![Shelves on sale..yapo matatu, mawili yana columns 3 na rows 7 moja nauza laki tatu na nusu.Hilo lingine lenye columns nn...](https://img5.travelagents10.com/515/912/537650935159128.jpg)
27/02/2023
Shelves on sale..yapo matatu, mawili yana columns 3 na rows 7 moja nauza laki tatu na nusu.
Hilo lingine lenye columns nne na rows saba lina partition ya vioo na hiyo milango ina vioo laki tano na nusu
Maongezi yapo:
Viti vya wateja 200,000 Tzs (Vyote viwili)