traprock_tours_and_safaris

traprock_tours_and_safaris traprock tours & safaris;
For tour service in East Africa, Tanzania
visit tanzani for unforgettable tour &
beautiful destination.

contact us via WhasApp no: +255 768 436289
You're most welcome...
to discover the treasure.

24/04/2024
LAKE DULUTI Nihabarigani Za Kusisimu na Kutisha Ulikwisha wahi Zisikia Kuhusu Ziwa Hilo👹Vipi Kuhusu Joka Linalo Taga May...
24/04/2024

LAKE DULUTI

Nihabarigani Za Kusisimu na Kutisha Ulikwisha wahi Zisikia Kuhusu Ziwa Hilo👹

Vipi Kuhusu Joka Linalo Taga Mayai ya Dhahabu‼⁉️

Minyonyoro ya Shaba inayoshuka Katikati ya Ziwa hilo Nyakati za Mvua Kubwa‼⛓

Ikolojia na Mysterious Facts zake Zipoje🎋⁉️, Babu Sambeki Je‼ Ni Nani Haswaaa 💎🤷‍♂️

LIFAHAMU ZIWA DULUTI
NA MAUZA UZA YAKE
Hazina ya Kiroho
🎋☠

Ziwa Duluti ni moja ya maziwa ambayo yapo katika lilekudi la ‘hawavumi lakin wamo’

Tanzania ni miongoni mwa nchi barani Afrika inayozungukwa na vivutio vingi vya utalii na vingine inawezekana hata havitambuliwi na wenyeji

Ziwa Duluti ni ziwa la volkeno katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania, kwenye ukingo wa mashariki wa mashariki la Bonde Kuu la Ufa.

Lina patikanika katika Wilaya ya Meru karibu na mji wa Tengeru na iko kilomita 14 kutoka katikati ya jiji la Arusha na kilomita 1.31 kutoka barabara ya Arusha-Moshi

Ziwa Duluti lina ukubwa wa kilomita 0.66 , na Hifadhi ya Misitu ya Ziwa Duluti inashughulikia takriban hek

Moja kati Kivutio cha kitalii na chenye sifa za kipekee ni Ziwa Ngosi/Ngozi Wanakwambia hakuna ndege anaruka juu ya ilo ...
24/04/2024

Moja kati Kivutio cha kitalii na chenye sifa za kipekee ni Ziwa Ngosi/Ngozi

Wanakwambia hakuna ndege anaruka juu ya ilo ziwa across🥶

Linahusishwa Vipi na Imani ya Kishirikiana katika Kabila la Waswafa..!!⁉️

Je hiyo Hazina ya Dhahabu iliyo achwa na Wanajeshi wa Kijerumani Wakikoloni ni Kweli‼⁉️🤔

A Thread 🎋

Ziwa Ngosi/Ngozi Linapatikana Nyanda za Juu Kusini Uporoto wilayani Rungwe, Mkoani Mbeya

Mbeya ni mji uliojaaliwa kuwa na vivutio vingi na vya kipekee. Ardhi yake imesanifiwa vema na athari ya volkano na kuipa “view” nzuri kijografia

Ziwa Ngozi ni ziwa la volkeno bwete katika safu ya milima ya Uporoto, Ziwa hilo Lipo Juu Kabisa Ya Kilele Cha Mlima, Sehemu ya juu zaidi ya mlima ni mita 2,622 juu ya usawa wa bahari

Miteremko ya mlima upande wa kusini inafunikwa na misitu ya mvua yenye nyani aina ya mbega
Maji ya Ziwa Ngozi hubadilika rangi kuendana na hali ya joto ya siku husika

Ziwa ngozi, ni la pili kwa ukubwa (kreta) barani Afrika baada ya ziwa lingine la kreta lililopo

Huyu sasa ndio Nyoka mrefu kuliko nyoka wote wenye sumu duniani, Anaitwa King cobra ni hatari sana huyu😡Ameitwa King cob...
24/04/2024

Huyu sasa ndio Nyoka mrefu kuliko nyoka wote wenye sumu duniani, Anaitwa King cobra ni hatari sana huyu😡

Ameitwa King cobra kutokana na tabia yake ya kuwala nyoka wenzake hususani zile species nyingine za cobra huwa akiwakuta anawameza tu bila hiyanandio hapo akaitwa King👑

NIKUJUZE 🎋☠Kuna watu nature yao ni kupenda new experience kila siku na kuweka historia zao wanazotaka waoSiku cheche Zil...
24/04/2024

NIKUJUZE 🎋☠

Kuna watu nature yao ni kupenda new experience kila siku na kuweka historia zao wanazotaka wao

Siku cheche Zilizo pita na Hata leo nimeweka post ambayo ilikuwa inamuonesha spotter akiwa karibu kabisa na simba na ile ni taaluma yake lakin kuna baadhi ya watu wakaona k**a ni ubaguzi flan hiv kwamba kakaa pale Ili kuwafurahisha wazungu

Ile sio kweli utalii una mambo mengi Mmnoo na ili uweze kuwa muongoza utalii lazima uwe professinal na kazi hiyo na ukiwa hivo basi kila kitu kwako ni rahisi na utafanya kazi kwa umakini kabisa

Ile ni kawaida mno na tumezoea ni kaz yetu ile hamna cha Ubaguzi wala nini

Nak**a ingekuwa ni ubaguzi basi hawa wazungu wasingekuwa wanakubali kupanda magari ya wazi k**a hili maana hapo simba hawezi kushindwa kumchomoa hapo dk 0 tu.

Ila kikubwa hawa wenzetu kidogo wanaelimu na hawa wanyama wanachofata ni maelekezo tu ya muongozaji wao.

Hints 🎋

Uangalifu na Tahadhari Muhimu, Wakati Mwingine Wanyama Hawa tabiriki

best picture
24/04/2024

best picture

Address

Mwanza

Telephone

+255768436289

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when traprock_tours_and_safaris posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to traprock_tours_and_safaris:

Share

Category