31/12/2022
SALAM ZA MWAKA MPYA.
Tunapenda Kuchukua Nafasi Hii Kutoa Shukrani Za Dhati Kwako Kwa Kuwa Nasi Kwa Kipichi Chote Cha Mwaka 2022.Hakika Kimekuwa Kipindi Kizuri sana Kwetu.
Pia Tunashukuru Wan Familia Kutoka Wilaya ya Tandahimba,Newala,Masasi Na Mkoa Wa Lindi Ambaye Umeendelea Kuwa Sehemu Ya Familia Yetu Ya KING_YASSIN_TOURS Kwa Kipindi Cha Mwaka Mzima.
Tunatumia Nafasi Hii Pia Kukuomba Radhi Endapo Ulikutana Na Changamoto Yoyote ile Pale Ulipohotaji Huduma Zetu.Hakika Tunaahidi Kuendelea Kuboresha Huduma Zetu Ziweze Kuendana Na Mahitaji Yako.
Mwaka 2023 Utakuwa Ni Mwaka Wa Mageuzi Makubwa Kwetu.Na Tunaahidi Kukupatia Huduma Bora Zaidi.
Sisi KING YASSIN TOURS Tunawapenda Sana Na Tunashukuru Sana Kuwa Sehemu Ya Familia Yetu.
Tunawatakia Kheri Ya Mwaka Mpya 2023.