Rango Safaris

Rango Safaris Let us plan your dream safari in Tanzania. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Tours| Local guides

Then here is the content for you and caption🌟 *Embark on an Exotic Journey with Rango Safaris!* 🌟Discover the allure of ...
14/03/2024

Then here is the content for you and caption

🌟 *Embark on an Exotic Journey with Rango Safaris!* 🌟

Discover the allure of Zanzibar, an island paradise where adventure and tranquility blend seamlessly. With Rango Safaris, your dream vacation is just a heartbeat away! 🏝️✨

*Sail into Serenity*: Glide over crystal-clear waters and anchor at sun-kissed beaches that promise pure bliss. πŸŒŠβ›΅
*Cultural Kaleidoscope*: Immerse yourself in the rich tapestry of Swahili culture and history in the enchanting Stone Town. πŸ•ŒπŸŽ¨
*Spice Trails*: Follow the scent of cloves and cinnamon on an aromatic journey through Zanzibar's famed spice plantations. πŸŒΏπŸ‘ƒ
*Wild Wonders*: Connect with nature as you witness the majestic beauty of wildlife in their natural habitat. πŸ¦“πŸŒΎ

With Rango Safaris, every moment is a treasure waiting to be discovered. Book your Zanzibar adventure today and let the spirit of the island rejuvenate your soul!

πŸŒ…πŸƒ

Duma ni mnyama jamii ya paka ambaye hula nyama k**a chakula chake kikuu usipokuwa makini unapomuona unaweza fikiri umeku...
13/03/2024

Duma ni mnyama jamii ya paka ambaye hula nyama k**a chakula chake kikuu usipokuwa makini unapomuona unaweza fikiri umekutana na chui, yote hiyo ni kwakuwa wana ufanano sana.

Wanyama wa aina hii ya paka ni k**a Chui, Simba malala (Tiger), Chui mweusi (black pather) pia Jaguar na mondo.

Jike hubeba mimba kwa miezi mitatu, watoto hufungua macho baada ya siku 1 mpaka 3 na ifikapo mwaka mmoja na miezi sita watoto hao huanza kujitegemea katika maisha yao ingawaje bado huwa karibu na mama yao.

Duma ni wanyama wasio na ushirikiano kabisa kutokana kutokuwa na utamaduni wa kuishi kifamilia k**a ilivyo kwa simba.

Dume la duma kwa muonekano huwa na umbo kubwa kuliko jike katika kundi la wanyama jamii ya paka hasa wale wakubwa Duma ndio mnyama mnyonge wa mwisho.

Wembamba wake na uzito mdogo vinamfanya akose jeuri ya kupambana na wanyama wenzie wa aina moja k**a chui.

Chakula kikuu cha duma ni Mbuni, Sungura,Nyumbu, Kudu na Swala tofauti na Chui duma si kipenzi wa kula chakula juu ya mti, hivyo hukumbana sana na changamoto ya ugomvi wa fisi kung'anang'ana na chakula walichotafuta na kwa timbwili la fisi hujikuta wao wakikubali kuwa wanyonge.

Mti aina ya mbuyu unaosemekana kuwa na umri wa miaka zaidi ya  500, unasifa ya kuongeza umri ukiuzunguka, na majani yake...
01/03/2024

Mti aina ya mbuyu unaosemekana kuwa na umri wa miaka zaidi ya 500, unasifa ya kuongeza umri ukiuzunguka, na majani yake ni mboga na dawa kwa binadamu.

Pia kuna imani ya kwamba mambo ya kitamaduni na matambiko hufanyika kwenye mti wa mbuyu.

Rango Safaris tunakumurikia ulimwengu.

The baobab tree, believed to be over 500 years old, is said to that one can gain age by walking around it, and its leaves serve as both food and medicine for humans.

There's also a belief that cultural rituals and ceremonies are performed around the baobab tree.

Rango Safaris welcomes you to the world.

Some of the graves believed to belong to the very first leaders to arrive in Bagamoyo. These graves are located in Kaole...
01/03/2024

Some of the graves believed to belong to the very first leaders to arrive in Bagamoyo. These graves are located in Kaole, and the two consecutive ones are graves of their beloved.

Visit many historical sites with us, we open the world to you and reach you wherever you want.
ο»Ώ

Baadhi ya makaburi yanayosemekana kuwa ya viongozi wa mwanzo kabisa kufika Bagamoyo. Makaburi hayo yanapatikana Kaole na mawili yaliyofuatana ni makaburi ya wapenda nao.

Jifunze mambo mengi ya kihistoria kupitia sisi, tunakufungulia dunia na kukufika popote utakapo.

Address

Kigamboni-Tanzania
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rango Safaris posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rango Safaris:

Share

Category