06/02/2024
Mtoto Njiti, pri-machua au uzao kabla ya muda muafaka ni uzao unaotokea kabla ya wiki ya 37 ya uzazi. 8 kati ya watoto 100 huzaliwa kabla wengine wakihitaj uangalizi wa juu na wengine wa kawaida. Nafasi ya kuishi ya mtoto hutegemea amezaliwa kati ya wiki ya ngap kati ya 20 -37 nafasi ni finyu kadiri wiki zinavopungua. Tunaweza kuwaokoa, tukijitoa kwa pamoja.
Premature baby is a birth that occurs before the 37th of pregnancy. 8 out of 100 babies are born prematurely.
A pregnancy normally lasts about 40 weeks. It can be natural or influenced by other risk factors including human and medical.
They don't have to die, we can save them. Let's join hands.
/walk