North Easthern Zone Buses

North Easthern Zone Buses north_eastern_buses

 Katika msimu huu wa likizo KAPRICON ROYAL CLASS tunakukaribisha Usafiri nasi KitaliiSafari za uhakika kila sikuArusha M...
31/05/2024



Katika msimu huu wa likizo KAPRICON ROYAL CLASS tunakukaribisha Usafiri nasi Kitalii

Safari za uhakika kila siku
Arusha Mbeya
Arusha Tabora
Arusha Dodoma
Arusha Dar
Arusha Iringa

Welcome kapricon royal class
Booking ticket yako sasa ☎️0749810908

Follow

30/05/2024



TBT na BUFFALO

Unamkumbuka BUFFALO kwa lipi🤔

Moja ya kampuni zilizosumbua sana hapo nyuma ni BUFFALO,

Ligi ilikuwa kati ya BUFFALO, NGORIKA na CHAKITO na bila kuwasahau, Kirumo, Shabco, na Metro

Follow

 Tumkumbuke MALAIKA EXPRESS Tajiri alikuja na Higer mbili Mpya na zikaanza route ya DAR ARUSHA ila mwisho wa siku zikawa...
30/05/2024



Tumkumbuke MALAIKA EXPRESS

Tajiri alikuja na Higer mbili Mpya na zikaanza route ya DAR ARUSHA ila mwisho wa siku zikawa zinatembea mswaki

Upepo ukabadilika tajiri akaona aanzishe route mpya labda miswaki itapungua, MOSHI TABORA ikawa route mpya na gurudumu likasongeshwa

Mwisho wa siku Mwenye fungu la kukosa basi ni kukosa tu, Gari moja ikaungua moto na kuteketea yote na kubaki vyuma tu🥲

Hapo ndipo safari ya MALAIKA EXPRESS ikaishia njiani na kupotea kabisa🥲

Follow

 Unamkumbuka huyu?Alipiga route ya wapi🤔MBARUKU TRAVELLESS
30/05/2024


Unamkumbuka huyu?

Alipiga route ya wapi🤔

MBARUKU TRAVELLESS

 NISSAN DIESEL - BF40 LUXURY SEATS HAINA KIPENGELE Njoo na fundi wako woteINATAKA 42MLIPO DAR0684070705Follow
28/05/2024



NISSAN DIESEL - BF
40 LUXURY SEATS
HAINA KIPENGELE
Njoo na fundi wako wote
INATAKA 42ML
IPO DAR
0684070705

Follow

◽MABASI MAWILI  YA KILIMANJARO KUPIGWA MNADA◽Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi ameiahidi mahakama ku...
28/05/2024

◽MABASI MAWILI YA KILIMANJARO KUPIGWA MNADA◽

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi ameiahidi mahakama kutoa ushirikiano ili kukamatwa kwa basi la Kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro (Kilimanjaro Express) lenye namba T 178 EAU, baada ya kusababisha kifo cha Immaculate Kisena (16) aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha tano.

Kitinkwi amefika katika Mahakama Kuu, Kanda la Dar es Salaam, baada ya kupata wito wa mahakama ili ajieleze kwa nini alikiuka amri ya mahakama ya kukamatwa kwa gari hilo lililotakiwa liuzwe ili familia ya Leonard Kisena ilipwe fidia.

Katika maelezo yake mbele ya Msajili wa Mahakama hiyo, Sundi Fimbo, Kamanda Kitinkwi amedai kuwa alipokea simu kutoka kwa abiria waliokuwa wakisafiri na basi hilo wakilalamika kuzuiliwa kuendelea na safari eneo la Shekilango, Dar es Salaam na kudai kuwa kibinadamu aliwaruhusu abiria waendelee na safari kwa sababu kuepeleka basi lingine kwa wakati huo ilikuwa ngumu.

"Kwa sababu magari huwa yanakaguliwa kabla ya kuanza safari, kwa hivyo nikaona kuruhusu gari lingine ambalo halijakaguliwa ingeleta shida. Nikaruhusu liende halafu kesho yake (Mei 16, 2024 ) saa saba mchana lipelekwe Kituo cha Polisi Oysterbay," amedai RPC Kitinkwi

Hata hivyo, baada ya kutoa maelezo hayo ameahidi kuwa atatoa ushirikiano ili kukamatwa kwa basi hilo na kurudishwa kwa dalali wa mahakama huku Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Rolinda Sawaya akidai kuwa yeye hakuhusika kuzuia basi kuendelea na safari kwa kuwa yeye hajui mambo ya sheria.

Kufuatia maelezo hayo, Msajili Fimbo ametoa amri kuwa utekelezaji wa kukamatwa kwa gari zenye namba T 178 EAU na T 508 DDB uendeee kisha dalali apeleke mrejesho kwa mahakama ili aweze kupata ruhusa ya kuyauza magari hayo.

Akizungumza nje ya mahakama, Wakili wa wadai hao, Mngumi Samadani amedai kuwa mahakama hiyo ilifikia hatua hiyo, baada ya kuwasilisha hoja mahakamani kutokana na dalali wa mahakama kuzuiliwa kukamatwa kwa gari hilo wakati tayari mahakama ilishatoa amri.

Awali, akisoma hukumu kwa niaba ya Jaji Leila Mgonya, Msajili wa Mahakama Kuu, Joseph Luambano alisema wadaiwa wote wanatakiwa kulipa fidia ya Sh milioni 300 kwa kusababisha kifo, majeruhi na uharibifu wa gari hilo.

Kisena ambaye ni baba mzazi wa marehemu, Desemba 24, 2021 akiwa na watoto wake wawili na mke wake wakiwa safarini kuelekea mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu za Krismas na Mwaka Mpya basi la Kilimanjaro liliacha njia na kuwagonga na kusababisha kifo cha mtoto wake papo hapo.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Juni 3,2024.

Folliw

 Zile Elite class sasa zimepata mpiga picha  Namuona BITO kwa mbaaaalii🙌 mtu na nusu huyu  series DAR_ARUSHA🔥  OF ARUSHA...
27/05/2024



Zile Elite class sasa zimepata mpiga picha

Namuona BITO kwa mbaaaalii🙌 mtu na nusu huyu

series DAR_ARUSHA🔥

OF ARUSHA🦁

FOLLOW

 Royal liner expressHuyu Ndie yule Royal liner wa Mombasa kenyaBaada ya kudumu kwa mda mrefu na gari aina Ya Zongtong Cl...
26/05/2024



Royal liner express

Huyu Ndie yule Royal liner wa Mombasa kenya

Baada ya kudumu kwa mda mrefu na gari aina Ya Zongtong Climber buses Sasa ameamua kuwaletea Mega umeme

Sio rahisi kushindana na waarabu wa Tanga 'Ratco, Tashriff, Simba mtoto ila royal liner mdogo mdog anajipata

DAR_TANGA na Royal liner

Follow

 Wanasema uchinani ni Mta kuja tuBurdan Tosha amesema Yutong ni chuma haswaTwende KOROGWE_DAR kila siku tupa geuka🙌Follo...
26/05/2024



Wanasema uchinani ni Mta kuja tu

Burdan Tosha amesema Yutong ni chuma haswa

Twende KOROGWE_DAR kila siku tupa geuka🙌

Follow

 KAPRICON ROYAL CLASSKwa usafiri wa Moshi TaboraArusha MbeyaArusha DodomaArusha IringaTanga ShinyangaTupigie☎️ 069981288...
19/05/2024



KAPRICON ROYAL CLASS

Kwa usafiri wa

Moshi Tabora
Arusha Mbeya
Arusha Dodoma
Arusha Iringa
Tanga Shinyanga

Tupigie☎️ 0699812880

Follow

Address

Njiro
Arusha
451

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when North Easthern Zone Buses posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to North Easthern Zone Buses:

Videos

Share

Category

Nearby travel agencies