lufuna_safaris_and_tours

lufuna_safaris_and_tours twende tukatalii

Hongereni sanaHongera   ni sehemu salamaHongera pia ndugu  Kwa kazi kubwa
12/09/2024

Hongereni sana
Hongera
ni sehemu salama
Hongera pia ndugu Kwa kazi kubwa

ASANTE
08/08/2024

ASANTE

10/07/2024

Anaejua kinachoendelea hapa aje anambie
23/06/2024

Anaejua kinachoendelea hapa aje anambie

Huyu ni hamerkop kwa kingereza kiswahili ni msingwejina hili amepewa kutokana na umbo lake linalofanana k**a nyundo au k...
28/04/2024

Huyu ni hamerkop kwa kingereza kiswahili ni msingwe
jina hili amepewa kutokana na umbo lake linalofanana k**a nyundo au kichwa cha nyundo ukiangalia kichwa chske na mdomo,mdomo wake mrefu humsaidia sana katika mawindo yake hasa samaki .. na miguu yake pia hutumia sana mawindo ya nchi kavu anapowinda nyoka wadogo wadogo mijusi n.k

Beautiful day
25/09/2023

Beautiful day

Mimi k**a mwanume sijapenda
08/09/2023

Mimi k**a mwanume sijapenda

Maana ya kwenda tour ni kufurahia, kujifunza na kuelimika maana yake ubongo wako ukaone vitu vipya kabisa karibu  twende...
05/09/2023

Maana ya kwenda tour ni kufurahia, kujifunza na kuelimika maana yake ubongo wako ukaone vitu vipya kabisa karibu twende tukafurahie pamoja

Story fupi ya marehemAlizaliwa akaishi ishi kidogo wazazi walipomwacha kidogo kwenda kumtafutia chakula akaliwa..Wazazi ...
04/09/2023

Story fupi ya marehem
Alizaliwa akaishi ishi kidogo wazazi walipomwacha kidogo kwenda kumtafutia chakula akaliwa..Wazazi walipo waliporudi
Hawakumkuta mtoto yule

Hii story mhusika mkuu anatakiwa awe nani
Kati nyani na Tai

Nipigie nikupeleke Zanzibar ukapate ujuzi na uajiliwe kabisaa
02/09/2023

Nipigie nikupeleke Zanzibar ukapate ujuzi na uajiliwe kabisaa

Tunga stori inayoendana na picha hii
02/09/2023

Tunga stori inayoendana na picha hii

Puff Adder English kwa kiswahili (bafe) kwa kibena liwoma hawa ni nyoka wanapatika mara nyingi sehemu kame k**a jangwani...
25/08/2023

Puff Adder English kwa kiswahili (bafe) kwa kibena liwoma hawa ni nyoka wanapatika mara nyingi sehemu kame k**a jangwani inasemekana wanasumu kali sana japo wao siyo wakorofi k**a cobra

Watanzania wengi wengi tumelelewa kupitia kazi hizi za wazazi wetu mungu awalinde sana  Hii ni pombe aina ya komoni ndo ...
25/08/2023

Watanzania wengi wengi tumelelewa kupitia kazi hizi za wazazi wetu mungu awalinde sana
Hii ni pombe aina ya komoni ndo inatayarishwa na hii ni pombe asili ya kabila la wabena mkoani njombe
Hiyo kitu ni noma

Beautiful natural place Unaweza kupiga picha ama ku shoot video
23/08/2023

Beautiful natural place
Unaweza kupiga picha ama ku shoot video

Maisha ni marefu sana ukikutana na watu sahihi
23/08/2023

Maisha ni marefu sana ukikutana na watu sahihi

Waziri wa usafi na mazingira katika ubora wake unahisi kabeba nini hapa
13/08/2023

Waziri wa usafi na mazingira katika ubora wake unahisi kabeba nini hapa

Tengeneza hadithi fupi hapa
07/08/2023

Tengeneza hadithi fupi hapa

Simba huzaa kila baada ya miaka 2 na anauwezo wa kuzaa watoto 1-6 kwa uzao mmoja. Wanaishi kifamilia Ambapo life span ya...
24/10/2022

Simba huzaa kila baada ya miaka 2 na anauwezo wa kuzaa watoto 1-6 kwa uzao mmoja. Wanaishi kifamilia
Ambapo life span yao kwa simba dume huishi kwa wastani wa miaka 12 na jike hadi miaka 15 mbugani, Ila kwa zoo hufika hadi miaka 20.
JOIN US TO THE WILD.

Address

Mwembetogwa Secondary School
Iringa

Telephone

+255623484462

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when lufuna_safaris_and_tours posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to lufuna_safaris_and_tours:

Share

Category