Ztasi Tours & Travel Company Limited

Ztasi Tours & Travel Company Limited Tour Package
Regardless of your budget, we guarantee you value

About ZTASI
ZTASI is a Tours and Travel company owned and operated by local Zanzibarians with a wealth of 15 years experience in Tanzania vacations, travel and remote but fascinating outback.

Masomo 9 muhimu niliyowahi kujifunza kwa vitendo kwenye maisha yangu:1) Watu wengi huwa wanachukulia poa kujitoa kwetu k...
05/10/2024

Masomo 9 muhimu niliyowahi kujifunza kwa vitendo kwenye maisha yangu:

1) Watu wengi huwa wanachukulia poa kujitoa kwetu kwao, huwa hawajui kuwa tunajinyima Ila kuwafanya wao wafurahie maisha. Huwa wanafikiri tunawapa kwa sababu tuna vingi, kumbe tunajinyima ili tuwape wao kwa sababu tunawapenda.

2) Sio kila mtu atathamini kujitoa kwako na ataheshimu kujinyima kwako, kuna wengine Hawana shukrani. Hata ufanyaje, bado watakulaumu na watakuumiza.

3) Kuna ambao wanapoumia wanataka uache kila kitu kwa ajili yao, Iła unapoumia wewe hawataacha chochote kwa ajili yako. Na hawatajisikia vibaya kukuacha peke yako hata k**a wewe siku zote ulisimama nao.

4) Kumbuka watu wengi ambao sio watoaji huwa wanataka huwape kila kitu na kila wakati, usipowawekea mipaka wataendelea kutaka kutoka kwako.

Wakiona umeishiwa wanakuacha wanahamia kwa mwingine na wanakusahau. Jitahidi usijisahau!

5) Itunze Furaha na Amani yako, usiruhusu ishikiliwe na mtu mahali pengine na akuamulie wakati gani Ufurahi au wakati gani usifurahi. Usiiweke Furaha yako kwenye “mood” ya mtu mwingine. Kuna ambao wakishajua kuwa wanaweza kukuamulia hisia zako, watakufanyia visa vya makusudi kila siku, utaishi kwa kufuata wanachotaka wao.

6) Wewe ni binadamu, sio Mungu. Hautaweza kufanya kila kitu kwa kila mtu na kwa kila wakati. Mungu tu ndio “Omnipotent”-Muweza wa yote, wewe ni binadamu hauwezi yote.

Jifunze kusema hapana pale unapoona hauwezi bila kujisikia kuhukumiwa moyoni, kuna ambao hawatakuelewa na wengine watakulaumu Ila itakusaidia kujenga kesho yako.

7) Kuna mambo au maamuzi ukiamua kufanya kuna watu hawatakulewa na wengine hawatakubaliana na wewe.

Usisahau kuwa njia rahisi ya kujichelewesha kufanikiwa ni pale unapotaka kila mtu akuelewe na akubaliane na wewe.

Kuna aina ya vitu lazima ukubali kutofautiana.

8) Dunia haina huruma, unaweza kuwa na moyo Mwema na watu wakautumia vibaya. Unaweza kutenda wema na ukalipwa ubaya. Yaani, maumivu yako makubwa yatatokana na wema wako mkubwa.

Yaani, watu watakaokuumiza zaidi ni wale uliowaamini na kuwapa nafasi za karibu zaidi maishani mwako.

9) Kusamehe haimaanishi lazima uwarudishe wawe Karibu Tena, wengine wapende wakiwa mbali.

Jifunze k**a Mimi
See You At The Top
By Yassin Ibrahim

It's FridayMay Allah open the door of success and happiness for us.
12/07/2024

It's Friday
May Allah open the door of success and happiness for us.

Address

P. O. BOX 3651, Mkunazini Street
Stone Town

Opening Hours

Monday 00:00 - 23:59
Tuesday 00:00 - 23:59
Wednesday 00:00 - 23:59
Thursday 00:00 - 23:59
Friday 00:00 - 23:59
Saturday 00:00 - 23:59
Sunday 00:00 - 23:59

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ztasi Tours & Travel Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ztasi Tours & Travel Company Limited:

Share

Category