Dodoma Safari's Tour Kazi yetu kuhamasisha watanzania kutembelea hifadhi zetu. Karibu
17/07/2024
Ikiwa nimepata kibari machoni pako, nakuomba usinipite mie mja wako Ameen. Happy birthday to me
17/07/2024
Ee, Mungu Baba muumba wa mbingu na nchi nakushukuru kwa neema yako na kunifikisha siku yangu ya kuzaliwa kwangu. Nitaendelea kukurudishia sifa na utukufu wako ewe Mungu mkuu.
Zaidi ya yote MUNGU unilinde na aduwi asipate nafasi kwenye maisha yangu
08/05/2024
Happy birthday dada mkuu wa mbugani. Mwenyezi Mungu akujalie hitaji la moyo wako. Najua cake hadi wanyama wamekula na kusanza
03/04/2024
Karibu katika safari ya kusisimua kutembelea Ngorongoro.
Tarehe 27-04-2024 siku ya safari nitakuwa Jumamosi mchana.
Gharama ya safari kwa mtu moja ni Tsh 190,000/ tu na kwa wanandoa ni Tsh 360,000/tu.
Gharana za safari zitajumuisha
Usafiri kwenda na kurudi
Malazi
Vyakula
Kiingilio mbugani
Vinywaji baridi
Picha
Muongozaji wageni.
Utakuwa na wageni kutoka sehemu mbali mbali, hii ni fursa adimu ya kuunda kumbukumbu za kuduma.
Ngorongoro ni mahali pazuri sana ambapo utaweza kuona Big five na wanyama wa aina mbali mbali na kufurahia madhari mazuri ya kuvuti na hali ya hewa nzuri.
Usikose fursa hii ya kipekee ya kujenga kumbukumbu za kusisimua na za kudumu.
Safari yetu itaanzia Dodoma mjini nitakuwa na ratiba ya kufurahisha kuelimika katika eneo la Ngorongoro.
Kwa mandalizi ya safari yako au maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba +255 (0) 620 132 606 & +255 (0) 678 578448
03/04/2024
Karibu katika safari ya kusisimua kutembelea Ngorongoro.
Tarehe 27-04-2024 siku ya safari nitakuwa Jumamosi mchana.
Gharama ya safari kwa mtu moja ni Tsh 190,000/ tu na kwa wanandoa ni Tsh 360,000/tu.
Gharana za safari zitajumuisha
Usafiri kwenda na kurudi
Malazi
Vyakula
Kiingilio mbugani
Vinywaji baridi
Picha
Muongozaji wageni.
Utakuwa na wageni kutoka sehemu mbali mbali, hii ni fursa adimu ya kuunda kumbukumbu za kuduma.
Ngorongoro ni mahali pazuri sana ambapo utaweza kuona Big five na wanyama wa aina mbali mbali na kufurahia madhari mazuri ya kuvuti na hali ya hewa nzuri.
Usikose fursa hii ya kipekee ya kujenga kumbukumbu za kusisimua na za kudumu.
Safari yetu itaanzia Dodoma mjini nitakuwa na ratiba ya kufurahisha kuelimika katika eneo la Ngorongoro.
Kwa mandalizi ya safari yako au maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba +255 (0) 620 132 606 au +255 (0) 678 578 448
14/03/2024
Hello Dodoma! Hii ni baada ya siku kuu ya pasaka na Eid tunaenda kupongezana na marafiki zetu Ngorongoro Crater.
Safari itakuwa ni siku ya Jumamosi
Tarehe ya safari ni 27-04-2024
Muda wa safari ni saa 8:00 mchana
Safari itaanzia Dodoma mjini
Karibu tu shiriki tour yetu ya Ngorongoro Crater
Unaweza fanya booking kwa kutuma ujumbe mfupi au kupiga simu kwa namba +255 620 132 606
Pia unaruhusiwa kulipia kidogo kidogo kwa Lipa namba 5419500 Jina Dodoma Safari Tour.
Hatuna namba au njia tofauti za malipo zaidi ya hiyo Lipa namba.
Kwa walio Dodoma mnaweza fika ofisini barabara ya 11.
Karibu, Safiri na Dodoma Safari's Tour kwa uhakika na salama wako uwapo safarini na hifadhini.
09/02/2024
Dodomasafaritour Safari Tour Dodoma imekuandalia safari ya kwenda kutalii Ngorongoro Crater.
Katika safari hii itakukutaniasha na marafiki wapya kutoka sehemu tofauti tofauti.
Safari itakuwa ni siku ya Jmosi mchana. Kuna group kwajili ya safari.
K**a utahitaji kushiriki safari hii karibu
Piga simu au tuma ujumbe mfupi
Simu +255 (0) 620 132 606
Unaweza tembelea ukrasa wetu wa Instagram dodoma_safaris_tour
08/02/2024
Dodomasafaritour Safari Tour Dodoma imekuandalia safari ya kwenda kutalii Ngorongoro Crater.
Katika safari hii itakukutaniasha na marafiki wapya kutoka sehemu tofauti tofauti.
Safari itakuwa ni siku ya Jmosi mchana. Kuna group kwajili ya safari.
K**a utahitaji kushiriki safari hii karibu
Piga simu au tuma ujumbe mfupi
Simu +255 (0) 620 132 606
11/12/2023
Hii ni baada ya *PASAKA na EID* Njoo tufurahi pamoja njoo tutalii pamoja.
Unarusiwa kulipa kidogo kidogo wahi nafasi mapema kuepuka usumbufu.
Karibu nikuunge kwenye group la safari za utalii
+255 (0) 620 132 606
05/12/2023
Happy Birthday to you 🎂🍷
i wish you all the best and life longer
Enjoy your day!
02/12/2023
Jamani tumeanza mapemaa kukuambia kuwa kutakuwa na tour mwezi Apr 2024. Hukawii kusema mbona sijaona mbona hukuniambia.
Bango hilo hapo.
Group la safari lipo na ukihitaji kujiunga na group letu la safari karibu inbox upewe maelekezo na utaratibu wa safari.
Unaweza piga simu namba +255 620 132 606
Dodoma ya Samia Fahari ya Watanzania
Twenzetu Tukatalii
17/11/2023
Kifurushi cha mwisho wa mwaka 2023 tunamalizia Mikumi National Park.
Nafasi bado zipo unaweza piga simu kupata maelekezo namna ya kushiri tour ya Mikumi.
29/10/2023
Mema ya Mungu
24/09/2023
Twende tukapoze koo Mkungunero kisha tutapumzika Babati na tutaendelea kupoza koo Tarangire.
Dodoma Safari's Tour inakukutanisha na marafiki wapya ubadirishane mawazo, utendaje kazi katika ofisi na biashara.
Twende pamoja Mkungunero Game Reserve na Tarangire National Park kwa gharama nafuu sana .
03/09/2023
Tunawaunga 🤝🤝
21/08/2023
Nyerere Day Tour Enjoy. Tunaanzia nyumbani Mkungunero Game Reserve Dodoma Kondoa kisha tunamalizia Tarangire National Park kwa gharama nafuu sana.
Unaweza fanya booking yako kwa simu namba +255 620 132 606
Pia inaruhusiwa kulipia kidogo kidogo kwa Lipa namba *5419500* Jina *Dodoma Safari Tour*
Twende tukatalii pamoja tukutane na marafiki wapya tubadirishane uzoefu wa kazi zetu pamoja na biashara zetu.
DODOMA ya Samia Fahari ya Watanzania
21/08/2023
Nyerere Day Tour
Mbili Kwa moja gharama kiduchu sana.
Tunaanzia nyumbani Mkungunero Game Reserve Dodoma Kondoa kisha tunamalizia TARANGIRE NATIONAL PARK.
Hii si ya kukosa itakuwa na washiri wa kutosha. Njoo tuongeze marafi na ujuzi katika kazi na biashara zetu.
Unaweza fanya booking kwa kupitia namba ya simu +255 620 132 606
Pia unaruhusiwa kupunguza kidogo kidogo Kwa LIPA namba 5419500 Jina Dodoma Safari Tour
16/08/2023
Safari hii tunaanzia nyumbani tunamalizia ugenini. 2*1 kwa gharama nafuu sana. Fanya booking yako mapema kuepuka usumbufu. Simu namba +255 620 132 606.
Karibu Dodoma Safaris Tour
Tunasema Dodoma ya Samia Fahari ya Watanzania
12/08/2023
Nyerere Day
Tunaanzia MKUNGUNERO GAME RESERVE na tunamalizia TARANGIRE NATIONAL PARK.
Address
Dodoma
Website
https://wa.me/message/HQ2H6DHZ2TQTO1, https://www.youtube.com/@dstv373
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Dodoma Safari's Tour posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Contact The Business
Send a message to Dodoma Safari's Tour:
Videos
Karibu katika safari ya kusisimua kutembelea Ngorongoro. Tarehe 27-04-2024 siku ya safari nitakuwa Jumamosi mchana. Gharama ya safari kwa mtu moja ni Tsh 190,000/ tu na kwa wanandoa ni Tsh 360,000/tu. Gharana za safari zitajumuisha Usafiri kwenda na kurudi Malazi Vyakula Kiingilio mbugani Vinywaji baridi Picha Muongozaji wageni. Utakuwa na wageni kutoka sehemu mbali mbali, hii ni fursa adimu ya kuunda kumbukumbu za kuduma. Ngorongoro ni mahali pazuri sana ambapo utaweza kuona Big five na wanyama wa aina mbali mbali na kufurahia madhari mazuri ya kuvuti na hali ya hewa nzuri. Usikose fursa hii ya kipekee ya kujenga kumbukumbu za kusisimua na za kudumu. Safari yetu itaanzia Dodoma mjini nitakuwa na ratiba ya kufurahisha kuelimika katika eneo la Ngorongoro. Kwa mandalizi ya safari yako au maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba +255 (0) 620 132 606 +255 (0) 678 578 448 Tuna tarajia kushirikiana nawe katika safari hii ya kusisimua Hello Dodoma! Hii ni baada ya siku kuu ya pasaka na Eid tunaenda kupongezana na marafiki zetu Ngorongoro Crater. Safari itakuwa ni siku ya Jumamosi Tarehe ya safari ni 27-04-2024 Muda wa safari ni saa 8:00 mchana Safari itaanzia Dodoma mjini Karibu tu shiriki tour yetu ya Ngorongoro Crater Unaweza fanya booking kwa kutuma ujumbe mfupi au kupiga simu kwa namba +255 620 132 606 Pia unaruhusiwa kulipia kidogo kidogo kwa Lipa namba 5419500 Jina Dodoma Safari Tour. Hatuna namba au njia tofauti za malipo zaidi ya hiyo Lipa namba. Kwa walio Dodoma mnaweza fika ofisini barabara ya 11. Karibu, Safiri na Dodoma Safari's Tour kwa uhakika na salama wako uwapo safarini na hifadhini
Dodoma Safaris Tour imekuandalia safari ya kwenda Ngorongoro Crater. Safari hii itakuwa baada ya sikukuu ya Pasaka na Eid. Gharama ya safari kwa mtu mmoja Tsh 190,000/ Kwa wapenzi (wanandoa) Tsh 360,000/ Gharama itajumuisha ; _Usafiri kwenda na kurudi _Malazi siku moja _chakula _vinywaji (soft drink) _Viingilio hifadhini _Muongozaji wageni. _Picha Tarehe ya safari 27/04/2024 Siku ya safari Jumamosi Safari itaanzia mkoa wa Dodoma mjini Karibu ufanye booking ya seat yako kuepuka usumbufu. Unaweza tuma ujumbe wa mandishi mfupi au ukapiga simu kwa namba +255 (0) 620 132 606 Namba ya malipo ni LIPA NAMBA 5419500 Jina la LIPA NAMBA Dodoma Safari Tour ONYO hatuna namba ya malipo zaidi ya hiyo epuka matapeli. Karibu tutalii pamoja na marafiki.
Dodoma Safaris Tour tumekuandalia safari ya kwenda Ngorongoro Crater. Hii itakuwa baada ya Pasaka na sikukuu ya Eid. Gharama ya safari ni Tsh 190,000/ kwa mtu mmoja Kwa wapenzi Tsh 360,000/ Gharama hiyo itajumuisha usafiri kwenda na kurudi Malazi ya siku moja Chakula Viingilio hifadhini Muongozaji wageni Vinywaji baridi (soft drink) Tarehe ya safari 27/04/2024 Siku ya safari Jumamosi. Dodoma safaris Tour inakukaribisha kushiriki hii safari. Kwa kupata maelezo zaidi unaweza tuma ujumbe mfupi au kupiga simu namba +255 (0) 620 132 606.
Shortcuts
Category
Nearby travel agencies
-
Chole Masaki, Dar es Salaam
-
Dar es Salaam 0701
-
World Express Travel and Tours
Mkunguni/Livingstone Street, Dar es Salaam -
P. O. BOX 32915, Dar es Salaam
-
Dar es Salaam
-
Dsm, Dar es Salam
-
Sinza, Dar es Salaam
-
All-Zone Clearing & Forwarding
Dar es Salaam 255 -
Ilala, Dar es Salaam
-
Dar es Salaam 11702
-
Tengeru Street, Arusha
-
Dar Es Salaam, Dar es Salaam
-
Mbezi Beach, Dar es Salaam
-
76571, Dar es Salaam
-
ukonga, Dar es Salaam