Raptor Safari and Tours

Raptor Safari and Tours Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Raptor Safari and Tours, Tour Agency, Sakina, Arusha.

We organise and run domestic and international travels, tour and safari, hotel reservation, holidays and educational trips, walking safari, hiking and trekking, baloon safari and game driving.

Umewahi kufika Napuru waterfalls? karibu uungene nasi siku ya tarehe 16 Mwezi wa pili kwenda Napuru waterfalls, utapata ...
19/01/2025

Umewahi kufika Napuru waterfalls?
karibu uungene nasi siku ya tarehe 16 Mwezi wa pili kwenda Napuru waterfalls, utapata fursa ya Kuogelea na michezo mingi ili kufurahia weekend yako.

Tupigie: +255 762 550 932

Je, siku ya valentine utakuwa wapi? Ungana nasi kwenye mtoko huu kwa ajili ya kufurahia valentine yako, lipia kidogo kid...
19/01/2025

Je, siku ya valentine utakuwa wapi? Ungana nasi kwenye mtoko huu kwa ajili ya kufurahia valentine yako, lipia kidogo kidogo ili ufurahie siku yako.

Kwa mawasiliano zaidi; +255 762 550 932

Tunakuletea safari hii maalumu ya siku 3 kwenye valentine hii, utapata fursa ya kutembelea Serengeti na Ngorongoro kwa m...
18/01/2025

Tunakuletea safari hii maalumu ya siku 3 kwenye valentine hii, utapata fursa ya kutembelea Serengeti na Ngorongoro kwa muda wa siku 3. Utapata huduma zote muhimu na kuwa na wasaa mzuri hifadhini.

Lipia 20% tu hku ukijiandaa na kulipia kidogo kidogo mpaka siku ya safari itakapofika.
Kwa mawasiliano zaidi; +255 762 550 932

Raptor Safari and Tours tunayo furaha kuwaalika marafiki na wale wote wapendanao kwa safari maalumu kwenye valentine hii...
17/01/2025

Raptor Safari and Tours tunayo furaha kuwaalika marafiki na wale wote wapendanao kwa safari maalumu kwenye valentine hii. Njoo na yule umpendae kushiriki safari pamoja nae.

Weka nafasi yako leo usisubiri siku za mwisho, kwa mawasiliano zaidi tupigie;
+255 762 550 932.

🇹🇿 🍁🍁🍁

Katika valentine hii  Imekuandalia safari maalumu ya siku 2 kwenda kutembelea kisiwa cha Mbudya wewe  na yule umpendae. ...
11/01/2025

Katika valentine hii Imekuandalia safari maalumu ya siku 2 kwenda kutembelea kisiwa cha Mbudya wewe na yule umpendae.
Utapata huduma za malazi (camping) tent la watu 2 na tour ya kisiwa hiki adimu. K**a ungependa kwenda na kujitegemea kwa chakula utalipa gharama ya TZS 146,000 kwa mtu mzima na k**a ungependa kupata huduma zote utalipia TZS 219,000 kwa mtu mzima.

Piga simu +255 762 550 932 kuweka nafasi, wahi nafasi ni chache na lipia kidogo kidogo.

On valentine's day, join us for Ngorongoro Conservation Area Authority one day safari to enjoy with your loved one.
09/01/2025

On valentine's day, join us for Ngorongoro Conservation Area Authority one day safari to enjoy with your loved one.

Happy New Year to everyone out there, see you in 2025 with new adventures to experience.
31/12/2024

Happy New Year to everyone out there, see you in 2025 with new adventures to experience.

To all our clients who have been a part of our journey. You're highly valued by Raptor Safari and Tours and we're lookin...
23/12/2024

To all our clients who have been a part of our journey. You're highly valued by Raptor Safari and Tours and we're looking forward to be with us in 2025.

Happy holiday!!!
23/12/2024

Happy holiday!!!

The best of northern circuit parks, join us for this magnificent safari.
17/11/2024

The best of northern circuit parks, join us for this magnificent safari.

Funga mwaka nasi, twende tukafurahie pamoja.                   🍁🍁🍁            🇹🇿
28/10/2024

Funga mwaka nasi, twende tukafurahie pamoja.

🍁🍁🍁 🇹🇿

Ungana nasi kwa trip ya mwisho wa mwaka
25/10/2024

Ungana nasi kwa trip ya mwisho wa mwaka

Jumuika nasi Tarehe 21 October kwenda Ngorongoro.
10/10/2024

Jumuika nasi Tarehe 21 October kwenda Ngorongoro.

From Serengeti to Zanzibar, from bush to beach, from wildlife safari to beach holiday; we get you sorted with all the op...
21/09/2024

From Serengeti to Zanzibar, from bush to beach, from wildlife safari to beach holiday; we get you sorted with all the options for enjoying your time in Tanzania.
Welcome to Tanzania!

There's a Swahili saying that goes "One journey leads to another" we believe coming to Tanzania for safari will lead to ...
13/09/2024

There's a Swahili saying that goes "One journey leads to another" we believe coming to Tanzania for safari will lead to another and another.

Have you been lucky to see this magnificent creature? Very secretive and solitary, consider spending more time on safari...
06/09/2024

Have you been lucky to see this magnificent creature? Very secretive and solitary, consider spending more time on safari to spot this one in the wild.
Early in the morning, at dusk or during twilight hours and even night game drives can maximize your chances to see this big cat.

Watch my back and I'll watch yours ☺️☺️☺️☺️
05/09/2024

Watch my back and I'll watch yours ☺️☺️☺️☺️

We know the best spots for wildlife and game drives in Tanzania. Join us today for unforgettable experience.
04/09/2024

We know the best spots for wildlife and game drives in Tanzania. Join us today for unforgettable experience.

Address

Sakina
Arusha
8397

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255762550932

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Raptor Safari and Tours posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Raptor Safari and Tours:

Videos

Share

Category