Dodoma Safari's Tour

Dodoma Safari's Tour Dodoma Safari's Tour Kazi yetu kuhamasisha watanzania kutembelea hifadhi zetu. Karibu

19/09/2024
Ikiwa nimepata kibari machoni pako, nakuomba usinipite mie mja wako Ameen. Happy birthday to me
17/07/2024

Ikiwa nimepata kibari machoni pako, nakuomba usinipite mie mja wako Ameen. Happy birthday to me

Ee, Mungu Baba muumba wa mbingu na nchi nakushukuru kwa neema yako na kunifikisha siku yangu ya kuzaliwa kwangu. Nitaend...
17/07/2024

Ee, Mungu Baba muumba wa mbingu na nchi nakushukuru kwa neema yako na kunifikisha siku yangu ya kuzaliwa kwangu. Nitaendelea kukurudishia sifa na utukufu wako ewe Mungu mkuu.

Zaidi ya yote MUNGU unilinde na aduwi asipate nafasi kwenye maisha yangu

Happy birthday dada mkuu wa mbugani. Mwenyezi Mungu akujalie hitaji la moyo wako. Najua cake hadi wanyama wamekula na ku...
08/05/2024

Happy birthday dada mkuu wa mbugani. Mwenyezi Mungu akujalie hitaji la moyo wako. Najua cake hadi wanyama wamekula na kusanza

Karibu katika safari ya kusisimua kutembelea Ngorongoro. Tarehe 27-04-2024 siku ya safari nitakuwa Jumamosi mchana. Ghar...
03/04/2024

Karibu katika safari ya kusisimua kutembelea Ngorongoro.

Tarehe 27-04-2024 siku ya safari nitakuwa Jumamosi mchana.

Gharama ya safari kwa mtu moja ni Tsh 190,000/ tu na kwa wanandoa ni Tsh 360,000/tu.

Gharana za safari zitajumuisha
       Usafiri kwenda na kurudi
       Malazi
       Vyakula
      Kiingilio mbugani
      Vinywaji baridi
      Picha
      Muongozaji wageni.

Utakuwa na wageni kutoka sehemu mbali mbali, hii ni fursa adimu ya kuunda kumbukumbu za kuduma.

Ngorongoro ni mahali pazuri sana ambapo utaweza kuona Big five na  wanyama wa aina mbali mbali na kufurahia madhari mazuri ya kuvuti na hali ya hewa nzuri.

Usikose fursa hii ya kipekee ya kujenga kumbukumbu za kusisimua na za kudumu.

Safari yetu itaanzia Dodoma mjini nitakuwa na ratiba ya kufurahisha kuelimika katika eneo la Ngorongoro.

Kwa mandalizi ya safari yako au maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba +255 (0) 620 132 606 & +255 (0) 678 578448

Karibu katika safari ya kusisimua kutembelea Ngorongoro. Tarehe 27-04-2024 siku ya safari nitakuwa Jumamosi mchana. Ghar...
03/04/2024

Karibu katika safari ya kusisimua kutembelea Ngorongoro.

Tarehe 27-04-2024 siku ya safari nitakuwa Jumamosi mchana.

Gharama ya safari kwa mtu moja ni Tsh 190,000/ tu na kwa wanandoa ni Tsh 360,000/tu.

Gharana za safari zitajumuisha
       Usafiri kwenda na kurudi
       Malazi
       Vyakula
      Kiingilio mbugani
      Vinywaji baridi
      Picha
      Muongozaji wageni.

Utakuwa na wageni kutoka sehemu mbali mbali, hii ni fursa adimu ya kuunda kumbukumbu za kuduma.

Ngorongoro ni mahali pazuri sana ambapo utaweza kuona Big five na  wanyama wa aina mbali mbali na kufurahia madhari mazuri ya kuvuti na hali ya hewa nzuri.

Usikose fursa hii ya kipekee ya kujenga kumbukumbu za kusisimua na za kudumu.

Safari yetu itaanzia Dodoma mjini nitakuwa na ratiba ya kufurahisha kuelimika katika eneo la Ngorongoro.

Kwa mandalizi ya safari yako au maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba +255 (0) 620 132 606 au +255 (0) 678 578 448

Hello Dodoma! Hii ni baada ya siku kuu ya pasaka na Eid tunaenda kupongezana na marafiki zetu Ngorongoro Crater.Safari i...
14/03/2024

Hello Dodoma! Hii ni baada ya siku kuu ya pasaka na Eid tunaenda kupongezana na marafiki zetu Ngorongoro Crater.

Safari itakuwa ni siku ya Jumamosi
Tarehe ya safari ni 27-04-2024
Muda wa safari ni saa 8:00 mchana
Safari itaanzia Dodoma mjini

Karibu tu shiriki tour yetu ya Ngorongoro Crater
Unaweza fanya booking kwa kutuma ujumbe mfupi au kupiga simu kwa namba +255 620 132 606

Pia unaruhusiwa kulipia kidogo kidogo kwa Lipa namba 5419500 Jina Dodoma Safari Tour.

Hatuna namba au njia tofauti za malipo zaidi ya hiyo Lipa namba.
Kwa walio Dodoma mnaweza fika ofisini barabara ya 11.

Karibu, Safiri na Dodoma Safari's Tour kwa uhakika na salama wako uwapo safarini na hifadhini.

Dodomasafaritour Safari Tour Dodoma imekuandalia safari ya kwenda kutalii Ngorongoro Crater. Katika safari hii itakukuta...
09/02/2024

Dodomasafaritour Safari Tour Dodoma imekuandalia safari ya kwenda kutalii Ngorongoro Crater.

Katika safari hii itakukutaniasha na marafiki wapya kutoka sehemu tofauti tofauti.

Safari itakuwa ni siku ya Jmosi mchana. Kuna group kwajili ya safari.

K**a utahitaji kushiriki safari hii karibu
Piga simu au tuma ujumbe mfupi

Simu +255 (0) 620 132 606
Unaweza tembelea ukrasa wetu wa Instagram dodoma_safaris_tour

Dodomasafaritour Safari Tour Dodoma imekuandalia safari ya kwenda kutalii Ngorongoro Crater. Katika safari hii itakukuta...
08/02/2024

Dodomasafaritour Safari Tour Dodoma imekuandalia safari ya kwenda kutalii Ngorongoro Crater.

Katika safari hii itakukutaniasha na marafiki wapya kutoka sehemu tofauti tofauti.

Safari itakuwa ni siku ya Jmosi mchana. Kuna group kwajili ya safari.

K**a utahitaji kushiriki safari hii karibu
Piga simu au tuma ujumbe mfupi

Simu +255 (0) 620 132 606

Hii ni baada ya *PASAKA na EID* Njoo tufurahi pamoja njoo tutalii pamoja.Unarusiwa kulipa kidogo kidogo wahi nafasi mape...
11/12/2023

Hii ni baada ya *PASAKA na EID* Njoo tufurahi pamoja njoo tutalii pamoja.

Unarusiwa kulipa kidogo kidogo wahi nafasi mapema kuepuka usumbufu.

Karibu nikuunge kwenye group la safari za utalii

+255 (0) 620 132 606

Happy Birthday to you 🎂🍷i wish you all the best and life longerEnjoy your day!
05/12/2023

Happy Birthday to you 🎂🍷
i wish you all the best and life longer
Enjoy your day!

Jamani tumeanza mapemaa kukuambia kuwa kutakuwa na tour mwezi Apr 2024. Hukawii kusema mbona sijaona mbona hukuniambia. ...
02/12/2023

Jamani tumeanza mapemaa kukuambia kuwa kutakuwa na tour mwezi Apr 2024. Hukawii kusema mbona sijaona mbona hukuniambia.

Bango hilo hapo.

Group la safari lipo na ukihitaji kujiunga na group letu la safari karibu inbox upewe maelekezo na utaratibu wa safari.

Unaweza piga simu namba +255 620 132 606

Dodoma ya Samia Fahari ya Watanzania

Twenzetu Tukatalii

Kifurushi cha mwisho wa mwaka 2023 tunamalizia  Mikumi National Park.Nafasi bado zipo unaweza piga simu kupata maelekezo...
17/11/2023

Kifurushi cha mwisho wa mwaka 2023 tunamalizia Mikumi National Park.

Nafasi bado zipo unaweza piga simu kupata maelekezo namna ya kushiri tour ya Mikumi.

Mema ya Mungu
29/10/2023

Mema ya Mungu

Twende tukapoze koo Mkungunero kisha tutapumzika Babati na tutaendelea kupoza koo Tarangire. Dodoma Safari's Tour inakuk...
24/09/2023

Twende tukapoze koo Mkungunero kisha tutapumzika Babati na tutaendelea kupoza koo Tarangire.

Dodoma Safari's Tour inakukutanisha na marafiki wapya ubadirishane mawazo, utendaje kazi katika ofisi na biashara.

Twende pamoja Mkungunero Game Reserve na Tarangire National Park kwa gharama nafuu sana .

Tunawaunga 🤝🤝
03/09/2023

Tunawaunga 🤝🤝

Nyerere Day Tour Enjoy. Tunaanzia nyumbani Mkungunero Game Reserve Dodoma Kondoa kisha tunamalizia Tarangire National Pa...
21/08/2023

Nyerere Day Tour Enjoy. Tunaanzia nyumbani Mkungunero Game Reserve Dodoma Kondoa kisha tunamalizia Tarangire National Park kwa gharama nafuu sana.

Unaweza fanya booking yako kwa simu namba +255 620 132 606

Pia inaruhusiwa kulipia kidogo kidogo kwa Lipa namba *5419500* Jina *Dodoma Safari Tour*

Twende tukatalii pamoja tukutane na marafiki wapya tubadirishane uzoefu wa kazi zetu pamoja na biashara zetu.

DODOMA ya Samia Fahari ya Watanzania

Nyerere Day TourMbili Kwa moja gharama kiduchu sana.Tunaanzia nyumbani Mkungunero Game Reserve Dodoma Kondoa kisha tunam...
21/08/2023

Nyerere Day Tour

Mbili Kwa moja gharama kiduchu sana.

Tunaanzia nyumbani Mkungunero Game Reserve Dodoma Kondoa kisha tunamalizia TARANGIRE NATIONAL PARK.

Hii si ya kukosa itakuwa na washiri wa kutosha. Njoo tuongeze marafi na ujuzi katika kazi na biashara zetu.

Unaweza fanya booking kwa kupitia namba ya simu +255 620 132 606

Pia unaruhusiwa kupunguza kidogo kidogo Kwa LIPA namba 5419500 Jina Dodoma Safari Tour

Safari hii tunaanzia nyumbani tunamalizia ugenini. 2*1 kwa gharama nafuu sana. Fanya booking yako mapema kuepuka usumbuf...
16/08/2023

Safari hii tunaanzia nyumbani tunamalizia ugenini. 2*1 kwa gharama nafuu sana. Fanya booking yako mapema kuepuka usumbufu. Simu namba +255 620 132 606.
Karibu Dodoma Safaris Tour

Tunasema Dodoma ya Samia Fahari ya Watanzania

Nyerere Day Tunaanzia MKUNGUNERO GAME RESERVE na tunamalizia TARANGIRE NATIONAL PARK.
12/08/2023

Nyerere Day
Tunaanzia MKUNGUNERO GAME RESERVE na tunamalizia TARANGIRE NATIONAL PARK.

Address

Dodoma

Website

https://www.youtube.com/@dstv373

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dodoma Safari's Tour posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dodoma Safari's Tour:

Videos

Share

Category

Nearby travel agencies


Other Tour Agencies in Dodoma

Show All

You may also like