Civito Luxury

Civito Luxury Civito Luxury kampuni ya huduma ya usafiri wa basi kutoka Dar es Salaam kuelekea Masasi. Usafiri sal

Kwaheri Rais mstaafu wa awamu ya pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi ๐Ÿ•Š๐Ÿ•ฏ
02/03/2024

Kwaheri Rais mstaafu wa awamu ya pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi ๐Ÿ•Š๐Ÿ•ฏ

๐Ÿ’ฅ MashaallahWana Masasi wakati wenu wa chuma mpya kabisa EFU umewadia ni kesho tarehe 28, usikose kusafiri na ladha bomb...
27/02/2024

๐Ÿ’ฅ Mashaallah
Wana Masasi wakati wenu wa chuma mpya kabisa EFU umewadia ni kesho tarehe 28, usikose kusafiri na ladha bomba.


๐Ÿ’ฅ Hii zawadi yenu kwenu wana Masasi kitu kipya kabisa, mwezi Februari tutawafikia...tarehe?. Baki ukitufuatilia.
22/02/2024

๐Ÿ’ฅ Hii zawadi yenu kwenu wana Masasi kitu kipya kabisa, mwezi Februari tutawafikia...tarehe?. Baki ukitufuatilia.


Ladies and Gentlemen...๐Ÿ˜ŽMabibi na Mabwana...๐Ÿ˜Š
19/02/2024

Ladies and Gentlemen...๐Ÿ˜Ž
Mabibi na Mabwana...๐Ÿ˜Š

๐Ÿ”ด ๐“๐€๐๐™๐ˆ๐€Civito Luxury tunaungana na watanzania kuomboleza kifo cha Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani...
11/02/2024

๐Ÿ”ด ๐“๐€๐๐™๐ˆ๐€
Civito Luxury tunaungana na watanzania kuomboleza kifo cha Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Edward Lowassa.

Salamu zetu za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, familia ya Edward Lowassa, ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla.

Upumzike kwa Amani ๐Ÿ™

   Jioni ni tulivu, mkali wa Masasi tunasuburia kesho tuelekee jiji lenye wakazi 5,383,728.Booking ๐Ÿ“ž+255 783 771 824Pich...
22/01/2024



Jioni ni tulivu, mkali wa Masasi tunasuburia kesho tuelekee jiji lenye wakazi 5,383,728.

Booking ๐Ÿ“ž+255 783 771 824
Picha ๐Ÿ“ธ na Justin Oscar Jr.

   Tunamshukuru Mungu ametuwezesha kufikia wiki nyingine, tupo safarini kufikia malengo yetu na kuwa bora zaidi mwaka 20...
08/01/2024



Tunamshukuru Mungu ametuwezesha kufikia wiki nyingine, tupo safarini kufikia malengo yetu na kuwa bora zaidi mwaka 2024.

Booking ๐Ÿ“ž+255 783 771 824

   Civito Luxury tunawatakia Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Noeli na Mwaka mpya 2024.๐ŸŒฒ May the spirit of Christmas b...
24/12/2023



Civito Luxury tunawatakia Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Noeli na Mwaka mpya 2024.
๐ŸŒฒ May the spirit of Christmas bring you peace and happiness.

   Msimu huu wa sikukuu za Noeli na Mwaka mpya umepanga kusafiri kuelekea wapi?. Tafadhali fanya booking mapema usafiri ...
20/12/2023



Msimu huu wa sikukuu za Noeli na Mwaka mpya umepanga kusafiri kuelekea wapi?.
Tafadhali fanya booking mapema usafiri kwenye situ chaguo lako safarini.

Booking ๐Ÿ“ž+255 783 771 824

Poleni Baraka Classic barakaclassic49  ๐Ÿ•ฏ๏ธ
27/11/2023

Poleni Baraka Classic barakaclassic49 ๐Ÿ•ฏ๏ธ

   Safari inaendelea k**a kawaida...hapa ni wapi?๐Ÿ“ฑPicha na Justin Oscar Jr.
21/11/2023


Safari inaendelea k**a kawaida...hapa ni wapi?

๐Ÿ“ฑPicha na Justin Oscar Jr.

  ||  Karibu ujiipatie tiketi yako upate kuwa sehemu ya huduma bora na uhakika wa Safari ndani ya wakali wa Masasi.Tunaw...
17/04/2023

||

Karibu ujiipatie tiketi yako upate kuwa sehemu ya huduma bora na uhakika wa Safari ndani ya wakali wa Masasi.

Tunawatakia wiki njema na yenye mafanikio.
Ahsante ๐Ÿ“ธ

  ||  Civito Luxury tunawatakia maadhimisho mema ya kumbukumbu ya Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa kwanza wa Serikali ...
07/04/2023

||

Civito Luxury tunawatakia maadhimisho mema ya kumbukumbu ya Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Iwe pia Ijumaa kuu njema, endelea kusafiri na ๐˜พ๐™ž๐™ซ๐™ž๐™ฉ๐™ค ๐™‡๐™ช๐™ญ๐™ช๐™ง๐™ฎ wakali wa Masasi.

  ||   Hii baiskeli itasimulia ilibahatika kupata picha na mkali wa Masasi ๐Ÿ˜.Iwe siku njema waliosafarini msafiri na kuf...
03/04/2023

||

Hii baiskeli itasimulia ilibahatika kupata picha na mkali wa Masasi ๐Ÿ˜.
Iwe siku njema waliosafarini msafiri na kufika salama.

Picha na Justin Oscar Jr. ๐Ÿ“ท

  ||   Yani ukiwasha data unakutana na mguso wa  kwenye ๐˜พ๐™ž๐™ซ๐™ž๐™ฉ๐™ค ๐™‡๐™ช๐™ญ๐™ช๐™ง๐™ฎ wakali wa hizi kazi Masasi ๐Ÿ”ฅPicha na  ๐Ÿ“ท (Instagram...
14/03/2023

||

Yani ukiwasha data unakutana na mguso wa kwenye ๐˜พ๐™ž๐™ซ๐™ž๐™ฉ๐™ค ๐™‡๐™ช๐™ญ๐™ช๐™ง๐™ฎ wakali wa hizi kazi Masasi ๐Ÿ”ฅ

Picha na ๐Ÿ“ท (Instagram)

  ||   Umepanga kusafiri kwenda ๐Œ๐š๐ฌ๐š๐ฌ๐ข  au ๐ƒ๐š๐ซ ๐ž๐ฌ ๐’๐š๐ฅ๐š๐š๐ฆ?. Karibu ๐˜พ๐™ž๐™ซ๐™ž๐™ฉ๐™ค ๐™‡๐™ช๐™ญ๐™ช๐™ง๐™ฎ tupo kwa ajili yako.Tunawatakia wiki yen...
06/03/2023

||

Umepanga kusafiri kwenda ๐Œ๐š๐ฌ๐š๐ฌ๐ข au ๐ƒ๐š๐ซ ๐ž๐ฌ ๐’๐š๐ฅ๐š๐š๐ฆ?. Karibu ๐˜พ๐™ž๐™ซ๐™ž๐™ฉ๐™ค ๐™‡๐™ช๐™ญ๐™ช๐™ง๐™ฎ tupo kwa ajili yako.

Tunawatakia wiki yenye mafanikio na Safari njema.

Picha na ๐Ÿ“ท

Ni Ijumaa nyingine tena Mungu ni mwema, iwe siku yenye Baraka ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ“žBOOKING1๏ธโƒฃ Temeke 0789 658 065 0784 959 1102๏ธโƒฃ Mbagala0...
03/03/2023

Ni Ijumaa nyingine tena Mungu ni mwema, iwe siku yenye Baraka ๐Ÿ™๐Ÿฟ

๐Ÿ“žBOOKING
1๏ธโƒฃ Temeke
0789 658 065
0784 959 110

2๏ธโƒฃ Mbagala
0685 727 373
0717 444 393

3๏ธโƒฃ Lindi
0712 023 030

4๏ธโƒฃ Masasi
0714 000 206
0652 498 160

๐Ÿ“ฑSocia Media
1๏ธโƒฃ Instagram | civito_luxury
2๏ธโƒฃ Facebook | Civito Luxury
3๏ธโƒฃ Twitter |

Safari daima hufuraisha ukiwa na usafiri unaokupa thamani. Endelea kuwa sehemu ya chaguo letu kwa kusafiri na Civito Lux...
21/02/2023

Safari daima hufuraisha ukiwa na usafiri unaokupa thamani. Endelea kuwa sehemu ya chaguo letu kwa kusafiri na Civito Luxury.

๐Ÿ“žBOOKING
1๏ธโƒฃ Temeke
0789 658 065
0784 959 110

2๏ธโƒฃ Mbagala
0685 727 373
0717 444 393

3๏ธโƒฃ Lindi
0712 023 030

4๏ธโƒฃ Masasi
0714 000 206
0652 498 160

๐Ÿ“ฑSocia Media
1๏ธโƒฃ Instagram | civito_luxury
2๏ธโƒฃ Facebook | Civito Luxury
3๏ธโƒฃ Twitter |

It's FRIDAY time to make memories for MONDAY!
10/02/2023

It's FRIDAY time to make memories for MONDAY!

Heri ya siku ya kuzaliwa Mh. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
27/01/2023

Heri ya siku ya kuzaliwa Mh. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Civito Luxury tunawatakia maadhimisho mema ya miaka 59 ya mapinduzi ya Zanzibar.
12/01/2023

Civito Luxury tunawatakia maadhimisho mema ya miaka 59 ya mapinduzi ya Zanzibar.

๐Ÿ•›  KARIBU MWAKA MPYA 2023.   Happy New Year, Team Civito.Tunawatakia mwaka mpya mwema uliojaa mafanikio zaidi ya mwaka 2...
01/01/2023

๐Ÿ•› KARIBU MWAKA MPYA 2023.


Happy New Year, Team Civito.
Tunawatakia mwaka mpya mwema uliojaa mafanikio zaidi ya mwaka 2022.

We wish you all a very happy ๐˜พ๐™๐™ง๐™ž๐™จ๐™ฉ๐™ข๐™–๐™จ ๐ŸŽ„
23/12/2022

We wish you all a very happy ๐˜พ๐™๐™ง๐™ž๐™จ๐™ฉ๐™ข๐™–๐™จ ๐ŸŽ„

Siti yako ndio safari yako karibu ufanye booking na wakali wa Masasi kwa nauli ya 35,000 kutoka Dar es Salaam kuelekea M...
18/12/2022

Siti yako ndio safari yako karibu ufanye booking na wakali wa Masasi kwa nauli ya 35,000 kutoka Dar es Salaam kuelekea Masasi.
Usisubiri wakati ni leo.

๐Ÿ“ฒ 0714000206

Disemba 9 ni siku ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania.Civito Luxury tunawatakia watanzania wote heri ya siku hii muhimu ...
08/12/2022

Disemba 9 ni siku ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania.

Civito Luxury tunawatakia watanzania wote heri ya siku hii muhimu kwa taifa letu na mapumziko mema.

๐Ÿ“ฑSocia Media
1๏ธโƒฃ Instagram | civito_luxury
2๏ธโƒฃ Facebook | Civito Luxury
3๏ธโƒฃ Twitter |

We wish you great moments, as we approach the new year. Happy new month December.๐Ÿ“žBOOKING1๏ธโƒฃ Temeke 0789 658 065 0784 95...
01/12/2022

We wish you great moments, as we approach the new year. Happy new month December.

๐Ÿ“žBOOKING
1๏ธโƒฃ Temeke
0789 658 065
0784 959 110

2๏ธโƒฃ Mbagala
0685 727 373
0717 444 393

3๏ธโƒฃ Lindi
0712 023 030

4๏ธโƒฃ Masasi
0714 000 206
0652 498 160

๐Ÿ“ฑSocia Media
1๏ธโƒฃ Instagram | civito_luxury
2๏ธโƒฃ Facebook | Civito Luxury
3๏ธโƒฃ Twitter |

Justin Oscar Jr.  kijana mkali wa location mwaka mwingine tena una adhimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa.Tunakutakia heri n...
25/11/2022

Justin Oscar Jr. kijana mkali wa location mwaka mwingine tena una adhimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa.

Tunakutakia heri na mafanikio zaidi. Tunashukuru kwa kumbukumbu za picha kali ๐Ÿ‘Š

Ukiwa safarini unapata nafasi ya kujifunza nini?๐Ÿ“žBOOKING1๏ธโƒฃ Temeke0789 658 0650784 959 1102๏ธโƒฃ Mbagala0685 727 373 0717 4...
24/11/2022

Ukiwa safarini unapata nafasi ya kujifunza nini?

๐Ÿ“žBOOKING
1๏ธโƒฃ Temeke
0789 658 065
0784 959 110

2๏ธโƒฃ Mbagala
0685 727 373
0717 444 393

3๏ธโƒฃ Lindi
0712 023 030

4๏ธโƒฃ Masasi
0714 000 206
0652 498 160

๐Ÿ“ฑSocia Media
1๏ธโƒฃ Instagram | civito_luxury
2๏ธโƒฃ Facebook | Civito Luxury
3๏ธโƒฃ Twitter |

Tafadhali ๐’˜๐’‚๐’”๐’‰๐’‚ ๐’…๐’‚๐’•๐’‚ ๐’•๐’–๐’๐’๐’† message nimekutumia nipo safarini na wakali wa Masasi ๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡ Weka caption yako ya kubamba ukitumi...
16/11/2022

Tafadhali ๐’˜๐’‚๐’”๐’‰๐’‚ ๐’…๐’‚๐’•๐’‚ ๐’•๐’–๐’๐’๐’† message nimekutumia nipo safarini na wakali wa Masasi ๐Ÿ˜

๐Ÿ‘‡ Weka caption yako ya kubamba ukitumia "washa data tuone"

Justin Oscar Jr.

๐Ÿ“žBOOKING
1๏ธโƒฃ Temeke
0789 658 065
0784 959 110

2๏ธโƒฃ Mbagala
0685 727 373
0717 444 393

3๏ธโƒฃ Lindi
0712 023 030

4๏ธโƒฃ Masasi
0714 000 206
0652 498 160

๐Ÿ“ฑSocia Media
1๏ธโƒฃ Instagram | civito_luxury
2๏ธโƒฃ Facebook | Civito Luxury
3๏ธโƒฃ Twitter |

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 18:00
Tuesday 07:00 - 18:00
Wednesday 07:00 - 18:00
Thursday 07:00 - 18:00
Friday 07:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00
Sunday 10:00 - 16:00

Telephone

+255789658065

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Civito Luxury posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category