AllAfrika TravelnLogistics

AllAfrika TravelnLogistics We know what ut takes to deliver what others can not deliver efficiently. Try us!

KARIBUNI TUPO WAZI. (UHURU DAY)โœŠ๐ŸพLeo Jumatatu, Ofisi zetu za Lumumba tupo wazi kuanzia saa Tatu asubuhi hii hadi saa nan...
12/09/2024

KARIBUNI TUPO WAZI. (UHURU DAY)โœŠ๐Ÿพ

Leo Jumatatu, Ofisi zetu za Lumumba tupo wazi kuanzia saa Tatu asubuhi hii hadi saa nane mchana. Warehouse zetu za SOKOTA na CHANG'OMBE pia tupo wazi toka saa mbili asubuhi hadi USIKU.

Pia ofisi zetu za MWANZA zitakuwa wazi kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa nane mchana.

Cc;

Kwa Maelezo zaidi,

+255 746 813 813 (Dar es Salaam)
+255 758 440 077 (Mwanza)


HAPPY UHURU DAY โœŠ๐Ÿพ (MIAKA 63)Uongozi wa Silent Ocean USA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ  pamoja na  Tunawatakia Watanzania wote Kheri katika kuadhim...
12/09/2024

HAPPY UHURU DAY โœŠ๐Ÿพ (MIAKA 63)

Uongozi wa Silent Ocean USA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ pamoja na Tunawatakia Watanzania wote Kheri katika kuadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania.

Amani Itawale. ๐Ÿค

Cc:


KESHO NA KESHOKUTWA (JUMA TATU) TUPO WAZI. Kesho Jumapili na Keshokutwa Juma tatu, Ofisi zetu za Lumumba tutakua wazi ku...
12/07/2024

KESHO NA KESHOKUTWA (JUMA TATU) TUPO WAZI.

Kesho Jumapili na Keshokutwa Juma tatu, Ofisi zetu za Lumumba tutakua wazi kuanzia saa Tatu asubuhi hadi saa nane mchana. Warehouse zetu za SOKOTA na CHANG'OMBE pia tutakua wazi kuanzia saa mbili asubuhi hadi USIKU.

Pia ofisi zetu za MWANZA zitakua wazi kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa nane mchana.

Cc;

Kwa Maelezo zaidi,

+255 746 813 813 (Dar es Salaam)
+255 758 440 077 (Mwanza)


PICK UP SCHEDULE, AMERICA. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธMaelezo zaidi, Wasiliana nasi moja kwa Moja hapa Marekani+1 (202) 891-9282Endelea kufurahia...
12/04/2024

PICK UP SCHEDULE, AMERICA. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

Maelezo zaidi, Wasiliana nasi moja kwa Moja hapa Marekani

+1 (202) 891-9282

Endelea kufurahia huduma zetu za Usafirishaji.


TUNAELEKEA KUFUNGA BLACK FRIDAY, HAPPy THANKS GIVING. FANYA MANUNUZI SASA KWA PUNGUZO KUBWA LA BEI, HUJACHELEWA. Maelezo...
11/28/2024

TUNAELEKEA KUFUNGA BLACK FRIDAY, HAPPy THANKS GIVING. FANYA MANUNUZI SASA KWA PUNGUZO KUBWA LA BEI, HUJACHELEWA.

Maelezo zaidi, Wasiliana nasi moja kwa Moja hapa Marekani

+1 (202) 891-9282

Endelea kufurahia huduma zetu za Usafirishaji.


PICK UP SCHEDULE, AMERICA. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ WAHI NDIO TUNAMALIZIA BLACK FRIDAY MONTH, FANYA MANUNUZI SASA, HUJACHELEWA. Maelezo zaidi,...
11/23/2024

PICK UP SCHEDULE, AMERICA. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ WAHI NDIO TUNAMALIZIA BLACK FRIDAY MONTH, FANYA MANUNUZI SASA, HUJACHELEWA.

Maelezo zaidi, Wasiliana nasi moja kwa Moja hapa Marekani

+1 (202) 891-9282

Endelea kufurahia huduma zetu za Usafirishaji.


HAPPY NYERERE DAY.Simba wa Bahari tunawatakia Watanzania wote, Wafanyabiashara na Wajasiriamali wote, Happy Nyerere Day....
10/14/2024

HAPPY NYERERE DAY.

Simba wa Bahari tunawatakia Watanzania wote, Wafanyabiashara na Wajasiriamali wote, Happy Nyerere Day. Tusherehekee kwa Amani na Utulivu.

Cc:


Katika Wiki ya Huduma kwa Mteja 2024, tunakwenda Zaidi ya Matarajio! Silent Ocean tunajivunia kutoa huduma bora zaidi, t...
10/07/2024

Katika Wiki ya Huduma kwa Mteja 2024, tunakwenda Zaidi ya Matarajio! Silent Ocean tunajivunia kutoa huduma bora zaidi, tukihakikisha kila mteja anapata uzoefu wa kipekee na huduma za hali ya juu.

Asante kwa kuwa sehemu ya safari yetu โ€“ tuko hapa kwa ajili yako, sasa na daima! ๐ŸŒŸ๐Ÿ’ผ"

UKIAGIZA, HUJAPOTEZA! Hii ni kampeni Maalumu kwa wateja wetu wa Silent Ocean na  inayolenga kutoa Shukrani kwa wateja we...
10/04/2024

UKIAGIZA, HUJAPOTEZA!

Hii ni kampeni Maalumu kwa wateja wetu wa Silent Ocean na inayolenga kutoa Shukrani kwa wateja wetu wote, wanaoagiza na sisi.

Jinsi ya Kushiriki,

Unachotakiwa ni kusafirisha mizigo yako na Simba wa Bahari, na Kuagiza kwa kasi ya 5G, na utakapochukua Mizigo yako katika Warehouse zetu za Chang'ombe na Sokota, utakuwa umepata nafasi ya kuingia kwenye Droo moja kwa Moja ya kushinda zawadi hizi kem kem (Harrier New Model, Guta, Boda Boda Boxer 125, Cash Counter na Safe Box)

Kwa Maelezo zaidi,

+255 746 813 813


Je! Umeagiza?
09/30/2024

Je! Umeagiza?


Address

13200 Wisteria Drive
Germantown, MD
20874

Opening Hours

Monday 9am - 5pm
Tuesday 9am - 5pm
Wednesday 9am - 5pm
Thursday 9am - 5pm
Friday 9am - 5pm

Telephone

+12023866122

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AllAfrika TravelnLogistics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category