Winsome Tours and Travels LTD

Winsome Tours and Travels LTD Domestic & International Travel, Umrah, Hajj, Holiday Packages, Safari, Beach Holidays, Group, Visa

Happy Weekend, Happy Month End, Happy Year End. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie mwaka 2023 uwe ni mwaka wa furaha, a...
31/12/2022

Happy Weekend, Happy Month End, Happy Year End. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie mwaka 2023 uwe ni mwaka wa furaha, amani na barka kwa wote. Familia ya Mfalme wa Mbugani inatusubiri kwa hamu 😊 Anza kuwekeza sasa kwa utalii wa ndani 😊

25/12/2022

Hata baby wake Penguin 🐧 analijua hilo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
02/12/2022

Hata baby wake Penguin 🐧 analijua hilo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

A very GoodAfternoon to you 😊 β€œTravel is not a Reward for working, it’s Education for living”Haya sasa tushaambiwa kua  ...
16/11/2022

A very GoodAfternoon to you 😊 β€œTravel is not a Reward for working, it’s Education for living”Haya sasa tushaambiwa kua ikiwa kuna wengine wamesema je kwenda nje ya nchi itakua nini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ karibu tukuhudumie kwa safari zako zote ukajifunze zaidi jinsi watu wanavyo ishi

Amani iwe juu yako. Kusafiri peke yako sio tu kuna kusukuma kutoka nje ya mazingira ulio yazoea bali pia yana kusukuma k...
11/11/2022

Amani iwe juu yako. Kusafiri peke yako sio tu kuna kusukuma kutoka nje ya mazingira ulio yazoea bali pia yana kusukuma kutoka nje ya matarajio ya watu wengine kuhusu wewe. Kuwa wewe na fanya yako huku uki kumbuka Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe 😊. Sasa tuambie wapi ungependa kutembea peke yako? Tupo hapa kukuhudumia na kuhakikisha tunaifanya safari yako kua ya ndoto yako kwa uwezo wa Muumba wetu 😊

Habari ya asubuhi wateja wetu.  tunahakikisha mambo mazuri hayakupiti 😊. Waswahili tuna msemo wetu unasema β€œRaha jipe mw...
09/11/2022

Habari ya asubuhi wateja wetu. tunahakikisha mambo mazuri hayakupiti 😊. Waswahili tuna msemo wetu unasema β€œRaha jipe mwenyewe”. Disemba 2022 Emerald Zanzibar Resort & Spa imetoa boonge la ofa la kufungulia Resort yao. Hii si ya kukosa, wasiliana nasi kwa msaada zaidi 😊

Tunamuomba Mwenyezi Mungu awape Subira wale wote walioathirika kwa namna yeyote ile kwenye ajali hii.
06/11/2022

Tunamuomba Mwenyezi Mungu awape Subira wale wote walioathirika kwa namna yeyote ile kwenye ajali hii.

04/11/2022
Thank you so very much for your overwhelming feedback, we truly appreciate
04/11/2022

Thank you so very much for your overwhelming feedback, we truly appreciate

Asanteni sana kwa mrejesho wateja wetu
04/11/2022

Asanteni sana kwa mrejesho wateja wetu

Habari ya Asubuhi mdau wa Tunapenda kuskia kutoka kwako kuhusiana na huduma zetu. Kati ya alama 1 hadi 10 unadhani hudum...
04/11/2022

Habari ya Asubuhi mdau wa

Tunapenda kuskia kutoka kwako kuhusiana na huduma zetu.

Kati ya alama 1 hadi 10 unadhani huduma zetu zipo kwenye alama gani? 1 ikiwa ni mbaya sana na 10 ikiwa ni nzuri sana.

Na je, unaona ni wapi hatufanyi vizuri na wapi tunafanya vizuri?

Tunatambua umuhimu wa muda wako hivyo tunatanguliza shukran zetu za dhati kwa kutumia muda wako kutupatia maoni yako kuhusiana na huduma zetu.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu akuzidishie kila la kheir katika pilika zako za maisha.

Habari ya asubuhi mdau wa  tunaposema anga limefunguka, limefunguka kweli tena ofa k**a zote πŸ˜‚, tunajua mshajipanga kwa ...
12/10/2022

Habari ya asubuhi mdau wa tunaposema anga limefunguka, limefunguka kweli tena ofa k**a zote πŸ˜‚, tunajua mshajipanga kwa safari sasa tunawaomba mtutumie tarehe zenu tuwafanyie booking mapemaaaa

09/10/2022

β€œAll you need is passion. If you have a passion for something, you'll create the talent.”
05/10/2022

β€œAll you need is passion. If you have a passion for something, you'll create the talent.”

Rehma na Amani zikufikie popote ulipo ewe mdau wetu wa  Je umewahi kujitafakari nini unaweza fanya ili kuzidi kujiweka k...
29/09/2022

Rehma na Amani zikufikie popote ulipo ewe mdau wetu wa Je umewahi kujitafakari nini unaweza fanya ili kuzidi kujiweka karibu na Muumba wa mbingu na Ardhi? Basi mimi nakushauri tumia muda wako mfupi wa kiasi ya siku kumi tu na pesa yako ili uzidi kujiweka karibu na Mola wetu na uzidi kuongeza uzito wa mizani yako. Pesa hii utayotumia nakuahudi haitopotea k**a tuwekezavyo kwenye majumba au magari, pesa hii na muda huu vitakufaa hapa duniani na siku ya hesabu. Namuomba Mwenyezi Mungu azidi kutufanya tuwe wenye kuikinai hii dunia na azidi kutuweka karibu nae. Namuomba Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi kwa hili pamoja na mambo yako mengine yenye kheir 😊

27/09/2022

Beautiful Day to you and your family β€œWhen the Maldives are calling, you have to answer.”  and  will be waiting to hear ...
20/09/2022

Beautiful Day to you and your family β€œWhen the Maldives are calling, you have to answer.” and will be waiting to hear from you on how you were being treated 😊. We are certain that you will need to go back again 😊

A lovely morning to you and your family, are you wondering where to get your Holiday Package for your next   ?! we make ...
16/09/2022

A lovely morning to you and your family, are you wondering where to get your Holiday Package for your next ?! we make your at a very affordable price depending on your budget with 😊 Try us and for sure on your own willingness you will become our ambassador 😊

β€œOften when you think you're at the end of something, you're at the beginning of something else.β€œ GoodMorning wadau, mwa...
23/06/2022

β€œOften when you think you're at the end of something, you're at the beginning of something else.β€œ GoodMorning wadau, mwanzo ndo huu wakati dunia inaendelea kufunguka, amka na chukua fursa iliopo ili tuendeleze kazi k**a vile Raisi wetu Mama Samia anavyo tusisitiza. Kutembea kujua, kutembea kusoma 😊 na sisi Winsome Tours & Travels tupo kukuhudumia 😊

GoodMorning to you and your family.  tumekuletea   package bomba ya   😊 If you never go, you’ll never know
10/06/2022

GoodMorning to you and your family. tumekuletea package bomba ya 😊 If you never go, you’ll never know

A very GoodMorning to you and your family 😊 Hakuna mtu anaehitaji zaidi kwenda mapumziko k**a yule aliotoka mapumzikoni....
08/06/2022

A very GoodMorning to you and your family 😊 Hakuna mtu anaehitaji zaidi kwenda mapumziko k**a yule aliotoka mapumzikoni. Uongo au Kweli?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Rehma na amani iwe juu yako. Namuomba Mwenyezi Mungu akujaalie uwe na matumizi mazuri na yenye manufaa zaidi kwa kila ne...
03/06/2022

Rehma na amani iwe juu yako. Namuomba Mwenyezi Mungu akujaalie uwe na matumizi mazuri na yenye manufaa zaidi kwa kila neema unayoipata 😊 ili uweze kujikusanyia kiasi cha fedha kwa ajili ya safari za kwenda kutembelea ndugu, jamaa na marafiki. Kutembeleana kunaongeza mapenzi baina yetu😊

Habari ya mchana? Leo naomba nipate madini toka kwako mdau wetu 😊. Iwapo utakutana na mgeni Mtanzania/Sio Mtanzania anat...
20/05/2022

Habari ya mchana? Leo naomba nipate madini toka kwako mdau wetu 😊. Iwapo utakutana na mgeni Mtanzania/Sio Mtanzania anataka kwenda kutembea, utamshauri atembelee maeneo gani? Nakushukuru sana kwa muda wako na mchango wako

Address

Uhuru/Indira Gandhi Street
Dar Es Salaam
36217

Telephone

00255787877000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Winsome Tours and Travels LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category

Nearby travel agencies


Other Travel Agencies in Dar es Salaam

Show All