11/10/2022
Bismillah as salaam alay k*m warahmatullah wabarakatuh ♡ 'Abdullah bin Hamtwalah radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia mjumbe wa Allah sala na salaam ziwe juu yake dirham ( shilingi )moja inayotokana na riba anayokula mtu hali ya kuwa anajua adhabu yake ni zaidi ya mtu mwenye kufanya zinaa mara thelathini na sita 😰