
01/07/2024
Tanzania Railways Corporation
Sasa unaweza kutoka Dar kuja Morogoro kwa kutumia Treni ya SGR kwa muda wa saa 1 na dk 41.
Hivyo unaweza kufika Morogoro mjini tukakuchukua hadi Mikumi National Park na ukaweza kutalii kwa masaa ya kutosha na kisha kurudi Tena Morogoro kwa safari ya Treni kurudi tena Dar.
Karibuni.
Piga au Whatsapp
0716 588 615
Tanzania National Parks (TANAPA) Tanzania Wildlife Management Authority - TAWA Tanzania Tourism Karoli Shirima Charlz Con Wild millard ayo Must Do Travels Tripadvisor - Cities I've Visited Tanzania Unforgettable BBC Travel Travel + Leisure