BillionaireMabeyo

BillionaireMabeyo Maisha yako ni jukumu lako lazima lazima uyapambanie

Believe your process.
01/17/2025

Believe your process.

*Let Me Remind You Something*        1- Wakianza kukuelewa, wachanganye Tena.2- Samahani bro ni utani tu.3- Usipotambua ...
01/14/2025

*Let Me Remind You Something*

1- Wakianza kukuelewa, wachanganye Tena.

2- Samahani bro ni utani tu.

3- Usipotambua umuhimu wa kurizika, Huwezi kujuwa madhara ya Tamaa.

4- Ukihitajika Utwaitwa.

5- Ukiona nyuma mlima jua mbele Mtaro .

6- Nyakati ngumu hazidumu Usivunjike Moyo.

7- Kutoa mimba haikufanyi kuwa msichana Mbali utabaki kuwa mama wa Marehemu.

Be mentally attractive.Have ambitions. Chase goals. Pursue a hobby.Make money. Start a side hustle. Build for the future...
01/12/2025

Be mentally attractive.

Have ambitions. Chase goals. Pursue a hobby.

Make money. Start a side hustle. Build for the future. Stand for something.

Intelligence is attractive.

 🎈 🎆 good people, pale tumekosea 2024 tumejifunza.Tuongeze juhudi kwenye kazi, nidhamu ya fedha, afya binafsi na kuwekez...
01/01/2025

🎈 🎆 good people, pale tumekosea 2024 tumejifunza.
Tuongeze juhudi kwenye kazi, nidhamu ya fedha, afya binafsi na kuwekeza kwenye familia.
Usijishughulishe na maisha ya watu ambao huna ukaribu nao, punguza chuki kwa watu hawakuhusu, penda watu wako kwa vitendo. #2025

Jifunze kukubali kuchukiwa. Hii inakupa uhuru wa kufanya kinachopaswa kufanyika, hata k**a hakipendwi. Changamoto kubwa ...
12/02/2024

Jifunze kukubali kuchukiwa. Hii inakupa uhuru wa kufanya kinachopaswa kufanyika, hata k**a hakipendwi. Changamoto kubwa zaidi maishani ni kugundua wewe ni nani. Changamoto ya pili ni kufurahia kile utakachogundua.

As a man, Never stay at home. That’s why you’re depressed. Go out, make friends, and create new connections. A man’s job...
11/26/2024

As a man, Never stay at home. That’s why you’re depressed. Go out, make friends, and create new connections. A man’s job is to face the world, take risks, and embrace difficulties.

Believe your process
11/14/2024

Believe your process

Temporary people, permanent lessons
11/10/2024

Temporary people, permanent lessons

Katika maisha, utagombana na watu ambao hukuwahi kufikiria ungeweza kugombana nao. Utasalitiwa na watu uliowaamini kwa m...
11/02/2024

Katika maisha, utagombana na watu ambao hukuwahi kufikiria ungeweza kugombana nao. Utasalitiwa na watu uliowaamini kwa moyo wako wote na kutumiwa na watu ambao ungeweza kuwafanyia lolote. Maisha lazima yaendelee na Walishatupotezeaa na wanatamani watusahau lakini haiwezekani kwasababu wema tulio watendea ndio unao wasumbua kimawazoo

Believe your vision and focus for…………….
10/21/2024

Believe your vision and focus for…………….

10/20/2024
Tunaishi kwenye karne ambayo, wenye hekima hukaa kimya, ili kuwapa ushindi wajinga.
09/06/2024

Tunaishi kwenye karne ambayo, wenye hekima hukaa kimya, ili kuwapa ushindi wajinga.

Too often, we’re trying to get our worth out of what we do. The problem is we’re getting our value from the wrong place....
09/05/2024

Too often, we’re trying to get our worth out of what we do. The problem is we’re getting our value from the wrong place. If you don’t know who you are, a child of the Most High God, then you’ll spend your energy trying to get other people to validate you.

God don’t give up on me yet 🙏
08/29/2024

God don’t give up on me yet 🙏

UKWELI MCHUNGU KUHUSU MAISHA AMBAO WATU WENGI HATUPENDI KUUKUBALI.1. Usitarajie watu wawe wema kwako kwa sababu wewe ni ...
08/23/2024

UKWELI MCHUNGU KUHUSU MAISHA AMBAO WATU WENGI HATUPENDI KUUKUBALI.

1. Usitarajie watu wawe wema kwako kwa sababu wewe ni mtu mzuri

2 . Utapoteza marafiki zaidi na zaidi kadiri unavyokua

3. Mtu pekee ambaye hawezi kukuangusha ni Mungu na Wewe mwenyewe

4. Wakati mwingine mtu unayejali zaidi ndiye mtu ambaye atakuumiza zaidi

5. Kuweka juhudi nyingi hakuhakikishii mafanikio au matokeo ya haraka, ni mchakato wa taratibu

6. Kukataliwa na kushindwa kutatokea kwako wakati mmoja wa maisha

7. Bila Mungu, huwezi kwenda mbali katika Maisha

You need to ignore what everyone else is doing & achieving.Your focus in life should be about breaking your own limits &...
08/21/2024

You need to ignore what everyone else is doing & achieving.

Your focus in life should be about breaking your own limits & outgrowing yourself to live your best life.

You’re not in competition with anyone else.

Plan to outdo your past, not other people.

Address

Toronto, ON

Telephone

+255628135408

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BillionaireMabeyo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BillionaireMabeyo:

Videos

Share

Category