Tanzania Safari Channel

  • Home
  • Tanzania Safari Channel

Tanzania Safari Channel Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania Safari Channel, Travel Company, .

This week,  is our  , sharing insights into his Journey, Challenge, and Motivation.๐Ÿ‘จ๐Ÿพโ€๐Ÿ’ป:
17/01/2025

This week, is our , sharing insights into his Journey, Challenge, and Motivation.

๐Ÿ‘จ๐Ÿพโ€๐Ÿ’ป:

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) linawatakia Wazanzibari na Watanzania wote maadhimisho mema ya Miaka 61 ya Mapinduz...
12/01/2025

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) linawatakia Wazanzibari na Watanzania wote maadhimisho mema ya Miaka 61 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.

This week, nguto_expeditions is our  , sharing insights into his Journey, Challenge, and Motivation.๐Ÿ‘จ๐Ÿพโ€๐Ÿ’ป:
10/01/2025

This week, nguto_expeditions is our , sharing insights into his Journey, Challenge, and Motivation.

๐Ÿ‘จ๐Ÿพโ€๐Ÿ’ป:

Leo Jumapili ya Januari 5, 2024 saa 3:00 usiku kupitia  kwenye Episode ya 24 ya Safari Tanzania, utamshuhudia  Mwimbaji ...
05/01/2025

Leo Jumapili ya Januari 5, 2024 saa 3:00 usiku kupitia kwenye Episode ya 24 ya Safari Tanzania, utamshuhudia Mwimbaji wa Bongo Fleva akiwa na

Azam TV Channel namba 401
ZUKU Channel namba 27
DSTV Channel namba 292
StarTimes Antenna Channel namba 331
StarTimes Dish Channel 542

Pia, unaweza kutazama kupitia ukurasa wa YouTube kwa anwani ya Tanzania Safari Channel.

Imedhaminiwa na




Safari Tanzania na   mpaka kwenye Ngoma za kitamaduni za kwao Ngoma za kitamaduni za Walangi akiwa na  na Usikose kutaza...
05/01/2025

Safari Tanzania na mpaka kwenye Ngoma za kitamaduni za kwao Ngoma za kitamaduni za Walangi akiwa na na

Usikose kutazama exclusive hii kupitia Jumapili saa 3:00 usiku.

Azam TV Channel namba 401
ZUKU Channel namba 27
DSTV Channel namba 292
StarTimes Antenna Channel namba 331
StarTimes Dish Channel 542

Pia, unaweza kutazama kupitia ukurasa wa YouTube kwa anwani ya Tanzania Safari Channel.

Imedhaminiwa na



Safari Tanzania na   mpaka kwenye Ngoma za kitamaduni za kwao Ngoma za kitamaduni za WalangiUsikose kutazama exclusive h...
04/01/2025

Safari Tanzania na mpaka kwenye Ngoma za kitamaduni za kwao Ngoma za kitamaduni za Walangi

Usikose kutazama exclusive hii kupitia Jumapili saa 3:00 usiku.

Azam TV Channel namba 401
ZUKU Channel namba 27
DSTV Channel namba 292
StarTimes Antenna Channel namba 331
StarTimes Dish Channel 542

Pia, unaweza kutazama kupitia ukurasa wa YouTube kwa anwani ya Tanzania Safari Channel.

Imedhaminiwa na



Tuambie huyu ni nani ambaye atakuwepo ndani ya Episode ya 24 kwenye msimu wa nne wa mfululizo wa vipindi vya Safari Tanz...
03/01/2025

Tuambie huyu ni nani ambaye atakuwepo ndani ya Episode ya 24 kwenye msimu wa nne wa mfululizo wa vipindi vya Safari Tanzania ?



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema uimarishaji wa miundombi...
01/01/2025

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema uimarishaji wa miundombinu ya mahakama ni hatua muhimu katika kuboresha huduma kwa wananchi.

Amesema hayo leo, Januari 1, 2025, wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mahakama ya Wilaya ya Magharibi B huko Kisakasaka, Zanzibar. Balozi Kombo ameeleza kuwa Serikali inayoongozwa na Dkt. Hussein Ali Mwinyi imedhamiria kumaliza changamoto za miundombinu kwa kujenga majengo mapya na ya kisasa.

Amebainisha kuwa mahakama nyingi zimekuwa zikikabiliwa na changamoto ya nafasi, ukosefu wa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu, na maegesho. Changamoto hizi zimekuwa zikiathiri upatikanaji wa huduma bora kwa wananchi.

Kwa upande wa Unguja, amesema mradi wa Loti Nambari 2 unahusisha ujenzi wa majengo manne: Mahakama ya Mkoa wa Kaskazini, Kusini, Mjini Magharibi, na Wilaya ya Magharibi B.

Waziri amehimiza watumiaji wa miundombinu mpya kuitunza ili iweze kudumu na kuwahudumia wananchi kwa miaka mingi ijayo.

Happy New Year!
01/01/2025

Happy New Year!

For the very first time, "A Day in..." is now live on your television through the Tanzania Safari Channel! Join us as we...
27/12/2024

For the very first time, "A Day in..." is now live on your television through the Tanzania Safari Channel!

Join us as we spend an unforgettable day with the lions, Casper and Nala, in the breathtaking Kilimanjaro region.

You can also catch "A Day with the Lion, Casper," anytime on YouTube via the Tanzania Safari Channel.

Tune in to Tanzania Safari Channel on

- DStv Channel 292
- Azam TV Channel 401
- Zuku Channel 27
- StarTimes Antenna Channel 331
- StarTimes Dish Channel 542

Don't miss out on this incredible experience!

Usikose kutazama sehemu ya pili ya Safari Tanzania na mtayarishaji wa maudhui ya mtandaoni  ndani ya eneo la uhifadhi wa...
27/12/2024

Usikose kutazama sehemu ya pili ya Safari Tanzania na mtayarishaji wa maudhui ya mtandaoni ndani ya eneo la uhifadhi wa wanyamapori la Randilen jijini Arusha.

Utampata Jumapili hii ya disemba 29, 2024 saa 3:00 usiku akiwa na kwenye Episode 23 ndani ya Tanzania Safari channel.

Azam TV Channel namba 401
ZUKU Channel namba 27
DSTV Channel namba 292
StarTimes Antenna Channel namba 331
StarTimes Dish Channel 542

Pia, unaweza kutazama kupitia ukurasa wa YouTube kwa anwani ya Tanzania Safari Channel.

Imedhamiwa na ;


25/12/2024

Eva from Ireland ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช wishes you a Merry Christmas ๐ŸŽ„ and a Happy New Year ๐ŸŽ‰

๐ŸŽฅ:
๐Ÿ–ฅ๏ธ:
โœ๐Ÿพ:

25/12/2024

Gloria from Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ wishes you a Merry Christmas ๐ŸŽ„ and a Happy New Year ๐ŸŽ‰

๐ŸŽฅ:
๐Ÿ–ฅ๏ธ:
โœ๐Ÿพ:


25/12/2024

Norman from Canada ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ wishes you a Merry Christmas ๐ŸŽ„ and a Happy New Year ๐ŸŽ‰

๐ŸŽฅ:
๐Ÿ–ฅ๏ธ:
โœ๐Ÿพ:


25/12/2024

Eva from Norway ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด wishes you a Merry Christmas ๐ŸŽ„ and a Happy New Year ๐ŸŽ‰

๐ŸŽฅ:
๐Ÿ–ฅ๏ธ:
โœ๐Ÿพ:


25/12/2024

Ellen and her son Han from Sweden ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช wish you a Merry Christmas ๐ŸŽ„ and a Happy New Year ๐ŸŽ‰

๐ŸŽฅ:
๐Ÿ–ฅ๏ธ:
โœ๐Ÿพ:


25/12/2024

Esther from Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ wishes you a Merry Christmas ๐ŸŽ„ and a Happy New Year ๐ŸŽ‰

๐ŸŽฅ:
๐Ÿ–ฅ๏ธ:
โœ๐Ÿพ:


25/12/2024

Rocko from Germany ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช wishes you a Merry Christmas ๐ŸŽ„ and a Happy New Year ๐ŸŽ‰

๐ŸŽฅ:
๐Ÿ–ฅ๏ธ:
โœ๐Ÿพ:


Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Safari Channel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Travel Agency?

Share