NLab Foundation

NLab Foundation NiwezesheLab Foundation
(4)

NLab (NiwezesheLab) is a Non for profit NGO that works to build an ICT competitive, creative and innovative young generation in Tanzania by introducing new ICT technologies and teaching coding to kids and Teens of all abilities in Tanzania. Nlab provides weekly ICT trainings (Precoding and coding) to both selected primary and secondary schools, organizes coding festivals and holiday camps and

provides mentor-ship to all children’s innovations and help them to fundraiser for their seed income for their startup.

Tumefika   ! Walimu na wanafunzi wa Shule ya sekondari Masnuu walitembelewa na timu yetu, tukishirikiana na  na kupewa m...
06/11/2022

Tumefika ! Walimu na wanafunzi wa Shule ya sekondari Masnuu walitembelewa na timu yetu, tukishirikiana na na kupewa mafunzo ya jinsi ya kutumia mfumo wa tigoeschools maalumu kwa ajili ya wanafunzi kujifunzia na hata walimu kufundishia.

Hatotuishia hapo, comment hapo chini tutembelee shule gani wakati ujao!!!

Nao wanafunzi wa  hawakubaki nyuma!! Jana tuliweza kuwatembelea na kuwafunza jinsi gani wataweza kunufaika na mfumo wa k...
03/11/2022

Nao wanafunzi wa hawakubaki nyuma!! Jana tuliweza kuwatembelea na kuwafunza jinsi gani wataweza kunufaika na mfumo wa kujifunzia wa (tigoeschools.co.tz) tulioutengeneza tukishirikiana pakubwa na .

Sura zao zilijaa bashasha wakitambua wataweza kufundishwa na walimu mbalimbali kupitia mfumo huo.


The students at are also one of the students who yesterday, got the exposure on how to use (tigoeschools co.tz) as a e-learning platform developed jointly with .

Their faces were filled with joy when they are realized that they could be taught by various teachers from other schools

TUKO PUGU: tumetembelea shule ya sekondari Pugu, Dar es salaam inayonufaika na mradi wetu wa Tigo eSchools unaotekelezwa...
02/11/2022

TUKO PUGU: tumetembelea shule ya sekondari Pugu, Dar es salaam inayonufaika na mradi wetu wa Tigo eSchools unaotekelezwa kwa ushirikiano na

Kupitia mradi wa Tigo eSchools tunaendelea kuunganisha shule mbalimbali na Intaneti yetu ya 4G+, kuweka mfumo wa maudhui kwa ajili ya wanafunzi kupitia tovuti ya www.tigoeschools.co.tz vile vile kutoa mafunzo ya matumizi ya TEHAMA kwa walimu ili kurahisisha ufundishaji.



Reposted from

Siku ya jumamosi tulitembelea shule ya sekondari Chang’ombe, Dar es salaam inayonufaika na mradi wetu wa Tigo eSchools u...
31/10/2022

Siku ya jumamosi tulitembelea shule ya sekondari Chang’ombe, Dar es salaam inayonufaika na mradi wetu wa Tigo eSchools unaotekelezwa kwa ushirikiano na Nlab.

Kupitia mradi huu wa Tigo eSchools tumeweza kuunganisha shule mbalimbali na Intaneti yetu ya 4G+, kuweka mfumo wa maudhui kwa ajili ya wanafunzi kupitia tovuti ya www.tigoeschools.co.tz na kutoa mafunzo ya matumizi ya TEHAMA kwa walimu ili kurahisisha ufundishaji.


Reposted from

Siku ya jumamosi tulitembelea shule ya sekondari Chang’ombe, Dar es salaam inayonufaika na mradi wetu wa Tigo eSchools u...
31/10/2022

Siku ya jumamosi tulitembelea shule ya sekondari Chang’ombe, Dar es salaam inayonufaika na mradi wetu wa Tigo eSchools unaotekelezwa kwa ushirikiano na Nlab.

Kupitia mradi huu wa Tigo eSchools tumeweza kuunganisha shule mbalimbali na Intaneti yetu ya 4G+, kuweka mfumo wa maudhui kwa ajili ya wanafunzi kupitia tovuti ya www.tigoeschools.co.tz na kutoa mafunzo ya matumizi ya TEHAMA kwa walimu ili kurahisisha ufundishaji.


Reposted from

Safari ya utengenezwaji wa jukwaa la kujifunzia (www.tigoeschools.co.tz) ilianza February 2021 Mara baada ya shule kufun...
31/10/2022

Safari ya utengenezwaji wa jukwaa la kujifunzia (www.tigoeschools.co.tz) ilianza February 2021 Mara baada ya shule kufungwa kutokana na janga la . Sababu zingine zilizosababisha utekelazaji wa mradii huu ni uhaba wa vifaa muhimu vya kufundishia na kujifunzia mashuleni, ongezeko la wanafunzi kuacha shule pamoja na idadi kubwa ya wanafunzi ukilinganisha na idadi ndogo ya walimu waliopo mashuleni.

Hadi hivi sasa watalamu wetu wameweza kuwafikia zaidi ya walimu 2800 katika shule 1000 za awali na sekondari ili kuwapa mafunzo ya jinsi ya kutumia mfumo wa tigoeschools.

Shukrani za dhati ziwafikie , elimu kwa tehama Tanzania kwa kufanikisha na kuendeleza jambo hili.

The journey of the Eschools platform started in early February 2021after the National closure of all educational institu...
31/10/2022

The journey of the Eschools platform started in early February 2021after the National closure of all educational institutions in Tanzania due to
Outbreak. Even though the crisis was the main reason that challengedus to develop this platform, our day to day interaction with students led us toobserve the problem of lack of enough learning materials in schools, increasedschool dropouts rates, and the very high ratio of teachers to learners.

As of now, more than 2800 teachers in around 1000 primary and secondary schools across the country have been trained on how to use the platform in their teaching process.

Sending much gratitude to and
for their outstanding support.

Introducing Tigo eSchools (www.tigoeschools.co.tz) an e-learning platform ( virtualclassrooms, pre-recorded video & audi...
31/10/2022

Introducing Tigo eSchools (www.tigoeschools.co.tz) an e-learning platform ( virtualclassrooms, pre-recorded video & audio content for all subjects and extracurricula ) for primary and secondary schools in Tanzania, jointly developed byNlab Foundation and powered by .This is to tackle educational challenges such as inaccess to learning materials, uneven ratio of teachers to the number of learners and increase of drop out rates.

With the platform, learners can attend virtual classes conducted by theirrespective class teachers, ask questions, and attempt quizzes during the lessons.

Address

Mafere Street
Dar Es Salaam
14110

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NLab Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NLab Foundation:

Share


Other Dar es Salaam travel agencies

Show All