19/01/2024
: Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) imetoa notisi za onyo kwa Kampuni ya Mawasiliano za na kwa kutokidhi viwango vya Ubora wa Huduma (QoS) zinazotolewa kwa watumiaji wa Mitandao hiyo
Katika ripoti ya Mwaka ulioisha Juni 2023, pekee ndiyo ilizidi 80% ya kiwango cha Utendaji baada ya kupata 90% ya Viashiria vya Utendaji vilivyowekwa (KPIs)
Kwa mujibu wa Ripoti, Airtel ilipata 79% na Telkom Kenya ilipata 65% ikilinganishwa na Wastani wa 82.3% wa Juni 2022.
Soma https://jamii.app/CAWarnsAirtel