translates into myths. Which is embodying the art of storytelling within the Swahili cultural context.
Myths are timeless narratives passed down orally, intricately weaving tales that explain origins, express values, and contribute to the cultural identity of the community.
These myths, whether spoken or shrouded in secrecy, are the lifeblood of cultures. They are the whispers of ancestors, the lessons for the present, and the promises for the future.

Katika mjadala kuhusu "zamani" na "kale" ndani ya utamaduni wa Kiafrika, kuna tofauti muhimu. Kauli "zamani" inahusu vit...
08/11/2023

Katika mjadala kuhusu "zamani" na "kale" ndani ya utamaduni wa Kiafrika, kuna tofauti muhimu. Kauli "zamani" inahusu vitu vilivyokuwepo kwa muda mrefu, ikionyesha utamaduni na mila zilizorithishwa kutoka kizazi hadi kizazi. Kwa upande mwingine, "kale" inaenda nyuma zaidi, ikijumuisha hekima na maarifa yaliyohifadhiwa tangu nyakati za kale. Ingawa mifumo yote miwili ni muhimu, utamaduni wa Kiafrika unaipa umuhimu maalum hali ya kale, ukikubali utajiri na uhalali wa hekima zake katika kuongoza mazoea ya sasa.

AfriTerms Wednesdays:3"Wherever the African is, there is religion." "Popote Mwafrika alipo, kuna dini." John S Mbiti"Wit...
01/11/2023

AfriTerms Wednesdays:3

"Wherever the African is, there is religion."
"Popote Mwafrika alipo, kuna dini."
John S Mbiti

"Within the heart of African societies, rites and ceremonies stand as profound reflections of cultural heritage. These deeply rooted rituals and practices encompass the essence of African communities, marking pivotal life moments, and fostering a profound connection to ancestry. Through their symbolic richness, these rites serve as a bridge between generations, nurturing identity, community, and a cherished sense of continuity, encapsulating the very soul of African wisdom and legacy."

"Ndani ya jamii za Kiafrika, ibada na matamasha huonesha taswira ya kina ya urithi wa kitamaduni. Hizi desturi na mila zenye mizizi imara zinajumuisha kiini cha jamii za Kiafrika, zikisherehekea nyakati muhimu za maisha na kuimarisha uhusiano wa kipekee na nasaba. Kupitia utajiri wa kialama wa nyakati hizo, ibada hizi hufanya k**a daraja kati ya vizazi, kukuza utambulisho, jamii, na hisia ya mwendelezo wa thamani kuu ya hekima na urithi wa Kiafrika."

AfriTerms Wednesdays: 2 Rituals/Matambiko Kindly tell us what you think on this.😊
11/10/2023

AfriTerms Wednesdays: 2
Rituals/Matambiko
Kindly tell us what you think on this.😊

AfriTerms Wednesdays : 1JADI/TRADITIONthere is a tendency of many to confuse between the terms Culture and Tradition, th...
04/10/2023

AfriTerms Wednesdays : 1

JADI/TRADITION
there is a tendency of many to confuse between the terms Culture and Tradition, though in some peculiar manners they stand on the same thing but they are arguably different, as of factors like time and many others.😊

Utamaduni na Jadi ni vitu ambavyo huchanganya wengi. Matumizi ya neno Utamaduni badala ya Jadi ikiwa ni moja kati ya mazoea makubwa katika jamii yetu siku hizi. Ingawa wawili hawa husimamia kitu kimoja saa nyingine, wawili hawa ni tofauti na tofauti zao husababishwa na vitu k**a zingatio la Muda na sababu zinginezo. 😁

Je ungependa kushiriki nasi katika kubadilishana uzoefu wa kitamaduni...fuatilia link hii hapa chini na karibu Ngoma Afr...
28/08/2023

Je ungependa kushiriki nasi katika kubadilishana uzoefu wa kitamaduni...fuatilia link hii hapa chini na karibu Ngoma Afrika, Morogoro kwa taarifa zaidi... http://forms.gle/EgioZNepn2dKNNQ57.

The original African school of thought        Posted as part of African Culture Studies short courseRegister today ☺️ Li...
11/07/2023

The original African school of thought


Posted as part of African Culture Studies short course
Register today ☺️
Link in the Bio

The complete package to transform, evolve and excel you within the African market.🔗Link in the bio📍 Motel 88 Nanenane Mo...
08/07/2023

The complete package to transform, evolve and excel you within the African market.
🔗Link in the bio
📍 Motel 88 Nanenane Morogoro, Tanzania
Warm regards 😊
Ngoma Afrika Morogoro.

Nikuze Children Art Monthly highlight
04/05/2023

Nikuze Children Art Monthly highlight

NIKUZE monthly highlight.
27/03/2023

NIKUZE monthly highlight.

Don't plan to miss this unique Platform.... karibu sana!
04/02/2023

Don't plan to miss this unique Platform.... karibu sana!

Today at Nafasi Art Space...VIA Creative Project final ceremony. Road safety awareness for primary schools in Dar es Sal...
30/09/2022

Today at Nafasi Art Space...VIA Creative Project final ceremony. Road safety awareness for primary schools in Dar es Salaam.

ONE OF THE BEST COURSE ON AFRICAN CULTURE YOU WILL EVER GET IN A  LIFETIME.ENROLL TODAY.open this link to apply:http://s...
18/08/2022

ONE OF THE BEST COURSE ON AFRICAN CULTURE YOU WILL EVER GET IN A LIFETIME.
ENROLL TODAY.
open this link to apply:
http://shorturl.at/bfiP0

One of the best African Cultural Courses you will get in a lifetime.enroll today
04/08/2022

One of the best African Cultural Courses you will get in a lifetime.
enroll today

Wachongaji wanapokutana. When Sculptors meet.Today at Nafasi Art Space. Karibu later today for Artist Hangout.
04/07/2022

Wachongaji wanapokutana. When Sculptors meet.
Today at Nafasi Art Space. Karibu later today for Artist Hangout.

NIKUZE Children ARTS Session is designed to give a child an opportunity to learn different things through the art.Progra...
01/07/2022

NIKUZE Children ARTS Session is designed to give a child an opportunity to learn different things through the art.
Programu ya Sanaa kwa watoto, NIKUZE Ni kwa ajili ya watoto kujifunza mambo mbalimbali kwa kutumia Sanaa.
Karibuni Morogoro, karibuni Ngoma Afrika Center.

Nikuze Children Arts Session, Morogoro 18/6/2022 was a superb creative session for children. The session is every Saturd...
19/06/2022

Nikuze Children Arts Session, Morogoro 18/6/2022 was a superb creative session for children. The session is every Saturday. We have morning hours session from 9am to 12noon and afternoon hours from 2pm to 5pm. Parents are encouraged to bring their children to learn various skills and share experiences. Contribution is 10,000 per session.
Kipindi Cha Sanaa kwa watoto Cha Nikuze tarehe 18/6/2022 kilifanyika kwa mafanikio na ubunifu mkubwa. Tuna vipindi hivi kila Jumamosi asubuhi kuanzia saa 3 mpaka saa 6 na kipindi Cha mchana ni kuanzia saa 8 mpaka saa 11jioni. Wazazi wanahimizwa kuleta watoto wao kujifunza stadi mbalimbali za ubunifu na uzoefu. Mchango ni 10,000 kwa kipindi.

Karibu kwenye Tamasha la Sanaa na Utamaduni la watoto PAUKWA kuelekea miaka 60 ya Uhuru...
17/11/2021

Karibu kwenye Tamasha la Sanaa na Utamaduni la watoto PAUKWA kuelekea miaka 60 ya Uhuru...

As part of Morogoro town tour...Nafasi Academy Artists enjoy a moment at Apopo. We learned a lot about the life saving H...
13/11/2021

As part of Morogoro town tour...Nafasi Academy Artists enjoy a moment at Apopo. We learned a lot about the life saving Hero Rats

20/08/2021

UHURU THEATRICAL EXPRESSIONS
A theatrical oration of mere acts that are both compelling and provocative, please enjoy
-follow us
@ NgomaAfrikaMorogoro across all platforms
-Lets connect
[email protected]
+255782679162

19/08/2021

UHURU THEATRICAL EXPRESSIONS
A theatrical oration of mere acts that are both compelling and provocative, please enjoy
-follow us
@ NgomaAfrikaMorogoro across all platforms
-Lets connect
[email protected]
+255782679162

18/08/2021

UHURU THEATRICAL EXPRESSIONS
A theatrical oration of mere acts that are both compelling and provocative, please enjoy
-follow us
@ NgomaAfrikaMorogoro across all platforms
-Lets connect
[email protected]
+255782679162

17/08/2021

UHURU THEATRICAL EXPRESSIONS
A theatrical oration of mere acts that are both compelling and provocative, please enjoy
-follow us
@ NgomaAfrikaMorogoro across all platforms
-Lets connect
[email protected]
+255782679162

16/08/2021
CRAFT FOR DEMOCRACY DODOMA...Maandalizi yanaendelea
12/12/2020

CRAFT FOR DEMOCRACY DODOMA...Maandalizi yanaendelea

Craft for Democracy Arusha...maandalizi ya mradi wa Mafundisanaa.
09/12/2020

Craft for Democracy Arusha...maandalizi ya mradi wa Mafundisanaa.

Craft for Democracy Iringa....maandalizi yanaendelea
08/12/2020

Craft for Democracy Iringa....maandalizi yanaendelea

20/01/2020

Dying faces

Address


Telephone

+255782679162

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ngomaafrikamorogoro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ngomaafrikamorogoro:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Travel Agency?

Share