29/09/2023
makj-unique tours and safari tumekuandalia safari ya kutembelea hifadhi ya taifa ya mikumi iliyopo mkoa wa morogoro, safari hii itakuwa tarehe 14-15october2023 siku ya jumamosi mpaka jumapili. (Nyerere day) safari inajumuisha usafiri wetu kwenda na kurudi,malazi, chakula viingilio hifadhini, muongoza wageni, na vinywaji. Shughuli zitakazofanyika huko ni utalii wa gari hifadhini, utalii wa kupiga picha, hifahi ya nyoka, pamoja na kivutio cha kabila ya wamasai kijijini. Kwa safari hii ya siku mbili gharama yake ni tsh200,000/= kwa mtu mmoja.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie namba 0746197430, 0786431610, 0715868618, 0787551400,
Email: [email protected]
_______________________________