![......Sasa k**a simba alivyo mbishi, ndio mimi ninavyoishi, ye anawinda kwenye msitu, mi nalinda mziki wenu, wakati simb...](https://img5.travelagents10.com/479/354/1262611404793541.jpg)
31/07/2024
......Sasa k**a simba alivyo mbishi, ndio mimi ninavyoishi, ye anawinda kwenye msitu, mi nalinda mziki wenu, wakati simba anawinda ili mradi apate nyama,mimi mziki naulinda kusudi nipate HESHIMA!!!
WAJINA Umetuheshimisha sana.