13/09/2021
Ukifika bagamoyo utakutana na historia ya jamii ya watu WA Kwanza kuingia bagamoyo lakini uzuri zaidi hicho unacho kitizama ni kisima cha Maajabu na Maajabu yake yapo kweli je wajua ni Maajabu gani karibu saaana bagamoyo unufaike na historia zilizo Shiba kwa kuongozwa na Mr mapile mawasiliano zaidi piga simu +255785251919