Ishi na watu vizuri, kuna sehemu mafuta hayajapanda bei! Ndio, app ya Twenzao inakuunganisha na abiria wa mkoa kwa mkoa unapoendesha gari binafsi, hivyo unakuwa huna stress za mafuta tena π
#Dar #Arusha #Dodoma #Moshi #Morogoro #Bagamoyo #usafiri #magari #maandamano #dereva #Tanzania #yanga #simba #diamond #harmonize #toyota
Kama unaendesha gari binafsi kutoka Dar kwenda Moshi au Arusha, kuna abiria wengi sana kwenye app ya Twenzao wanaitafuta safari hii. Posti safari yako TWENZAO upate abiria chap.
Kwa maelezo zaidi tupigie 0624 700 100.
#KiliMarathon #Dar #Arusha #Dodoma #Moshi #Morogoro #Bagamoyo #usafiri #magari #dereva #Tanzania #yanga #simba #diamond #harmonize #Toyota #Kili
Inawezekana valentine π wako anakusubiri kwenye app ya Twenzao. Kama unaendesha gari binafsi mkoa kwa mkoa, posti safari TWENZAO ujionee raha ya kuwa na kampani nzuri ya abiria wanaoenda uendako.
Twenzao, achana na upweke safarini! π
#Valentine #Dar #Arusha #Dodoma #Moshi #Morogoro #usafiri #magari #afcon #lowassa #dereva #Tanzania #yanga #simba #diamond #toyota
Huu unaitwa msimu wa wenye magari kututesa sisi wengine! π Eti wanapoendesha magari yao kwenye safari za mkoani, wanaziposti kwenye app ya Twenzao, halafu huko wanakutana na watu mbalimbali - wenye nyota zao wanapata hadi wachumba! ππΉAma kweli, mkono mtupu haulambwi, twenzaoooo! ππ
#Valentine #Dar #Arusha #Dodoma #Moshi #Morogoro #usafiri #magari #afcon #dereva #Tanzania #connection #yanga #simba #diamond #harmonize #Toyota
Twenzao, achana na stress za mafuta ya gari lako π
Kwa maelezo zaidi tupigie 0624 700 100.
#Dar #Arusha #Dodoma #Moshi #Morogoro #Bagamoyo #usafiri #magari #dereva #Tanzania #afcon #congo #diamond #harmonize #egypt
Sema nini, wahenga wa siku hizi hawazeeki aisee! π
Kwa wale tusioelewa lugha za wahenga, ujumbe ni kwamba, eti kama unaendesha gari binafsi hususan kati ya Dar na Arusha, posti safari yako kwenye app ya Twenzao uwasapoti wananchi wenzako wanaoisubiria sana safari hii nao wakuchangie gharama za mafuta.
Mwisho wa kumnukuu Mhenga Malighafi π
#Dar #Arusha #Dodoma #Moshi #Morogoro #Bagamoyo #usafiri #magari #dereva #Tanzania #afcon #diamond #harmonize #taifastars #maandamano #chadema
Wewe kama unaona raha kula vichwa ovyo kwenye gari lako kando kando ya barabara endelea tu lakini ipo siku utabeba jini kweli! π
Wale wanaojali usalama wa safari zao siku hizi wanatumia app ya Twenzao kupata abiria waliohakikiwa na safari yenu inafuatiliwa kwa mfumo wa GPS kujua mlipo muda wote wa safari. "Shingapi nalipia kupata huduma ya VIP namna hiyo?" - Bure kabisa, hakuna janja janja, ijaribu TWENZAO leo! π
Asiyejua maana, haambiwi maana.
Kwa hiyo kama wewe unapenda kupambana na gharama za mafuta ya gari lako peke yako, endelea tu! π
#Dar #Arusha #Dodoma #Moshi #Morogoro #Bagamoyo #usafiri #magari #dereva #Tanzania #yanga #simba #diamond
Sisi kama TWENZAO tunalibeba kikamilifu jukumu la kuhakikisha mwaka huu hakuna anayepata shida kwa safari za Dar-Moshi. Watu wa #Moshi tunaomba ushirikiano wenu kufanikisha hili - tumewatengenezea app simpo kabisa na bure kuitumia, inayowaunganisha wenye magari binafsi na abiria wanaoelekea Moshi! Kama unasafiri na siti tupu kwenye gari lako kati ya Dar-Moshi, hupotezi lolote ukibeba raia wema wa kukuchangia gharama za mafuta na kuifanya safari yako iwe changamfu zaidi.
Kama unahitaji maelezo zaidi namna ya kuposti safari ya gari lako kwenye app ya Twenzao tupigie 0624 700 100.
Hatutapumzika mpaka ndugu zetu wote wa #Moshi watakapofanikiwa kurejea makwao kuhesabiwa msimu huu wa sikukuu.
Kama una gari binafsi na una safari kuelekea Moshi, tunaomba tukusapoti kupata watu wa kukuchangia gharama za mafuta ya gari lako. Cha kufanya posti safari yako kwenye app ya TWENZAO, halafu utuachie sisi tuingie kazini. Tunaahidi hatuchaji hata senti tano kwa huduma hii, abiria wako watakukabidhi mkononi nauli uliyoionyesha kwenye app.
Tunawatakia Watanzania wote msimu mwema wa sikukuu. Ni mkoa gani mwingine watu wanapapenda kwao tuwatafutie safari?
Basi limejaa? Sio shida. Wahi sasa kwenye app ya TWENZAO ubuku safari yako kwa bei nafuu tena kwenye starehe ya gari binafsi. Nafasi ni chache, anayebuku kwanza ndiye anapata nafasi. Kama hujaelewa hii imekaaje tuwekee comment tukujibu.
Kama safari yako haipo tuambie - unahitaji safari ya kwenda wapi?
#Christmas #Dar #Arusha #Dodoma #Moshi #Morogoro #Bagamoyo #Njombe #Mwanza #Bukoba #usafiri #magari #dereva #Tanzania #yanga #simba #diamond #Toyota