Visit Mwanga

Visit Mwanga Tourism promotion services in Mwanga district

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Ngumi Moja, Kondo Samata, Santosh Suryawanshi
16/10/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Ngumi Moja, Kondo Samata, Santosh Suryawanshi

23/09/2024

Visit Mwanga Gyuláné Sárvári 0621 911 606 Azizen Team +254 Kilimarathon 2023 Tour Moshi Dongodo Peak Safari Lodge Nyumba Ya Mungu Twende Zetu Ugweno Rudi Nyumbani Kumenoga TanzaniaSafari

I gained 71 followers, created 3 posts and received 17 reactions in the past 90 days! Thank you all for your continued s...
23/09/2024

I gained 71 followers, created 3 posts and received 17 reactions in the past 90 days! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. 🙏🤗🎉

27/06/2024
27/06/2024

23/06/2023

Hapa ni lang'ata wilaya ya kuna hichi kivutio Cha ni mahali pazuri sana kutembelea sababu kuu ni kuona mandhari nzuri sana ya eneo hili itinerary iko kwa activities lakini ungependa kujua zaidi 0621 911 606

16/05/2023

Everyone hili ni eneo ambalo ndipo lilipo jiwe ambalo walikuwa wanatupwa watoto enzi hizo za mababu wa mababu Zetu.

Hapa Mkumba Vana pia kuna mreshe, kilomi Cha Vali na msitu wa mangi Minja.

Kuna view nzuri sana ya upande wa Kenya. Vivutio vya utalii vilpo vingi katika eneo hili. Kuna na ni mahali pazuri pa kufanya acclimatization kwa watalii wanaojipanga kufika hapa ni rahisi sana kwa sababu usafiri wa barabara upo wa aina zote nitafute kwa 0621 911 606

01/03/2023

Visit Mwanga Welcome to Magical Kenya CNN Travel Twende Zetu Ugweno Rudi Nyumbani Kumenoga ITB Berlin ITB Travel Planner Moondance Jewelry Gallery Gap Tanzania Tourist Board Tigo Tanzania NBC Tanzania Airtel Tanzania Castle Lager Tanzania USAID Tanzania Toyota Tanzania Ltd TanzaniaSafari Unforgettable Safari Tanzania Tsavo Trust Nyumba Ya Mungu Lake Chala Safari Lodge and Campsites Dongodo Peak Safari Lodge Ugweno kilimanjaro UGWENO FB FANS UGWENO MUSIC STAR Kilimangiaro Kilimanjaro Cycling Club Kilimanjaro Premium Lager Team +254 Kilimarathon 2023 Tour Moshi kilimanjaro.no The Moshi DJ Mwanga Usangi kwetu

  tulifika   shambani kwa upande wa Kivisini kijijini Cha kwa Nyange.  Hapa shambani tunajiandaa kwa ajili ya msimu wa m...
01/03/2023

tulifika shambani kwa upande wa Kivisini kijijini Cha kwa Nyange. Hapa shambani tunajiandaa kwa ajili ya msimu wa mvua za masika. Lakini Kwa Sasa kutokana na kipindi kirefu sana Cha kiangazi na jua kali. Tunaendelea kuotesha mbogamboga kwa kumwagilia kutumia pump ya petroleum

Neema kubwa tunaona umeme karibia utafika, kwa hivyo tunaweza kupata unafuu wa kumwagilia kutumia pump ya umeme

ni moja wapo wa eneo zuri sana kiutalii, Kwa kuwa lipo mpakani mwa Kenya na Tanzania. Kwa upande wa mashembe, kitoghoto na

Njia kutokea kifaru, irara, kwa Nyange, Kivisini, Jipe, Kambi ya Simba, Butu hadi Mkomazi iko na diversion kadhaa kuelekea ziwani na nyingine kuelekea milimani Ugweno. Vivutio vipo vingi. Njia hizi Zina ubora wa Hali ya juu,

Kwa jogging, biking, cycling walking, riding, marathon, rally na hata mbio za nyika

Kwa kujua zaidi na kutembelea maeneo haya tuwailiane Whatsapp +255788144492 Whatsapp +255621911606

10/02/2023

05/02/2023

Wadau Habari za mwaka 2023. Naomba twendeni pamoja kwa fujo Yani!!! Tuipeperushe bendera. Kampeni ni             k**a un...
14/01/2023

Wadau Habari za mwaka 2023. Naomba twendeni pamoja kwa fujo Yani!!! Tuipeperushe bendera. Kampeni ni k**a unaipenda Ugweno basi usisite kushare, kupost, kufollow, kukoment hata kupiga simu. Ukipenda kujiunga na group za Dongodo Peak Projects naomba weka namba yako kwa page ya karibuni sana wadau

Address

P. O. Box 7052
Moshi
0255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Visit Mwanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Visit Mwanga:

Videos

Share

Category