Desho Enterprises

Desho Enterprises Karibu kwenye Page yetu ya biashara ya Nafaka MbalimbaliπŸ‘πŸ˜‹βœ…. Ubora wa bidhaa zetu ndio nguzo yetu

we are deal with packing materials and supplying inside and outside of the country

---Ndugu Mwekezaji,Napenda kuchukua fursa hii kukualika kuwa sehemu ya safari yetu ya mafanikio kwenye biashara ya nafak...
25/10/2024

---

Ndugu Mwekezaji,

Napenda kuchukua fursa hii kukualika kuwa sehemu ya safari yetu ya mafanikio kwenye biashara ya nafaka. Biashara ya nafaka ina nafasi kubwa ya ukuaji kwa sababu ya mahitaji yake yasiyokoma kwenye jamii yetu. Nafaka ni chakula kikuu kwa watu wengi, na soko lake limekuwa imara na lenye faida kwa miaka mingi.

Tukiangalia soko la sasa, kuna fursa kubwa ya kuleta mabadiliko, sio tu kwa kugawa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu, bali pia kwa kuboresha njia za kusambaza nafaka kwa wateja wakubwa na wadogo, kwa kuzingatia usalama wa chakula na bei nafuu.

K**a mwekezaji, utafaidika kwa mambo yafuatayo:

1. Soko Imara na Endelevu: Mahitaji ya nafaka ni ya kudumu, na ongezeko la watu linazidi kukuza soko la ndani na nje ya nchi.

2. Faida za Haraka na Endelevu: Kutokana na mtandao wetu wa wakulima wa ndani na mfumo wa usambazaji uliopo, tunalenga kufikia faida ndani ya muda mfupi.

3. Uongozi Madhubuti: Timu yetu ina uzoefu mkubwa katika sekta ya kilimo na biashara, tukiwa na rekodi nzuri ya kutimiza malengo ya kifedha.

4. Fursa ya Kukuza Biashara: Kupitia uwekezaji wako, tutapanua shughuli zetu, kuboresha teknolojia ya uhifadhi wa nafaka, na kuleta faida kubwa zaidi.

5. Uwazi na Uwajibikaji: Tunaweka kipaumbele katika kufanya biashara kwa uwazi, ambapo utapokea ripoti za mara kwa mara kuhusu maendeleo ya biashara na mgawanyo wa faida.

Tunakuahidi uwekezaji wako utakuwa kwenye mikono salama, huku tukilenga sio tu kuongeza faida bali pia kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kukuza ajira na uchumi wa kilimo.

Karibu ujipatie sehemu yako katika fursa hii ya kipekee ya kuwekeza kwenye biashara yenye msingi imara na yenye uwezo mkubwa wa ukuaji.

Kwa pamoja, tunaweza kujenga biashara yenye mafanikio ya kudumu.

---

"Zawadi kwa wateja wetu! Punguzo la kipekee la 20% kwa ununuzi wako wa nafaka! Fanya biashara nasi leo na ufurahie ubora...
22/10/2024

"Zawadi kwa wateja wetu! Punguzo la kipekee la 20% kwa ununuzi wako wa nafaka! Fanya biashara nasi leo na ufurahie ubora kwa bei pungufu. Desho Enterprises, Moshi. Wasiliana kupitia WhatsApp: 0692436907."

πŸ”₯ *"Bidhaa Bora za Nafaka Zenye Ubora wa Hali ya Juu!"* πŸ”₯πŸ“¦ Pata mchele safi, maharage bora, karanga zilizochaguliwa kwa ...
28/09/2024

πŸ”₯ *"Bidhaa Bora za Nafaka Zenye Ubora wa Hali ya Juu!"* πŸ”₯

πŸ“¦ Pata mchele safi, maharage bora, karanga zilizochaguliwa kwa umakini, na sembe na dona zenye virutubishi! Pia, tunakuletea mafuta halisi ya alizeti yanayozingatia afya yako. πŸ›’

*"Tunajali Afya na Ustawi Wako, Nunua bidhaa zenye ubora 🌾
Wasiliana nasi kwa namba: πŸ“ž 0692436907
πŸ“ Tunapatikana Moshi, Kilimanjaro.

_"Nunua Nafaka Bora, Ongeza Ladha na Afya Kwenye Meza Yako!"_

According to the United States Department  of Agriculture  White   easy to digest and is considered a 'safe starch' for ...
06/09/2024

According to the United States Department of Agriculture White easy to digest and is considered a 'safe starch' for athletes because it is an easy source of carbohydrates for quick energy. It is also rich in vitamins and minerals.

Maharage Soya ya njano ni mapya kabisa maji mara moja yameivatupigie simu moja tuu +255 692 436 907/+255 765 671 907 tuk...
02/09/2024

Maharage Soya ya njano ni mapya kabisa
maji mara moja yameiva
tupigie simu moja tuu
+255 692 436 907/+255 765 671 907
tukupatie kwa bei ya shamba.

18/07/2024

I got 3 reactions and 2 replies on my recent top post! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

02/06/2024

New Tourism Season πŸ€—πŸ€—πŸ€— 01/06/2024.
Karibuni sana Mabosi zetu wa utalii (Adventure 4 Life)
Sisi ni wale wakali wa kupaki mchele safi kutoka Mbeya kilo moja moja kwa ajili ya safari za mliman na porini.
Tunapatikana Kilimanjaro na Arusha Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana

26/05/2024

Desho Enterprises ni wauzaji wa nafaka za chakula na mahitaji ya nyumbani pamoja na Mafuta halisi ya kupikia ya "ALIZETI".

17/05/2024

Njoo tufanye Biashara kibingwa zaidi

26/04/2024
25/04/2024
I got 11 reactions on my recent top post! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you...
16/03/2024

I got 11 reactions on my recent top post! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

Ulikuwa wapi wakati hayati mwinyi anatoka madarakani mwaka 1995?Mungu ailaze roho ya marehemu mahala peponi. Amen   ,   ...
02/03/2024

Ulikuwa wapi wakati hayati mwinyi anatoka madarakani mwaka 1995?

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala peponi. Amen

,

Habari zenu ndugu zangu  huyu Bwana Apo kwenye pichaπŸ‘‡ni mchaga wa machame Kijiji Cha Nronga anatwa Frenk Gelson Masawe a...
20/02/2024

Habari zenu ndugu zangu huyu Bwana Apo kwenye pichaπŸ‘‡ni mchaga wa machame Kijiji Cha Nronga anatwa Frenk Gelson Masawe alikuja bonde hili la kilombero kufanya kazi za vibarua kwa Sasa hivi Ali yake ni mbaya Sana kiafya Kuna msamaria mwema kampa sehemu ya kujisitiri na ndiye aliye nifata na kunishirikisha Aya magumu anayo pitia ndugu yetu kwa kwenye maongezi ndio kanitajia Kijiji anachotokea na kutaja majina ya watoto wake1Adriano Masawe 2Pascalina Masawe 3Yohana Masawe Baba mkubwa wa Frenk ni Emanueli Masawe na mdogo ni Obadia Masawe naomba K**a Kuna mtu anaye mfahamu tuwasiliane tuangaliye namna ya kumsaidia huyu ndugu Shea na kwenye magropu mengine

Pumzika kwa aman waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa πŸ•ŠοΈπŸ•ŠοΈπŸ•ŠοΈ
13/02/2024

Pumzika kwa aman waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa πŸ•ŠοΈπŸ•ŠοΈπŸ•ŠοΈ

Mchele wetu ni msafi super kutoka Kyela Mbeya 5kg=15000, 10kg=30000, 20kg=59000, 25kg=70000 na 50kg=137000 mawasiliano y...
06/02/2024

Mchele wetu ni msafi super kutoka Kyela Mbeya 5kg=15000, 10kg=30000, 20kg=59000, 25kg=70000 na 50kg=137000 mawasiliano ya ofcn +255 0692 436 907 Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana 🀝

Address

318
Old Moshi
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 19:00
Sunday 09:00 - 19:00

Telephone

+255692436907

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Desho Enterprises posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Desho Enterprises:

Videos

Share