09/11/2024
Karibu pugu hills
Mahali ambako uhalisia unalinda uasilia. Ni sehem ya utalii karibu kabisa na Dar es salaam ambako mtu yeyote mwenye umri wa kufurahia anaweza kufurahi.
Endesha boat,panda milima,kulala,piga picha na mengine mengi.
Gharama zinajumuisha huduma zote.
1..20k.. hiking
2..40k...picnic
3..70k...camping
Understand your own world in your own nature. Pugu forest is the beautful place to go.Bush tented camp inside the forest by the banks of Minaki dam. The dam plays a pivotal role in enhancing the camp's experience and natural forest viewing.
Come and explore pugu forest with the magnificent hiking.