Loliondo_coach_official

Loliondo_coach_official KWA USAFIRI BORA CHAGUA �. KWA SAFARI ZA
•ARUSHA-MWANZA
•ARUSHA-MUSOMA
•ARUSHA-LOLIONDO. Instagram�@ LOLIONDO_COACH_OFFICIAL.
(1)

Wikiendi imewadia!Tunaendelea kuwashukuru wateja wetu na kuwakaribisha kusafiri nasi kwenye msimu huu wa sikukuu na mwak...
14/12/2024

Wikiendi imewadia!
Tunaendelea kuwashukuru wateja wetu na kuwakaribisha kusafiri nasi kwenye msimu huu wa sikukuu na mwaka mpya..🔥
Wikiendi hii unaelekea wapi? Hebu Tutumie picha yako ukiwa na mabasi yetu DM nasi tutarepost k**a shukrani yetu ya kusafiri nasi.🔥
Karibu tujenge kumbukumbu za pamoja.👊🏽

Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi, na iogopeni siku ambayo mzazi hatamfaa mwana, wala mwana hatamfaa mzazi kwa lolote. H...
13/12/2024

Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi, na iogopeni siku ambayo mzazi hatamfaa mwana, wala mwana hatamfaa mzazi kwa lolote. Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya kweli. Basi yasikudanganyeni maisha yenu ya dunia.

K**a ni msikilizaji mzuri wa matangazo kwenye mabasi yetu ya Moshi Mwanza Tarime na Musoma kitu gani hutangulia?A. Ukari...
12/12/2024

K**a ni msikilizaji mzuri wa matangazo kwenye mabasi yetu ya Moshi Mwanza Tarime na Musoma kitu gani hutangulia?
A. Ukaribisho.
B. Sala.
C. Matangazo mengine.
Mshindi atajipatia zawadi leo saa 12:00 jioni. 😃

Ni siku nyingine mpya na tunafurahi kuwa tayari kukuhudumia! Wafanyakazi wetu wamejitayarisha kikamilifu, na mabasi yetu...
10/12/2024

Ni siku nyingine mpya na tunafurahi kuwa tayari kukuhudumia! Wafanyakazi wetu wamejitayarisha kikamilifu, na mabasi yetu yako tayari kukusafirisha unapoenda kwa usalama na urahisi. Kwa kipindi hiki cha sikukuu tunakukumbusha mteja wetu kukata tiketi mapema ili kuondoa usumbufu wa kutopata siti!😊
Karibuni sana na tunawatakia safari njema!

Today, we celebrate the unity, resilience, and independence of our great nation. Together, we honor the journey that mad...
09/12/2024

Today, we celebrate the unity, resilience, and independence of our great nation. Together, we honor the journey that made us One Tanzania.

Happy Independence Day!🇹🇿

Vivo hivyo nuru yenu iangaze mbele ya watu, wapate kuona kazi zenu njema, wamtukuze Baba yenu aliye Mbinguni. Mat 5:16. ...
08/12/2024

Vivo hivyo nuru yenu iangaze mbele ya watu, wapate kuona kazi zenu njema, wamtukuze Baba yenu aliye Mbinguni. Mat 5:16.

🙏🏿

Enyi waja wangu ambao mmeamini, kwa yakini, ardhi yangu ni pana, hivyo niabuduni Mimi tu. (Surah  Al-ankabuut, aya 56.
06/12/2024

Enyi waja wangu ambao mmeamini, kwa yakini, ardhi yangu ni pana, hivyo niabuduni Mimi tu.
(Surah Al-ankabuut, aya 56.

Wiki mpya imewadia!Karibu usafiri nasi kutokea Arusha to musoma upite serengeti kuona wanyama buuree kabisa😁Karibu tukuh...
02/12/2024

Wiki mpya imewadia!
Karibu usafiri nasi kutokea Arusha to musoma upite serengeti kuona wanyama buuree kabisa😁
Karibu tukuhudumie

Hello december!Tunazidi shukuru sana wateja wetu kwa kuwa nasi kwa kipindi chote cha mwaka mpaka tunapouanza mwezi decem...
01/12/2024

Hello december!
Tunazidi shukuru sana wateja wetu kwa kuwa nasi kwa kipindi chote cha mwaka mpaka tunapouanza mwezi december ambao ndio mwezi wa mwisho wa mwaka, k**a kampuni tumejipanga vyema kuhakikisha msimu huu wa sikukuu tunakusafirisha kwenda likizo katika mikoa mbali mbali ambayo mabasi yetu huenda. Karibu tukuhudumie 🙏🏿

Enyi mlio msadiki Mwenyezi Mungu na Mtume wake! Yasikuhangaisheni mali yenu, na watoto wenu, hata mkaacha kumkumbuka Mwe...
29/11/2024

Enyi mlio msadiki Mwenyezi Mungu na Mtume wake! Yasikuhangaisheni mali yenu, na watoto wenu, hata mkaacha kumkumbuka Mwenyezi Mungu na kutekekeleza aliyo kuamrisheni kuyafanya. Na wenye kushughulishwa na mali zao na watoto wao wakaacha hayo, basi hao ndio watao kuwa wamekhasiri Siku ya Kiyama
Surah Al-Munafiqun Ayaa 9

Weekend inakaribia, umeplan kusafiri nasi kuelekea mkoa gani? 🤩Tuna surprise kubwa kwenu wateja wetu inakuja hivi karibu...
28/11/2024

Weekend inakaribia, umeplan kusafiri nasi kuelekea mkoa gani? 🤩
Tuna surprise kubwa kwenu wateja wetu inakuja hivi karibuni. 🔥
Kaa karibu na kurasa zetu usipitwe na habari hii 😊

Wiki mpya imewadia!Tupo tayari kukusafirisha wewe na mali zako kwa safari za Moshi, Arusha to Mwanza, Tarime, Musoma, Lo...
25/11/2024

Wiki mpya imewadia!
Tupo tayari kukusafirisha wewe na mali zako kwa safari za Moshi, Arusha to Mwanza, Tarime, Musoma, Loliondo kila siku.
Kumbuka kuwahi nusu saa kabla ya muda wa basi kutoka.

Tunawatakia safari njema na asante kwa kuendelea kusafiri nasi.

Yoshua 1:5Hapatakuwa mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; k**a nilivyokuwa pamoja na Mu...
24/11/2024

Yoshua 1:5
Hapatakuwa mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; k**a nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe; sitakupungukia wala sitakuacha.

Tunawatakia jumapili njema yenye baraka. ✨🙏🏿

Na Mwenyezi Mungu akunusuru nusura yenye.Yeye ndiye aliye teremsha utulivu katika nyoyo za Waumini ili wazidi Imani juu ...
22/11/2024

Na Mwenyezi Mungu akunusuru nusura yenye.

Yeye ndiye aliye teremsha utulivu katika nyoyo za Waumini ili wazidi Imani juu ya Imani yao. Na Mwenyezi Mungu ndiye mwenye majeshi ya mbingu na ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye ujuzi, Mwenye hikima.

Surah Al-Fath 3-4

Kutana na Madam Aziza Jaffary. Miongoni mwa wahudumu wetu kwenye ruti ya Arusha to Mwanza.Yupo tayari kukuhudumia leo ab...
20/11/2024

Kutana na Madam Aziza Jaffary.
Miongoni mwa wahudumu wetu kwenye ruti ya Arusha to Mwanza.
Yupo tayari kukuhudumia leo abiria wetu kutokea Mwanza to Arusha.
Utampata kwenye T 561 EBX.

Karibu usafiri nasi kwa huduma za hadhi ya nyota tano 🤩

Hivi mlisema Tv kila siti na nini vile? 😁Stay tuned, something big si coming!Kaa karibu na kurasa zetu. 🔥
19/11/2024

Hivi mlisema Tv kila siti na nini vile? 😁
Stay tuned, something big si coming!
Kaa karibu na kurasa zetu. 🔥

Pole kariakoo 🙏🏿
17/11/2024

Pole kariakoo 🙏🏿

Wikiendi imewadia! Twenzetu kanda ya ziwa na Loliondo coach!Karibu ufurahie safari kwa huduma za nyota tano 🤩
16/11/2024

Wikiendi imewadia!
Twenzetu kanda ya ziwa na Loliondo coach!
Karibu ufurahie safari kwa huduma za nyota tano 🤩

Address

Loliondocoach
Arusha

Opening Hours

Monday 04:00 - 22:00
Tuesday 04:00 - 22:00
Wednesday 04:00 - 22:00
Thursday 04:00 - 22:00
Friday 04:00 - 22:00
Saturday 04:00 - 22:00
Sunday 04:00 - 22:00

Telephone

+255759871671

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Loliondo_coach_official posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Loliondo_coach_official:

Videos

Share

Category

Nearby travel agencies