Youths' Missionary Journeys Ministries

Youths' Missionary Journeys Ministries Welcome to YMJM official page. Be updated with our Mission trips and mission Programs

Our Vision:
"To be the leading Missionary organisation that Equip youths, empower and send youths to reach the unreached people groups with The Gospel and humanitarian charities"

Our Mission:
Equipping, empowering and sending

Bwana Mungu wetu atukuzwee tunamtukuza Mungu kwa kuendeleaa kutupa kibali cha kuwa watenda kazi shambani mwake kila iitw...
04/11/2022

Bwana Mungu wetu atukuzwee

tunamtukuza Mungu kwa kuendeleaa kutupa kibali cha kuwa watenda kazi shambani mwake kila iitwapo Leo .
Tutakuwa na kambi ya kimishenali Musoma sehemu inaitwa Nyabange

kuwa sehem ya umissionari huu
kwa maombi na sadaka
baadhi ya masomo uitakayo fundishwa ni

1. Kuongeza thamani yako binafsi na ya kila unachogusa
2. Kuwafikia wengine kwa injili (Kuhuburi)
3. Academic excellence (special program)
4. Ina maana gani kuwa mwanamume



Bwana Yesu asifiweYmjm kupitia Huduma ya Injili na Umisheni tunatarajia kuwa na kambi la KIMISHENI ambalo litakuwa na le...
03/11/2022

Bwana Yesu asifiwe

Ymjm kupitia Huduma ya Injili na Umisheni tunatarajia kuwa na kambi la KIMISHENI ambalo litakuwa na lengo la kuwafikia watu 1600 kwa injili ya Kristo Yesu na hatimaye watu 800 wampokee Yesu k**a Bwana na mwokozi wa maisha yao.

Na ili kuwafikia watu hao moja ya mkakati ni Kuwafundisha watendakazi 150 Kupitia madarasa ya YMJM EQUIP CLASS kwenye kambi ili wawe na uwezo wa kuwafikia watu wengine.

Madarasa haya yatafanyika MUSOMA kwa siku saba kuanzia tarehe 06-12/11/2022 .

YOUTHS MISSIONARY JOURNEYS MINISTRIES (YMJM)Maono"YMJM kuwa taasisi sahihi ya kimisheni inayowaandaa vijana, kuwawezesha...
08/09/2022

YOUTHS MISSIONARY JOURNEYS MINISTRIES (YMJM)
Maono
"YMJM kuwa taasisi sahihi ya kimisheni inayowaandaa vijana, kuwawezesha na kuwapeleka kuyafikia maeneo ambayo hayajafikiwa na huduma za kiroho na huduma za kijamii kwa kila kazi iliyo njema"

MALENGO
■Ushirika
■Kuandaa, kuwezesha na kupeleka watendakazi kazini
■Injili-kuwaleta watu kwa Yesu,
■Umisheni - Kufikia maeneo ambayo hayajafikiwa kabisa na Injili
■Kuwafuasa waamini
■Kutambua na kukuza vipawa, karama na huduma za vijana

HATIMMAYE NDUGU, TUOMBENI,NENO LA BWANA LIENDELEE

19/08/2022
19/08/2022
21/10/2021
PESA PESA PESAIMEKUA IKIWASUMBUA WATU WENGI SANA HASA KATIKA SWALA ZIMA LA MATUMIZI. SASAAA BASI YMJM FAMILY WAMEKULETEA...
30/08/2021

PESA PESA PESA

IMEKUA IKIWASUMBUA WATU WENGI SANA HASA KATIKA SWALA ZIMA LA MATUMIZI.

SASAAA BASI YMJM FAMILY WAMEKULETEA YMJM YOUTH CAMP ITAKAYOFANYIKA TAR 14-18/10/2021 KIGOMA-KASULU
Hiiiii sio ya kukosa kwa watu wote.

K**a umekua ukitumia pesa bila mpangilio? umekua ukipanga mikakati ya matumizi ya pesa lakini ınaenda tofautı?n.k

bası sasa huu nı wakatı wako wa kukutana na MWL. FESTO AMOSI ili akuelekeze MISINGI MIKUU 5 YA NIDHAMU YA FEDHA.

USIPANGE KUKOSAAAAA

NJOO NA MWENZAKO

Nawasalimia kupitia jina la Bwana wetu Yesu kristo  nawahabarishaa kuwa tarehe 14 -18 /10/2021. tutakuwa na    tukio la ...
17/08/2021

Nawasalimia kupitia jina la Bwana wetu Yesu kristo
nawahabarishaa kuwa tarehe 14 -18 /10/2021. tutakuwa na tukio la kimataifa litakalofanyika Kigoma -Kasulu


*YMJM YOUTH CAMP*THEME: *Kuvishwa uwezo* (Equipped for battle)Andiko: Isaya 45:5 (NLT)"I am the lord; there is no other ...
12/07/2021

*YMJM YOUTH CAMP*

THEME: *Kuvishwa uwezo* (Equipped for battle)

Andiko: Isaya 45:5 (NLT)
"I am the lord; there is no other God. *I have equipped you for battle*, though you don’t even know me,"

MAHALI: Kasulu-Kigoma

Tarehe: *14-18/10/2021*

Tunawakaribishen wote na MUNGU wa mbinguni atawabariki sanaa

Here we  are Glorifying our almighty God for grace upon us, to allow us to have a seminar that will be  conducted on 17t...
09/05/2021

Here we are Glorifying our almighty God for grace upon us, to allow us to have a seminar that will be conducted on 17th to 22th of May through our Whatsap group (YMJM Equip class ) .
We kindly invite all of you to be part of this seminar.

for more information check us +255 (0) 759 012 518

GOD BLESS YOU


Hakikaa Mungu amezidi kuwa mwemaa sanaaa kwetu tunamshukuru sanaaa Mungu kwa kuwa pamojaa nasi  kwenye semina ilofanyika...
26/04/2021

Hakikaa Mungu amezidi kuwa mwemaa sanaaa kwetu
tunamshukuru sanaaa Mungu kwa kuwa pamojaa nasi kwenye semina ilofanyika jijini Dodoma tar 24 /4/2021
Sis hatuna cha kusemaa lakini Mungu wetu wa mbinguni sifa zimrudiee yeye .

asanteni sanaaa walioshiriki kwa kuwepo kwao ama kujitoaa kwa ajili ya kufanikisha tukio hili
Mungu wa mbinguni awajaze sawa sawa na mapenzi yake
MMEBARIKIWA SANAA

Hello ladies all over the world God has entrusted to you this seminar   it will be conducted at Dodoma Tanzania  at 24th...
20/04/2021

Hello ladies all over the world God has entrusted to you this seminar
it will be conducted at Dodoma Tanzania at 24th of April 2020
kindly register by write your full name followed by WiM via the contact provided ti the poster



stay blessed

Bwana wetu Yesu Kristo apewe sifaa tunaendeleaa kumshukuru Mungu kwa kuzidi kutupa kibali cha kuendelee kuandaa semina i...
17/04/2021

Bwana wetu Yesu Kristo apewe sifaa
tunaendeleaa kumshukuru Mungu kwa kuzidi kutupa kibali cha kuendelee kuandaa semina itakayofanyika Dodoma tarehe 24/4/2021 kuwa baraka na mshiliki wa semina hii kwa namnaa utakavyoweza na Mungu wa mbinguni atakubariki sanaa sanaaa


wewe ni wa thamani sanaa  karib kwenye  seminaa ya neno la Mungu.ni kwa ajili ya wanaume wote walioko Dodoma  na viunga ...
09/04/2021

wewe ni wa thamani sanaa karib kwenye seminaa ya neno la Mungu.
ni kwa ajili ya wanaume wote walioko Dodoma na viunga vyake kushiriki tuandikiee jina lako kamili likifatiwa na neno " MIM Kwenda namba 0759012518

Mungu akubariki sanaaa

Bwana wetu Yesu Kristo amekuwa mwema , ametukuka na amezidi kuwa  mwaminifu katikati ya maisha yetu kila iitwapo leo .Bw...
27/03/2021

Bwana wetu Yesu Kristo amekuwa mwema , ametukuka na amezidi kuwa mwaminifu katikati ya maisha yetu kila iitwapo leo .
Bwana wetu ametupa kibali cha kuwa na semina ya neno la Mungu itakayofanyika tarehe 24 -04-2021 Dodoma ,
wewe uliye karibu na uliyeko ndani ya jiji la Dodoma karibuni sanaa
kujisajili andika jina lako kamili likifatiwa na neno MIM kwenda namba 0759012518
Hakuna kiingilio kabisa utakula na kunywa baada ta kupata chakula cha kiroho

karibuni sanaa

Bwana Yesu asifiwe !!!!!Tunamtukuza Mungu kwa kila mmoja  mmoja. YMJM tunakuletea semina ya neno la Mungu  itakayo fanyi...
21/02/2021

Bwana Yesu asifiwe !!!!!
Tunamtukuza Mungu kwa kila mmoja mmoja.
YMJM tunakuletea semina ya neno la Mungu itakayo fanyika tar 27 ya mwez wa 2 2021 mjini Dodoma .
Haipo kwa ajili ya mtu au watu furani bali ni kwa ajili ya kila mmoja mmoja ,
kujisajiri tuma jina lako kamili likifatiwa na Equip Dodoma kwenda namba 0759012518 .
( ni kwa wale walioko Dodoma au wanaweza fika Dodoma siku husika )

Mbarikiwe sanaa tunawapenda pia

Asante  sanaa wote na Mungu wa mbinguni awabariki sanaa
01/02/2021

Asante sanaa wote na Mungu wa mbinguni awabariki sanaa

Bwana wetu Yesu kristo apewe sifa  !!!Hii ni ka ajili ya kila mmoja mmoja   tunamkaribisha kila mmoja kwa  kwa moyo wa u...
28/01/2021

Bwana wetu Yesu kristo apewe sifa !!!
Hii ni ka ajili ya kila mmoja mmoja tunamkaribisha kila mmoja kwa kwa moyo wa upendo karibuni sanaa tujifunze Kwa pamoja na kwa umoja kuhusiana na mas wala mbalimbali ya kiroho na kimwili pia

k**a bado ujajiandikisha tunakuarika ujiandikishe kwa kuandika neno " Equip- Dodoma " kupitia namba +255 759012518
na MUNGU wa mninguni atakubariki sanaa

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Youths' Missionary Journeys Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Youths' Missionary Journeys Ministries:

Videos

Share