Utaliiwandanitz

Utaliiwandanitz Tunakusaidia KUFURAHIA holiday Yako na mwenza wako au familia Yako ndani ya Tanzania. Tuandikie WhatsApp: +255777841450. Furahia hoteli mzuri na ufurahie maisha.

karibuni.

Nyote mnakaribishwa zanzibar. Hii ni villa de flora.
26/04/2024

Nyote mnakaribishwa zanzibar. Hii ni villa de flora.

Sasa karibuni zanzibar na mfurahie villa yetu mpya. Hii ni kwaajili ya familia na honeymoon. Pia kwa wanandoa. Unataka k...
26/04/2024

Sasa karibuni zanzibar na mfurahie villa yetu mpya. Hii ni kwaajili ya familia na honeymoon. Pia kwa wanandoa. Unataka kujua zaidi tupigie 0777841450. Ipo kwenye offer kwa Sasa.

Hapo ni Milo ya samaki wa kuchoma na vinywaji safi Vya asili.

K**a unapenda kukaa sehemu yenye ukimya na private zaidi basi karibu sana.

Hapa ni sauti za ndege wazuri na upepo wa Bustani mwanana.

Unasubiri nini ? Karibu ujionee tofauti.

ZIJUE SEHEMU 4 ZA KUFURAHI NA FAMILIA ZANZIBAR. 1. SEHEMU za fukwe 2. SEHEMU za kihistoria3. SEHEMU za hoteli mzuri za k...
10/05/2020

ZIJUE SEHEMU 4 ZA KUFURAHI NA FAMILIA ZANZIBAR.

1. SEHEMU za fukwe
2. SEHEMU za kihistoria
3. SEHEMU za hoteli mzuri za kupumzika
4. SEHEMU za vyakula vya as ili vya Zanzibar

Baada ya lock down ya mda kutokana na covid 19, Jitokeze na familia au mwenza wako na upate muda wa kurudisha akili katika Hali ya kawaida. Weka nia na jiandae kuja Zanzibar na tuta hakikisha tunakusaidia kufikia malengo haya na kwahakika utafurahia.

OFA maalumu kwaajili ya watalii wetu wa ndani imeandaliwa na si ya kukosa.

K**a umefurahishwa na habari hizi na unahitaji kuifurahisha familia yako Zanzibar baada ya kipindi high cha corona basi bofya hapa na ujipatie ofa maalumu.
https://chat.whatsapp.com/GEsPHt2O2YJIF86GyZOn0k

Hello. Mr Mohammed hapa.Jee wewe ni mtanzania unaetamani kuziona fursa zenye kubadilisha maisha yako hapa Tanzania? Basi...
27/04/2020

Hello. Mr Mohammed hapa.
Jee wewe ni mtanzania unaetamani kuziona fursa zenye kubadilisha maisha yako hapa Tanzania? Basi tumekuandalia Safari ya utalii wa ndani Tanzania kote ili kukuonesha fursa hizi kwa macho yako.
K**a ungelipenda kuungana na safari yetu hii ya mafanikio Tanzania basi jungle kwa kubofya hapa ili kupata mafunzo ya bure kwanza kabla hatujaanza safari yetu .https://chat.whatsapp.com/LRX2QvlZka3FjJwpddcggr

27/04/2020

K**a wewe ni mtanzania ambae unapenda kufurahia utalii wa ndani na kufurahia na rafiki au familia basi karibu katika jukwaa letu tumekuandalia matamu usiyoyafaham. Bofya what's app hapo juu kujiunga na si.

Hello. Naitwa Mr Mohammed.  Ni mjasiri amali na mkurugenzi wa kampuni ya Palm Tours and safaris ninaewasaidia Watanzania...
27/04/2020

Hello.
Naitwa Mr Mohammed. Ni mjasiri amali na mkurugenzi wa kampuni ya Palm Tours and safaris ninaewasaidia Watanzania kuujua vyema utalii wa ndani na kuvifikia vivutio vyote Tanzania. Ikiwa wewe ni mmoja miongoni mwa Watanzania wenye hamu ya kuvifikia vivutio vyetu basi Nina habari njema kwaajili yako. Bofya katika what's app hapo juu na ufurahie offer hii mapema.

22/04/2020
22/04/2020
NJIA 5 ZA KUONDOSHA STRESS.1.Kubadilisha malazi2.kuona vitu vipya vyenye kuvutia3.Kuwa karibu na ufukwe na kuangalia maj...
22/04/2020

NJIA 5 ZA KUONDOSHA STRESS.
1.Kubadilisha malazi
2.kuona vitu vipya vyenye kuvutia
3.Kuwa karibu na ufukwe na kuangalia maji ya bahari.
4.kuwa mbali na nyumbani kwako na kuepuka kufanya kazi ulizozizoea badala yake ukawa unahudumiwa{hotelini}.
5.kujichanganya na watu usio wazoea mbali na nyumbani kwako.

Kwa hakika uyafanyapo haya utaona namna unavyotibu stress bila ya hata vidonge.
Jee unasumbuliwa na stress ?

Tutafute katika group yetu ya whats up ya utalii wa ndani Tanzania na tutakukamata mkono hadi uione dunia nyengine.

WHATS UP US ON: +255777841450🏝⛱✅

Hivi unadhani kila anayekuja Tanzania na kufurahia vivutio vyetu ni tajiri wa mamilioni? Kati ya usiyoyajua ni kwamba wa...
22/04/2020

Hivi unadhani kila anayekuja Tanzania na kufurahia vivutio vyetu ni tajiri wa mamilioni? Kati ya usiyoyajua ni kwamba wapo watalii wengi wanakuja Tanzania na kufurahia vivutio vyetu na kufaidika kwa kupata fursa tofauti na ilhali budget zao ni ndogo hata kushinda mtanzania anayeishi maisha ya kawaida. si kila mtalii ni tajiri wa pesa bali wanachotushinda ni kuwa wana uthubutu wa kufanya mambo. Tubadilike na tufaidi vya kwetu wenyewe.

Jenga taswira siku ambayo utasimama mbele ya umati huu wa wanyama wenye kuvutia . Unawezajua ni kwanini watu wanatoka nc...
22/04/2020

Jenga taswira siku ambayo utasimama mbele ya umati huu wa wanyama wenye kuvutia . Unawezajua ni kwanini watu wanatoka nchi za mbali na kwa gharama kubwa na kuja kutembelea vivutio vya Tanzania? Jee ni kwa kukosa kazi ya kufanya? Jee ni ucheza tu kwao? Hapana. Kutembea ni njia bora ya kujifunza. Unaweza kujionea fursa tofauti ambazo unaweza kufaidika nazo na ukaanza kuwa na mtazamo tofauti wa maisha yako. Amka na jenga thamani yako(value) sasa.

Huwezi amini kwamba siku moja unaweza badilisha maisha yako na kuwa katika level ya juu baada ya kuamua kuwa mtalii wa n...
22/04/2020

Huwezi amini kwamba siku moja unaweza badilisha maisha yako na kuwa katika level ya juu baada ya kuamua kuwa mtalii wa ndani. Siku utakapoondoa dhana ya kuwa eti wewe huwezi kuwa mtalii na kuwa eti mtalii ni mtu kutoka ulaya tu.

Hivi mtalii ni lazima awe ni mtu atokae nje ya Tanzania? Hapana. Mtalii ni mtu yoyote anaesafiri kwa nia ya kujifunza ja...
22/04/2020

Hivi mtalii ni lazima awe ni mtu atokae nje ya Tanzania? Hapana. Mtalii ni mtu yoyote anaesafiri kwa nia ya kujifunza jambo au kufurahia tu mda wake na kupunguza stress za mda mrefu. Hivyo hata nawe unaweza kuwa mtalii ndani ya nchi yako.

22/04/2020

Jee unafahamu?
Mtu yoyote anaweza kuwa mtalii wa nje au ndani ya nchi yake. Amka na uyafahamu yaliyokuzunguka.

Address

Kwamchina Street
Zanzibar City

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Utaliiwandanitz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Utaliiwandanitz:

Share

Category


Other Travel Agencies in Zanzibar City

Show All