Our Driver And Our Guests💪🏻💪🏻
.
.
Si rahisi kukidhi haja ya abiria wote kwa wakati wote. Hii inatokana na Tabia, Utamaduni na dhamira za abiria kutofautiana kwani Kampuni huhudumia abiria wa umri tofauti, jinsia tofaut, madhumuni ya safari tofauti na wakati mwingine Gari hupakia mpk watu wanaogonga kitu cha Bia😅😅. Hivyo ni jukumu la Dereva kumchukulia kila mtu na hali yake🤝🏻
.
.
Kama mwanetu hapa naona amepoa sana anahisi yupo ugenini kbsa, hapa atakua anawakumbuka wanae wa mbugani na Ma vaibuuuuu yao🔥🔥 ila kwa aina ya watu alio wabeba inabid awe mpole tu😅😅
.
.
For safety and happiness, travel with us
.
.
#travellife#ourguests#kinominibus_tz
#royaltourtanzania#zanteltanzania
#wizarayamaliasilinautalii#tanzania🇹🇿
#tuizunguketanzaniayetu#ilias_delightfultours
#twenzetusafaris#hsadventuresafaris
Road Trip Vaibuuuuuuu With @iconsafari🔥🔥
Kuna muda wakati wa safari seat zinakua za moto yaani kama zinaunguza vile😅😅 mtu anakaa kidgo tu ana simama
Sometimes wengine huwa hawakai kabsa mwanzo mwisho, Sasa achana na hao Masela wawili hapo Big na Mwenzake kuna Dada amesimama seat ya nyuma kulee🙌🏻🙌🏻
For safety and happiness, travel with us
#iconsafari#roadtrip#chemkahotspring
#napuruwaterfall#servalwildlife#travellife
#travelbugsafaris#twenzetusafaris
#vivutiovyataifa#wizarayamaliasilinautalii
#hsadventuresafaris#ilias_delightfultours
#kilimajaro#kilwakivinje#kinominibus_tz
From Germany🇩🇪 to Tanzania🇹🇿 @juliusnyerereinternationalapt
and received by the @kinominibus_tz company and started the journey to Morogoro region with all the joy😅😅,
Trust is our priority 🙏🏻 you can make your booking wherever you are in the world
Email: [email protected]
What'sApp number +255767900857
For safety and happiness, travel with us
#germany🇩🇪#tanzania🇹🇿
#vivutiovyataifa#wizarayamaliasilinautalii
#tuizunguketanzaniayetu#udzungwa_mountain_nationalpark#twenzetusafaris#travelbugsafaris#hsadventuresafaris#iconsafari#wanderlust#kinominibus_tz
Reposted from @hs_adventure_safaris Jobs fill your pocket but adventures fill your soul.
Ruaha unforgettable Experience...
Don't ever plan to miss our next trip..🔥🔥🔥
Book your safari now with us, let's travel together.
#ruahanationalparks
#ruahanationalpark
#hsadventuresafaris
@ruaha_national_park
@hs_adventure_safaris
@kinominibus_tz
Welcome To Our Country🇹🇿
.
Don't forget to smile😀enjoy the Nature
.
#tanzaniaunforgettable #utaliiwandani🇹🇿
#utaliipopote #tanzaniaparks #utaliiwetutanzania🇹🇿
Lushoto Road🙌🏻🙌🏻
Upande bonde kubwa
Upande mlima mkubwa, mbele kuna vi daraja vyemba mba na kona za hatari alafu cheki vyuma jinsi vinavyoshuka na Abiria wetu hawana habar wanaendelea tu kupiga story zao na wengine wamelala kbsa hii yote ni kutokana na uzoefu wa madereva wetu💪🏻, Abria hawahisi chochote kama wanapita sehem hatarishi
Note: Ukitaka kwenda sehem kama hii Kbla hamjaanza safar muulize kwanza dereva kama ana uzoefu na bara bara kama hizi au la!..
For safety and happiness, travel with us
Reposted from @wanderlustdreamadventures Visited @magoroto.forest Amboni caves and Raskazone beach
We enjoyed and learned a lot.
Special thanks to all our beautiful people for trusting @wanderlustdreamadventures without you we are nothing. We love you 😊🙏
@kinominibus_tz thank you for good and comfortable transport
🎬 Video by @babxuma @passion_studioo 🙌🔥
#magoroto #magorotoforrest #magorotoexperience #ambonicaves #naturelovers #travel #travellife #travelling #naturephotography #familytravel #familytrip #coupletravel #coupletrips #coupletrip #friendstrip #friendstravel #friendsadventure #tanzaniaunforgettable #beautifultanzania #utaliipopote #utaliiwandani🇹🇿#safari#travelphotographydestinations#trip#grouptours#enjoyment😍 #hikingadventures#hikinglovers#beautifuldestinations
From Dsm To @magoroto.forest With @travelbugsafaris 💪🏻
Ukiwa unaenda @magoroto.forest utakapoiacha tu bara bara kubwa ya kuelekea Amani utakutana na hivyo vibao hapo ambavyo vimewekwa kila kona ili kukupa urahisi wa kutambua wapi uelekee ili uweze kufika kwa urahisi zaid na vina kuelekeza moja kwa moja mpk unafika
Mara nyingi watu wanapoona hivyo vibao wanakua na shauku kubwa sana ya kutaka kupiga picha na ukiwashusha tu mambo ndio huwa kama hivyo, Cheki mpiga picha hapo @king_kunta14 anavyogombaniwa hapo🙌🏻 hadi amebaki ameduwaa tu haelew aanze na nani amalize na nani, Na huku dada wa watu ameita mpk ameamua kucheka tu na kupiga makofi😂😂
For safety and happiness, travel with us
With Wazee Wangu Tweyambe Group💪🏻
Tukiwa tunaelekea @mikumi_nationalpark mambo ndio yalikua kama hivo huko bara barani, Utalii una raha yake nyie😂😂...
Mungu aendelee kutupa uzima wazee wangu INSHALLAH next time tukutane tena🙏🏻
For safety and happiness, travel with us
With Wazee Wangu Tweyambe Group💪🏻
Tukiwa tunaelekea @mikumi_nationalpark mambo ndio yalikua kama hivo huko bara barani , Utalii una raha yake nyie😂😂....
Mungu aendelee kutupa uzima wazee wangu INSHALLAH next time tukutane tena🙏🏻
For safety and happiness, travel with us
From Dsm To Morogoro @mikumi_nationalpark
Umeliona hilo neno hapo juu ya kioo cha gari?, hiyo ni stika yenye jina la wateja wetu na hicho ni Chama kinaitwa TWEYAMBE GROUP waliamua kutengeneza stika na wakahitaji ibandikwe hapo mbele ya kioo ili kila atakaiona ajue kabisa ni wakina nani wapo ndani ya gari na wanakwenda wapi😂
Tunakukaribisha hata wewe ambae ungependa kubandika jina ulipendalo kama ni la Ofisi yako binafs, Kampuni au Chama chochote na kuifanya safar yenu kua ya utambulisho zaid kwa kila sehem mtakayokua mnapita💪🏻
For safety and happiness, travel with us
From Dsm To Morogoro @mikumi_nationalpark
Umeliona hilo neno hapo juu ya kioo cha gari?, hiyo ni stika yenye jina la wateja wetu na hicho ni Chama kinaitwa TWEYAMBE GROUP waliamua kutengeneza stika na wakahitaji tubandike hapo mbele ya kioo ili kila atakaeona ajue kabsa ni wakina nani wapo ndani ya gari na wanakwenda wapi😂
Tunakukaribisha hata wewe pia ambae ungependa kubandika jina la Ofisi yako binafs, Kampuni au Chama chochote na kufanya safari yenu kua ya utambulisho zaid kwa kila mahali mtakapokua mnapita💪🏻
For safety and happiness, travel with us
From Dsm To Dodoma with @wealthy_saints
Hapa tulienda kutembelea kituo cha Watoto Yatima kilichopo pembezoni kidgo na jiji la Dodoma na kufanikiwa kutoa misaada mbali mbali kwa kadri Mungu alivyojaalia🙏🏻
Hapa watoto wakiwa na furaha kabisa kupokea wageni wao.
Kutoa ni Moyo, Kutoa ni Ibada, Kutoa sio utajir furaha yao inategemea na sisi🤝🏻
For safety and happiness, travel with us.