Brilliant Travel Agency

Brilliant Travel Agency Book Tours | Flights | Hotels | Private Air Charter | Air Ambulance Services | Wine Tasting Tour |Honeymoon Packages & Offers | Travel Insurance.
(1)

Happy weekend
26/01/2025

Happy weekend

Hello weekendWakati wa kupumzika na kutuliza akili ndo huu. Book hotel na sisi leo tukupe bei ya punguzo
25/01/2025

Hello weekend

Wakati wa kupumzika na kutuliza akili ndo huu. Book hotel na sisi leo tukupe bei ya punguzo

Hapoy friday to you all
24/01/2025

Hapoy friday to you all

Ijue Umrah 1446 AHAnza Safari Yako ya Kiroho na Brilliant Travel AgencyπŸ•‹ UMRAH 1446 AH – Safari ya kipekee ya mara moja ...
23/01/2025

Ijue Umrah 1446 AH

Anza Safari Yako ya Kiroho na Brilliant Travel Agency

πŸ•‹ UMRAH 1446 AH – Safari ya kipekee ya mara moja maishani na wakala aliyethibitishwa wa visa vya Umrah, idhini rasmi kutoka kwa Serikali ya Saudi Arabia.

πŸ“¦ Kifurushi Kinajumuisha:
βœ… Tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi
βœ… Usindikaji wa visa ya Umrah
βœ… Malazi: Siku 5 Madina & Siku 6 Makkah
βœ… Usafiri wa viwanja vya ndege na kati ya miji
βœ… Bima ya afya na bima ya COVID
βœ… Ihram kwa wanaume & khanga kwa wanawake
βœ… Ziara ya mji wa Makkah/Madina na kiongozi mwenye uzoefu

πŸ’° Gharama ya kifurushi kizima: TZS 3,900,000

πŸ“… Tarehe za Kusafiri:
Kuanzia Julai 1446 AH hadi Aprili 1447 AH, tarehe nyingi zinapatikana.

🌍 Jiunge nasi na upate safari ya kiroho isiyo na usumbufu!

πŸ“² Wasiliana Nasi Leo:
πŸ“ž +255 744 751 729 / 756 158 894
🌐 www.brilliantsafaris.travel

Hello Monday,Tumejiandaa kukuhudumia kwa dhati na kufanikisha ndoto zako za kusafiri, kupata visa, ku-book hotel, kukupa...
20/01/2025

Hello Monday,
Tumejiandaa kukuhudumia kwa dhati na kufanikisha ndoto zako za kusafiri, kupata visa, ku-book hotel, kukupa gari ukafanya misheni hapa town!Karibu tupambane pamoja week mpya!

Embark on Your Spiritual Journey with Brilliant Travel Agency UMRAH 1446 AH – Experience a once-in-a-lifetime journey wi...
17/01/2025

Embark on Your Spiritual Journey with Brilliant Travel Agency

UMRAH 1446 AH – Experience a once-in-a-lifetime journey with an authorized Umrah visa agent, officially approved by the Saudi Arabian government.

πŸ“¦ Our Package Includes:
βœ… Round-trip air ticket
βœ… Umrah visa processing
βœ… 5 days stay in Madina & 6 days stay in Makkah
βœ… Airport transfers & inter-city travel
βœ… Health insurance & COVID coverage
βœ… Ihram for men & khanga for women
βœ… Makkah/Madina city tour with an experienced group leader

πŸ’° All-inclusive price: TZS 3,900,000

πŸ“… Travel Dates:
From July 1446 AH to April 1447 AH, multiple dates available.

🌍 Join us and experience a seamless, spiritually fulfilling journey!

πŸ“² Contact us today:
πŸ“ž +255 744 751 729 / 756 158 894
🌐 www.brilliantsafaris.travel

Happy Zanzibar Revolution Day
12/01/2025

Happy Zanzibar Revolution Day

Happy Zanzibar revolution day
12/01/2025

Happy Zanzibar revolution day

Good hotel, Good vacation, Good business travel
09/01/2025

Good hotel, Good vacation, Good business travel

You can travel as a group. We are here to make it happen!Contact us today
08/01/2025

You can travel as a group. We are here to make it happen!

Contact us today

We can find suitable hotel for you.. whether it's for business, family or leisure we can help.You only need to relaxBook...
07/01/2025

We can find suitable hotel for you.. whether it's for business, family or leisure we can help.

You only need to relax

Book with us

We have a worldwide option for you to choose right hotel. Book with us today!..
02/01/2025

We have a worldwide option for you to choose right hotel.

Book with us today!..

Air ticket booking made easy with us
02/01/2025

Air ticket booking made easy with us

Happy New year to all our beloved customers πŸ’
01/01/2025

Happy New year to all our beloved customers πŸ’

Let's save big on your next stay!.. Need hotel booking so soon?Contact us!
31/12/2024

Let's save big on your next stay!.. Need hotel booking so soon?

Contact us!

Safiri Ndani ya Nchi kwa Urahisi – Weka Tiketi Yako ya Ndege na Brilliant Travel Agency! Unapanga safari yako ndani ya n...
28/12/2024

Safiri Ndani ya Nchi kwa Urahisi – Weka Tiketi Yako ya Ndege na Brilliant Travel Agency!

Unapanga safari yako ndani ya nchi? Iwe ni kwa biashara, mapumziko, au kutembelea familia, Brilliant Travel Agency, iliyosajiliwa rasmi na IATA, inahakikisha safari yako ni salama, rahisi, na ya kuaminika.

βœ… Kwa Nini u-book Tiketi Nasi?
1. Usajili wa IATA – tunatambulika kimataifa na ni wa kuaminika.
2. Nauli nafuu kwa mashirika yote makubwa ya ndege za ndani.
3. Utaratibu rahisi wa kuweka tiketi na chaguo linalokufaa.
4. Usaidizi wa karibu kwa mabadiliko ya tiketi, kufuta, au kuboresha safari.
5. Ofa maalum na punguzo kwa wasafiri wa mara kwa mara.

🌍 Gundua uzuri wa nchi yako kwa urahisi na amani ya moyo. Kutoka miji mikubwa hadi mandhari tulivu, tutakufikisha salama na kwa gharama nafuu.

πŸ“² Book tiketi yako leo! Safari yako tunaihakikisha kuwa bora!

Lets book hotel for you!
26/12/2024

Lets book hotel for you!

Address

Ohio Street, Golden Jubilee Tower 5th Floor Wing A
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255677000011

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Brilliant Travel Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Brilliant Travel Agency:

Videos

Share

Category